Shida ya watanzania ni moja tu.hatujui hata nani yuko nasi na nani hayuko nasi.mtakalia kusema sitta mnafiki siku mkija kugundua hakua mnafki mlikua mnawaamini ndo wanafki itakua too late.nawapenda sana watu wenye misimamo kama yake ni mtu ambae hatabiriki ukifanya kosa atakuumbua ukifanya vizur atakusifu.haawa ndo watu tunawataka kwenye hii nchi.otherwise kama mtamsifi jk anaekosa maamuzi kisa tu fulan ni rafiki yake.rabishSitta ni mnafiki nambari one, anatafuta umaarufu na huruma ya wananchi!
Shida ya watanzania ni moja tu.hatujui hata nani yuko nasi na nani hayuko nasi.mtakalia kusema sitta mnafiki siku mkija kugundua hakua mnafki mlikua mnawaamini ndo wanafki itakua too late.nawapenda sana watu wenye misimamo kama yake ni mtu ambae hatabiriki ukifanya kosa atakuumbua ukifanya vizur atakusifu.haawa ndo watu tunawataka kwenye hii nchi.
acha kujifanya hujui kwamba JK NI FISADI NAMBA MMOJASource: dakika 45.
Kasema mafisadi ambao wako tayari kumtoa roho ndio waliobadili utaratibu wa uchaguzi wa spika.
Anasema walishindwa kushindana naye kwenye box la kura wakaamua kuweka kigezo cha jinsia.
My take: kama JK aliridhia naye ni fisadi
una akili za kushikiliwabila shaka we ndio mnafiki, sitta ndio kiongozi pekee ndani ya ccm anaeweza kukemea ufisadi ndani ya chama chake hadharani na kwa uwazi zaidi. Unafiki wake ni nini? Hata kama yuko katika chama ambacho kimepoteza mvuto, nadhani tumtendee haki.
Asante mdau! Huyo ndio Sitta original huyu Sitta anayepambana na eddo(si ufisadi!) ni feki.una akili za kushikiliwa
1.ni sitta aliyeizima dowans bungeni
2.ni sitta aliyejijengea ofisi ya spika kwao
3.ni sitta asiyetaka kuhama kwenye nyumba ya spika hadi leo
4.ni sitta aliyeunga mkono posho
5.ni sitta anayedai elimu bure haiwezekani
Source: dakika 45.
Kasema mafisadi ambao wako tayari kumtoa roho ndio waliobadili utaratibu wa uchaguzi wa spika.
Anasema walishindwa kushindana naye kwenye box la kura wakaamua kuweka kigezo cha jinsia.
My take: kama JK aliridhia naye ni fisadi
Mwacheni aendelee kuwataja tu,hapo kwa Makinda tayari fisadi namba 1 ni JK.
Kipindi chenywew hakina mvuto.Naona waziri Sitta anatoa yaliyo moyoni kwake. Anaelezea alivyoshindwa uspika kwa kushindwa kulala mwanamme na kuamka mwanamke. Hicho ni kigezo kilichowekwa mahsusi kumuengua katika mbio za uspika!
Haeleweki yule jamaa. Anataka tu kumchafulia mama. Hivi asingeweza kuongelea kule bungeni hiyo issue mpaka aende kwenye press?Nimeona Highlight ya Kipindi cha Dakika 45 cha ITV, nimeona Mzee Mnafiki Sitta akizungumza Maneno yanayoashiria kwamba Spika wa Bunge Anne Makinda aliwekwa Na Mafisadi walioamua Kubadilisha Masharti ya Uchaguzi ili Ashindwe.
Butola mbona mishipa inakusimama akikuguswa Sitta? Mkuu Sitta ameamua kuungana na wananchi kupambana na adui yake Eddo na si ufisadi!!
Tatizo la nchi hii kila kitu kinachakachuliwa, Si ajabu akiambiwa ataje atasema baadhi na wengine wakaachwa ikawa ni subset ya ile ya Slaa ndo maana watu wanapenda kusikia hiyo list yake imekamilika au ni pungufu?Wenye akili hawatajitaji majina kwenye vyombo vya habari, kwanza ni kinyume cha sheria za utangazaji, chambo chochote cha habari kilicho makini hakiruhusu hilo litokee, hivyo kama mtu mwenye akili ukizingatia haitaharibu ujumbe wako utataja tu in-abstract term na kuzungumzia maswala, lakini hivi kuna mtu leo hii bado hajui Sitta anapotaja mafisadi anamaanisha akina nani? kama yupo mtu kama huyo niseme tu karibu Tanzania..
..Hayo mengine naona unazidi tu kujivua nguo hadharani, kukaa kimya pia ni busara..
una akili za kushikiliwa
1.ni sitta aliyeizima dowans bungeni
2.ni sitta aliyejijengea ofisi ya spika kwao
3.ni sitta asiyetaka kuhama kwenye nyumba ya spika hadi leo
4.ni sitta aliyeunga mkono posho
5.ni sitta anayedai elimu bure haiwezekani