Shine
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 11,481
- 1,371
Yale yale yaliyotokea Ikulu last week...
Hebu tutaona ila kama wamemtumia man of God kila kitu kitaenda sawa kama hawa watu wa magamba wanamwamini Mungu
Yale yale yaliyotokea Ikulu last week...
Mi nadhani wamefunga wa2 wa arusha na wanaharakati wote kwa ujumla kwamba,magamba no, wamefungiwa,i think thats t
Lini?Kama ni Leo kumbuka ni Jumapili na Pale Kanisani kuna section ya Tutakiane Amani,Umeshawahi ona wanaotakiana amani?Nakuhakikishia ilikuwa ni sehemu ya Ibada Japo yaweza kuwa Imefanyika Nyumbani,Kumbuka askofu au Padre anaweza fanya Ibada popote.Hamna amani na MAGAMBA wewe,Mpaka waondoke Magogoni ndio tutajua Amani imepatikana!!!😛oa
Hapo kwenye nyekundu jamaa kangea point!Mbele ya Askofu mkuu Josephat Leburu, Mbunge wa Afrika mashariki Mh. Samweli Sitta .Mbunge Lema ashikana mikono na mkuu wa mkoa wa Arusha na Meya wa Arusha. Lema akihaidi hadharani hana chuki na mtu yeyote binafsi ila hata choka kupigania haki kama haki haita tendeka katika jamii. Amemwomba Mbunge huyo wa Afrika Mashariki kumaliza mgogoro huo mapema. Wadau toeni mchango wenu katika hili.
Mii sichangii hadi Faizafox aanze
title na ulivyoviandika havishabihiani kabisa
Hata hivyo bado tunaombea sana amani ipatikane Arusha Kama alivyosema mkuu tatizo hata yeye halijui maana aliagiza wakae walimalize lakini kuna wachache kwa masilahi yao hawataki
Yale yale yaliyotokea Ikulu last week...
Yale yale yaliyotokea IKULU last week.
hicho kichwa cha habari sijakielewa...! Kushikana mikono haimaanishi ndiyo mmepatana. Ikulu watu hawakuishia kushikana mikono tu...watu walichekeana kama ngedere na kuna wakati Mkulu mwenyewe alikuwa anatoa huduma za juice kama beki tatu....je walipatana?
:juggle:Acha kung'ang'ania lugha za watu wakati hujui hata unaandika nini. Tunashindwa kuelewa kwamba hilo neno (highlighted) kwanza ni lugha gani na pili linahusiana vipi na maelezo mengine yanayofuata. Tumia kiswahili, lugha yetu ya taifa ni nzuri tu.Exegate kidogo hichi kifungu cha mandiko. Tunashindwa kuelewa kwamba ni nani hasa alifunga hapa duniani ni wana wa Arusha au ni serekali ya CCM. Iliyomteua diwani huyo kuwa meya wakitumia kivuli cha uchaguzi geresha, a.k.a usanii wa kishamba.
Tumemuelewa, ni typo tu hiyo.:juggle:Acha kung'ang'ania lugha za watu wakati hujui hata unaandika nini. Tunashindwa kuelewa kwamba hilo neno (highlighted) kwanza ni lugha gani na pili linahusiana vipi na maelezo mengine yanayofuata. Tumia kiswahili, lugha yetu ya taifa ni nzuri tu.
:juggle:Acha kung'ang'ania lugha za watu wakati hujui hata unaandika nini. Tunashindwa kuelewa kwamba hilo neno (highlighted) kwanza ni lugha gani na pili linahusiana vipi na maelezo mengine yanayofuata. Tumia kiswahili, lugha yetu ya taifa ni nzuri tu.