Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,913
- 2,792
waache wapatane. Vipi kuhusu meya
Sielewi ina maana gani.Unaelewa maana ya kumpa mtu mkono huku mkono mwingine ukiwa mfukoni?
Kwani walikuwa wamegombana?????
Duh !! Kweli Arusha wameamua..
Mathayo 18:18
Amin,nawaambieni,yoyote mtakayoyafunga duniani yatakuwa yamefungwa mbinguni; na yoyote mtakayoyafungua duniani yatakuwa yamefunguliwa mbinguni.
Duh !! Kweli Arusha wameamua..
Mathayo 18:18
Amin,nawaambieni,yoyote mtakayoyafunga duniani yatakuwa yamefungwa mbinguni; na yoyote mtakayoyafungua duniani yatakuwa yamefunguliwa mbinguni.