Sitongozwi, nini tatizo?

Sitongozwi, nini tatizo?

ati nilikuwa selwctive zamani 2yrs nyuma

watu wamekuja "oooh staki wa mitandao"

je hii ni nini? ama ni 5select
 
prolly God is protecting me from peeps like u,umezalisha ukaacha au nilete file lako,peeps wanaoharibu potentials za byuriful gals

If God is protectin you mbona unalalamika ss?!
 
sijaleta tangazo KUTAKA mwanaume rather ushauri,gat me???
Post zako zinaonyesha we siyo mnyenyekevu. Una hasira kiburi na dharau. Kama upo hivyo usitegemee kuishi na jinsia ya kiume labda baba yako mzazi pekee ndiye atakuvumilia.

Pili yaelekea hujui hata maana ya kutongozwa hivyo waweza kuwa unatongozwa wewe unaendekwza dharau kwa watongozaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aseeh, kila la heri mkuu, Mungu akupatie hitaji la moyo wako,... Ila punguza kujiamini sana,watu watadhani unaringa,...usipate mtongozo,stay true!
 
sipendagi wa kwenye mitandao mimi

Sasa shosti uko antisocial na wa mitandao unawafukuza, unategemea ushushiwe toka mbinguni hadi chumbani kwako?
I doubt hata wanaokufata unawatimua kama wa mtandaoni
 
Kama hadi waliooa hawakutongozi kaoge maji ya bahari na ubadilishe principles na vile unaongea.
 
Nani aliyekwambia we mzuri? Huyo aliyekwambia ndo amefanya husitongozwe hadi leo.... maana umevimba kichwa na kuanza kuletea wanaume dharau... kumbe hamna kitu... ulionekana mzuri mbele ya huyo aliyekudanganya... hamna mwanaume anayependa mwanamke anayeringa kupita kiasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana bado u selective Bali hujitambui maana kytongizwa hakuna formula rasmi. Hats salam pekee in mwanzo wa kutongozwa. Kwa sifa ulizoainisha hapo naamini tatizo ni wewe. Ukishindwa kulitambua nikuhoji labda nitaligundua. Wish you all the best

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nisaidieni kivingine,ushauri,maoni,anything else. Sio kwamba nimeleta hii topic ili nipewe mwanaume NO,natak tu nijue wapi nakosea
Unakosea pale unapo tongozwa afu unasema hutaki wa mtandaoni
 
Wanaume wakujaribu siku hizi hamna tena. Km upo anti-social utawaona wapi wanaume! Jichanganye tumia akili yako kusoma wanaume. Utazeeka endelea kusubiri
 
Back
Top Bottom