Sitashangaa kubaini mtu kama Lara 1 bado ni bikra

Sitashangaa kubaini mtu kama Lara 1 bado ni bikra

Lara 1 anajuwa mimi siyo mchaga sipigi risasi mwanamke na wala sipigi juu kumpiga Mungu na i will never mis target when i shoot any cocroch.
Hahahaaaa! Baby nilikua nakizingua hiki ki baby snake turned Viper Miss Neddy! Usiwasikilize banaaa! Mwaaaaaaah!
 
hahahaha babu panado machine ishachoka ile lol afu watu8 kumbe alikuwaga anameza mate kitambo ataibukaje gafla kutaka ukaguzi hahaha mbona kwingine anajiweka nyuma nyuma

Hahahahaaaaa! Watu 8 anameza mate kitambo? Mmmmmmh YOU MIGHT BE NOT AN OLD VIPER BUT YOU ARE SURE AS HELL DEADLY AND POISONOUS! What you lacked in age you have compasated it with VENOM! Loooooh! Hahahahaa! Kwingine anajiweka nyuma? CAN YOU BE ANY MORE DEADLIER AND VENOMOUS.? Hahahahaa! Hufai hata kwa mbolea!
 





Hivi sasa imebainika kwamba, wale wasichana ambao huendelea kuwa na ubikra wao hadi ukubwani, wanajiamini sana ukilinganisha na wale ambao huondolewa ubikra mapema. Hii ina maana kuwa,wasichana wasiojiamini huanza ngono wakiwa na umri mdogo sana.

Labda ndiyo maana inadaiwa kwamba, wasichana wenye aibu sana, ni wepesi wa kukubali kufanya ngono ukilinganisha na wale wasio na aibu na wanaojichanganya na wanaume kwa sana. Kama aibu hizo ni zile zinazotokana nakutojiamini, basi kuna ukweli ndani yake.




Wataalamu wa masuala ya uhusiano wanadai kwamba, msichana akiwa anajiamini sana, ni mara chache sana kukuta ameingia kwenye ngono za mapema. Kwa wale wasichana wenye aibu huingia kwenye ngono za mapema, katika juhudi zao za kuficha udhaifu walio nao.

Kwa mfano, msichana ambaye anaamini kwamba, yeye ni mbaya kwa sura na umbo labda, ambaye anaamini kwamba,hana uwezo darasani, ambaye anaamini kwamba, kuna kasoro fulani kwake au ndugu au jamaa yake katika familia na jambo hilo likawa linamkera, huyu ni rahisi kuingia kwenye ngono za mapema.





Inaweza kuwashangaza kwamba, kwa upande wa wavulana, mambo ni tofauti sana. Kwa upande wa wavulana tafiti zimeonyesha kitu tofauti. Zimeonyesha kwamba, wale wavulana ambao wanajiamini sana, huanza ngono za mapema kuliko wale wasiojiamini…… ajabu eh!

Kwa mvulana ambaye anaamini kwamba, hayuko sawa, ana kasoro au udhaifu ambao unamkera, huyu hawezi kuanza ngono mapema.

Kwa wasichana inaelezwa kwamba,labda sababu ya kufanya hivyo ni kutafuta kuziba udhaifu wake kupitia jambo hilo. Kwa kufanya ngono mapema anaamini ataonekana kuwa anajua ni mjanja na anayependwa zaidi.



Kwa mfano, utafiti wa karibuni kuhusu jambo hilo ni ule ulioongozwa naDk. Gregory D. Zimet wa chuo Kikuu cha Indiana, huko Indianapolis, nchiniMarekani, ambapo wasichana na wavulana 188 walishirikishwa.


Ilionyesha wazi kwamba, wasichana ambao walikuwa hawana ubikira kufikia miaka 14, wengi walikuwa hawajiamini na walijiingiza kwenye ngono za mapema ili kuziba pengo hilo la kihisia.

‘Kujiamini hufanya kazi kwa njia tofauti kati ya wasichana na wavulana, katika suala zima la kuanzisha uhusiano kimwili.’ Alisema mtafiti huyo.

