Sitosahau siku niliyotishiwa bunduki na baba!

Nlipomaliza form four naposubili matokeo mzee aliniambia niende nkashinde kwenye gari (condacta)
Siku moja wakati tunaingia stend mjini ..mzee alikua anatafuta parking
Palikua na mabasi mengi pembeni...
Akawa anaibana gari kwakuibia ibia ili apate position apaki gari yake,
Wakati anaendelea kuweka gari sawa,pemben ya ile basi alikuepo mpiga debe mmoja anakatisha ticket ya basi mojawapo...yule jamaa amekaa ki huni huni sana+mangeu na manywere machafu kichwani,
Inaonekana alikeleka kuona mzee anapita pembeni yake
Akahofia kugongwa na gari,au ilikua inambugudh kuandika ticket zake...
Alianza kumtukana matusi mazito mno baba yangumatusi mazito
Siwezi kuyaandika hapa ila ni mazito.nliona aibu
Moyo uliniuma sana sana sana sanaa
,nlirudi seat ya nyuma ya gari machozi yalinitoka sana
Mzee hakuwahi kujibu kitu
Alishuka kwenye gari akaondoka kwenda kunywa chai

Wazee wetu wanamazito mioyoni mwao ,wanapambana sana sana

Hakuna siku ntakupuuza mzee wangu.
Siku moja ntakununulia gari...utawapa watu waendeshe,hautapokea matusi tena,utapokea pesa kutoka kwao

Brother unaekatisha ticket buss za....
Nmekusave
Kuna siku utaniomba msamaa
Iwe dunia na au ahera ntakutafuta
Umezingua
Ungeshuka kumpelekea kipigo uyo yaani unatukaniwa mzee wako unaenda kulia

Sent from my SM-J730GM using JamiiForums mobile app
 
Pamoja na kwamba alikunyooshea silaha lakini kamwe asingeweza kukupiga.Huo ni upendo wa Baba!.Hongera kwa kujifunza na kutambua funzo lake!
 
Yote ni katika kutaka kukutengeneza wewe.Bora nikuvunje kiuno ukae kitandan kuliko kuja kuwa mpumbavu wa hopelesa na kuishia kuwa shoga kama wengi wao wa vijana wa leo.Af mnaishia kumlaumu Mungu kuwa ya mungu mengi
😆😆 wewe na Sabaya ni ndugu!
 
Ilikuwa hivi.
Muda mrefu sana yapata miaka 10 hiyo siku nilikuwa nacheza pool table mtaani, huo mchezo unaitwa "shamkware." Ni kamari na una majina mengi sana huu mchezo pia mnaweza cheza watu wawili au zaidi.

Katika kucheza na kupiga mahesabu makali mwisho wa game mshindi nlikuwa mimi. kwenda kuchukua pesa nlizoshinda ghafla muona baba ananitazama kwa ukali kinoma

Ikanibidi niiache ile pesa niondoke kinyonge nikijua tayari umeshakuwa msala!

Kurudi nyumbani dakika tano nyingi baba naye huyo! nilipigwa kila aina ya kipigo, ngumi, makofi, mateke na mkanda mwisho wa siku akachukua bunduki aina ya gobole na kulikoki kuelekeza kwangu...! akanipiga mkwara mzito sana na kusema "nitakuua nikikuona unacheza michezo ya kipuuzi na sioni faida ya kuwa na kijana mjinga ndani ya nyumba yangu."
niliogopa sana na tangu hiyo siku mpaka kesho pool table sina mzuka nao kabisa.

Baba amenipa vitu bora maishani, muda wake, kujali kwake na upendo wake. Nafurahi sana kuwa nae katika maisha yangu.

He is my superman.
Mkwara umefanya kazi!
 
Mwenzio nilininginizwa kwenye dari na na taulo yaani nilinyongwa.
Mdingi hajalala home siku 2 anarudi e bana akapewa mashtaka mwanao shule huko imekutwa barua ya mapenzi,sijaandika hiyo barua kuna msenge mmoja wivu wake kaandika kaandika katupa njia ya ofisi.
Nikaitwa nikachapwa sana viboko.
Maza alikua nae mwalimu hapo akawambia nipeni hiyo barua.karudi nayo home.
Bana dingi karudi toka kwa mchepuko hehee kataka sifa sasa nilitandikwa ngumi,vichwa ,mateke mwisho akafunga kitanzi na taulo.
Kanifunga shingoni kaninginiza pale juu.
Daah Huku karudi kwa mamsapu wake wanapiga story tu mi naninginia hapo.
Badae sana ndio nikafunguliwa nikasindikizwa na teke kali saana nikalale.
Poa tu,ila yule fala aliyenisingizia nilimvizia na wanangu tulitaka kuua.
Tulipiga vipigo vyoote
Mpaka kakata moto.
Tukatambaa
 
Nlipomaliza form four naposubili matokeo mzee aliniambia niende nkashinde kwenye gari (condacta)
Siku moja wakati tunaingia stend mjini ..mzee alikua anatafuta parking
Palikua na mabasi mengi pembeni...
Akawa anaibana gari kwakuibia ibia ili apate position apaki gari yake,
Wakati anaendelea kuweka gari sawa,pemben ya ile basi alikuepo mpiga debe mmoja anakatisha ticket ya basi mojawapo...yule jamaa amekaa ki huni huni sana+mangeu na manywere machafu kichwani,
Inaonekana alikeleka kuona mzee anapita pembeni yake
Akahofia kugongwa na gari,au ilikua inambugudh kuandika ticket zake...
Alianza kumtukana matusi mazito mno baba yangumatusi mazito
Siwezi kuyaandika hapa ila ni mazito.nliona aibu
Moyo uliniuma sana sana sana sanaa
,nlirudi seat ya nyuma ya gari machozi yalinitoka sana
Mzee hakuwahi kujibu kitu
Alishuka kwenye gari akaondoka kwenda kunywa chai

Wazee wetu wanamazito mioyoni mwao ,wanapambana sana sana

Hakuna siku ntakupuuza mzee wangu.
Siku moja ntakununulia gari...utawapa watu waendeshe,hautapokea matusi tena,utapokea pesa kutoka kwao

Brother unaekatisha ticket buss za....
Nmekusave
Kuna siku utaniomba msamaa
Iwe dunia na au ahera ntakutafuta
Kuna kipindi fulani cha nyuma nilitoka out na watoto wangu watatu wenye umri wa kujitambua kabisa kwan binti mkubwa alikuwa form 1,boys std lV na ll. Huko tulikutakana na trafic ambao tayari walikuwa wamesimamisha magari mengine,mie nikipita zangu,mara kama KM 1 Naona gari markll inanizonga kwa nyuma na mahorn mengi,mie nikasimama,kuchek ni wale traffic wako wawili,wakaja wananifokea eti kwanini nimesimamishwa na sikusimama,nikawajibu mimi hamkunisimamisha,mara ghafla nina kibao cha uso,mara cha pili,nikasikia watoto wanaanza kupiga kelele za kulia baba,babaaa!!!
Aisee ndo siku ya kwanza kukanyaga katiba ya JMT kwn hicho kipondo walichopokea hawatakaa wasahau maishani,nilidhalilishwa mbele ya watoto.Japo ilicost sana but potelea mbali nilijitunzia heshima mbele ya wanangu. Hii kesi ilimalizwa na viongozi wenye busara japo hapo nshaaumia kipesa, kazini na kifamilia pia.Wanangu niwaambia kila siku sitaki mwanangu awe polisi,nitamlaani maishani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom