Sitashangaa kubaini mtu kama Lara 1 bado ni bikra

Sitashangaa kubaini mtu kama Lara 1 bado ni bikra

I opt to reserve my comment...teh teh!!!

Halafu yule best yako alipotelea wapi, naona simuoni humu siku hizi au ashakuwa mama watoto?

hahahahaha watu8 simba mwendapole lol yule malaika sana bandiko lake halikufanikiwa labda uchukue hiyo tenda lol
 
hahahahaha watu8 simba mwendapole lol yule malaika sana bandiko lake halikufanikiwa labda uchukue hiyo tenda lol

simba tokea lini akaenda pole bana, simba wake mwendo sharubu hata kambale anazo...

mi nilikuwa namuulizia tu...tenda nawaachia wenye nguvu zao...
 
Mleta mada nahisi ulikuwa unazungumzia bikra ya puani na masikioni au nimekuelewa vibaya?
 
Bikira kwa lara 1? anavyopenda kuchuna mabuzi.......akikuandikia kiingereza chake anachotumia kumchuna yule kibabu
 
Mmmh, mnatufanya tuulize hizi bikra zenu. Siku hizi ukiona mtu anavuka 20yrs yuko sealed ni kushukuru...!!
 
Je wana tabia ipi?
Suala la binti kusukumwa kuingia kwenye ngono za mapema kutokana na kuangalia TV na intenet kunategemea pia na tabia ya mtu.....

Kama ameshawishiwa kufanya jambo fulani kupitia tv au internet huyo atakuwa kundi la wasiojiamini.
 
Afu we mtoto unajigonga kwa watu 8 live nimekushtukia! TAFADHALI FATA ITIFAKI TULIZA MSHONO MPAKA ZAMU YAKO YA KUKAGULIWA IFIKE, USITAKE UKAGULIWE KINGUVU, KWANZA WAKAGUZI WENGI CHA UPAMBE MENTOR( You can thank me later! Not as cute as watu 8 lakini takufaa faa kwa matumizi ya binadamu!) ATAKUFAAA! Hihihiiiiiiii! #NO OFFENCE INTENDED! #JOKES

Kim Jong UNG II - no offence taken! Asante kwa upatu...naomba nikutafute baadaye!!!
 
Back
Top Bottom