Beki wa Kimataifa Henock Inonga atumike kama 'Blueprint' ya Usajili wa Wachezaji wa Kimataifa wa Simba SC kwa Msimu ujao

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,738
109,173
GENTAMYCINE nataka Wachezaji wote wapya wa Kigeni watakaosajiliwa na Simba SC kwa Msimu ujao wawe na Sifa Kuu hizi zifuatazo za Mchezaji Henock Inonga.....

1. Kujiamini mno Uwanjani

2. Uwezo mkubwa sana

3. Control ya uhakika muda wote

4. Akili nyingi Uwanjani

5. Mwenye Ari ya Upambanaji

6. Asiye na Historia ya Majeruhi

7. Anayecheza Nation Team Kwao

Aliyemsajili Henock Inonga Simba SC ( ambaye ni Poti wangu Crescetius Magori ) nasema Shikamoo Kwake na natamani Mwekezaji wa Simba SC amteue rasmi Magori kuwa Simba SC Chief of Scout kwani Magori anaujua Mpira, hana Njaa, ana Jicho la Kumjua Mchezaji na huyu ndiye alikuwa Msaidizi wa Marehemu Zakaria Hanspoppe katika Sekta ya Usajili Simba SC.
 
Huko vizuri katika kuandika majina ya watu

Nahisi pia upo vizuri katika kuyakumbuka na kuyatamka mbele zao wenye majina yao

Hiyo ni sifa mojawapo ya mwanasiasa makini

Hongera pompoma mwandamizi
 
HONGERA SANA MKUU LEO UMEANDIKA HOJA.

NA MIMI NILIKUWA NA MPANGO WA KUANDIKA HIKI KITU.

1INONGA NDIE MCHEZAJI BORA WA SIMBA.

2. KONGO KUNA WACHEZAJI WENGI INONGA ANAWAJUA APELEKE MAJINA WALAU 3 KWA UONGOZI.
 
KUHUSU SUALA LA USAJILI.

NASHAURI YAFUATAYO.

1. NIMESIKITIKA UONGOZI KUMUACHA BENO KAKOLANYA.
Kupata Golikipa aina ya kakolanya itakuwa mtihani mkubwa sana.
Sijui kama Tutakuwa na Golikipa No 2 mwenye ubora wa Kakolanya.
Sijui kama hatutaenda Nje kutafuta mbadala wa MANURA.

2.UBAHILI NA 10% KWENYE IDARA YA USAJILI.
tumeshuhudia wakiletwa wachezaji cheep mno kwenye usajili wachezaji wenye uwezo mdogo sana na gharama ndogo sama

3. USAJILI WA QUALITY NDOGO NA KUKOSA SCAUT WAZURI.

I. Ismail sawadogo.
II .mohamed Qottara
III. Augustino Okkrah. (9)
IV. Peter Banda.
V. Sadio Kanute atafutiwe mbadala(8)
VI. Sackho nae Atupishe.

4. WACHEZAJI WAZAWA NAPO NI SHIDA.
Changamoto ya umli.
Nyoni, Boko, mkude,
Viwango vidogo.
Kapama, Gadiel, Mwanuke,

MASHABIKI TUMECHOSHWA KUISHIA ROBO FAINALI.
TUNA HELA ZA KUTOSHA KWA AJILI YA USAJILI.
HELA YA SUPER CUP 4 BILION.
HELA YA CAF. CAFCL 2 BILION

UONGOZI PUNGUZENI UBAHILI
ROBERTINO ASAJILI.
 
GENTAMYCINE nataka Wachezaji wote wapya wa Kigeni watakaosajiliwa na Simba SC kwa Msimu ujao wawe na Sifa Kuu hizi zifuatazo za Mchezaji Henock Inonga.....

1. Kujiamini mno Uwanjani

2. Uwezo mkubwa sana

3. Control ya uhakika muda wote

4. Akili nyingi Uwanjani

5. Mwenye Ari ya Upambanaji

6. Asiye na Historia ya Majeruhi

7. Anayecheza Nation Team Kwao

Aliyemsajili Henock Inonga Simba SC ( ambaye ni Poti wangu Crescetius Magori ) nasema Shikamoo Kwake na natamani Mwekezaji wa Simba SC amteue rasmi Magori kuwa Simba SC Chief of Scout kwani Magori anaujua Mpira, hana Njaa, ana Jicho la Kumjua Mchezaji na huyu ndiye alikuwa Msaidizi wa Marehemu Zakaria Hanspoppe katika Sekta ya Usajili Simba SC.
Naongeza sifa.

8. Anafurahia kucheza mpira. Kwakifupi ana enjoy.
 
Back
Top Bottom