miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,803
- 49,109
Tized naomba msamaha pleaseMkuu Mtambuzi nakushukuru kwa kuliona hilo... miss chagga anataka tu kutuchafua apa. Hajui wanaume ndio wanaoongoza kwa kuwa na roho nzuri, wenye huruma, wenye kupenda bila ubaguzi na kujali. Ila anasahau pia kwenye vizuri hakikosekani kinyume chake ambacho ukikitumia kusema vyote vipo kama hiko unachokiona kibaya wewe unakua hujatenda haki kwa hao 99% nzuri.
Nakushukuru Mkuu kwa kusimama na mimi bwana.
Last edited by a moderator: