Sitegemei kuwaona hawa wachezaji wakivaa jezi ya Simba SC msimu ujao timua wote

Expensive life

JF-Expert Member
May 2, 2020
1,704
5,480
Simba SC imejaa wachezaji mizigo, mimi kama mwanachama, shabiki na mpenzi wa Simba SC sitegemei kuwaona hawa wachezaji wakiendelea kuvaa jezi yetu pale Simba.

1. Ottara
2. Onyango
3. Bocco
4. Kapama
5. Kyombo
6. Saido (mchezaji mzuri umri unamtupa)
7. Okwa
8. Akpan
9. Sawadogo
10. Mangungu (Mwenyekiti hafai)

3FB69B88-5AFF-4587-A865-23B157F1D20E.jpeg
 
Acheni
Acha Utani Mkuu. Mihemko uliyonayo siyo ya kimpira lkn kwa taarifa yako na kwa takwimu SIMBA NDIYO TIMU ILIYOFANYA VIZURI ZAIDI KWENYE LIGI YA NDANI NA LIGI YA AFRIKA. Kutobeba Ubingwa is minor.

Timu imetolewa na Bingwa wa CAFCL kwa Penati.

Timu imefunga magoli mengi zaidi kwenye Ligi kuliko klabu Yoyote.

Timu imepoteza Mechi chake kuliko klabu yoyote kwenye Ligi.

Timu imemfunga Mshindi wa pili wa Mashindano ya Loosers/Utopolo Goli 2 likiwemo moja la aibu kubwa KIBU DENIS Raster Man.

Halafu anakuja MBWIGA mmoja analaumu wachezaji wetu. Hujui mpira shabikia singeli tu baaasi.
 
Wadhamini lukuki hadi matakoni kwenye jezi zetu kazi zao ni nini?
Kumbe unategemea wafadhili,role yako wewe ni nini kwenye klabu.Ungetoa wazo laki namna ya kufanikisha usahihi ungeonyesha moana hapo.Tusiwewepesi wa kulaumu/kilalamika.
 
Kumbe unategemea wafadhili,role yako wewe ni nini kwenye klabu.Ungetoa wazo laki namna ya kufanikisha usahihi ungeonyesha moana hapo.Tusiwewepesi wa kulaumu/kilalamika.
Hoja yako ni dhaifu, wadhamini ni moja kipato tegemezi kwa club yeyote dunian. Kumbuka pia simba inamuwekezaji ambaye mo dewji.
 
Kusema ni rahisi wengi haangalii gharama ya kupata mchezaji. Kuchangia gharama hawazungumzii.
Ukute huyu ni Mchambuzi kwenye chombo maarufu cha habari. Timu iache Wachezaji 15 hizo hela za usajili mtachangia.
 
WACHEZAJI WAONDOSHWE.

Kwanini mmepoteza Beno kakolanya kirahisi hivyo????


1. Mohamed Ottara.
2. Joash Onyango.
3. Ismail sawadogo.
4.Peter Banda.
5. Pape Sackho.
6.Agustine Okrah.
7 Sadio Kanute.🤣

WACHEZAJI WAZAWA WA KUACHWA.

1.John Boko.
2.Jonas Mkude.
3. GADIEL Michael.
4. Nassor Kapama.
5.Habib Kyombo.

NAFASI MUHIMU ZA KUJAZA.

1.Golikipa nambari Mbili.
2. Beki wa kushoto.
3. Mabeki wa kati .
4. Kiungo mkabaji ,, 6 ,, 8.
5. Mshambuliaji wa KIGENI futi sita.
6. Winga wa kushoto.

ZINGATIENI SANA VIMO VYA WACHEZAJI WALAU 6 FEET.

BORA KUSAJILI WACHEZAJI WACHACHE KULIKO KUWA NA RUNDO LA WACHEZAJI MIZIGO.
MOHAMED DEWJI.
TRY AGAIN.
MANGUNGO.
BODI YA WAKURUGENZI.
 
Back
Top Bottom