Ukikuta wanafunzi wa umri wamiaka 13 hadi 16 wana uhusiano wenyewe kwa wenyewe kwa mfano, mara nyingi utagundua kwamba, msichana ni yule asiyejiamini na mvulana ni yule anayejiamini. Kama ni kuanzisha jambo hili, wasichana wasiojiamini huwa wanalianzisha sana, yaani huwatongoza wanaume, siyo wao kutongozwa.

Wavulana wasiojiamini hawawezi kuingia kwenye ngono za mapema kwa sababu jambo hili katika umri mdogo huhesabiwa kama ni aibu lakini lenye kuonyesha ushujaa. Kwa kuwa watoto wengi wamefundishwa kwamba, inabidi wafanye kitu kikubwa ndipo wastahili kupendwa, bila kujiamini inakuwa vigumu mvulana mwenye aibu kulianzisha.

‘Kwa kufikiri tu mtu ataona kwamba, jambo hili linatokana na namna jamii inavyolitazama na ilivyolijengea mitazamo tofauti, suala zima la uhusiano kijinsia.’ Alisema mtaalamu huyo.

Kwa wasichana wanaojiamini, kujiamini kwao hugeuka ngao ya kuwazuia kushiriki ngono za mapema, kwa wale wasiojiamini, kutojiamini kwao huwasukuma kwenye kushiriki ngono za mapema, wakitafutakutambuliwa.



Labda mnaweza kujiuliza kwa nini nimetaja lara 1 na si Kongosho au King'ast?

Nimemtaja Lara 1 ili kuwakilisha kundi la wale wasichana wanaojiamini, kujiamini ninakozungumzia hapa ni ile tabia ya mtu kusema kile anachokiamini bila kumung’unya maneno, hapa JF wapo wengi lakini baadhi yao hujificha nyuma ya ID zao na si rahisi kujichanganya. Kwa upande wa lara 1 yeye anajipambanua kama yeye, anajichanganya na haoni tabu kujitambulisha kwa ID yake. Kwa hiyo pamoja na mtifuano anaopambana nao katika jukwaa la MMU, lakini bado anabaki kuwa yule yule Lara 1 tuliyemzoea. Unaweza kujiuliza enzi za usichana wake alikuwa ni binti wa aina gani? Huyu pamoja na kwamba anao udhaifu kama binadamu wengine lakini udhaifu huo haumuondolei kujiamini kwake.

Wasichana wanaoshiriki ngono za mapema, ukiwatazama sana utaona ni kwa kiasi gani wana hisia za kutojitosha, zakutoamini kwamba, wao wamekamilika na hutafuta kitu kingine kitakachowakamilisha, hivyo si rahisi kwao kukwepa vishawishi vya kundi rika, kitu ambacho si rahisi kutokea kwa wasichana wa ainaya Lara 1.

Kwa wale wasichana wanaojiamini wao humudu sana kukwepa vishawishi vya kundi rika ambavyo mara nyingi huweka ushawishi mkubwa kwenye kushiriki ngono za mapema.



Kwa kutojiamini kama nilivyosema,msichana huhisi kwamba, amekomaa, anajua mambo au huhisi kwamba, akiwa na rafiki wa kiume wanayefanya naye mapenzi, atakuwa amepata mlinzi. Kwa msichana asiyejiamini, kufanya ngono za hovyo, tena waziwazi, ni jambo la kawaida, kwa sababu anaamini watu wakijua kwamba, anafanya, atapata sifa na atakuwaamepandishwa thamani kidogo. Tukumbuke kwamba, kutojiamini kunatokana nakujitilia mashaka kutokana na hali zetu, na kujitilia mashaka huko kunatufanyatuhisi hatuna thamani. Kwa hiyo pale ambapo tunahisi kwamba kutatupa nafuu nakutupandisha thamani, basi tunaelekeza nguvu zetun hapo ili kujifariji.

Kwa bahati mbaya, mara nyingi,vitendo vya ngono za mapema, humshusha badala ya kumpandisha. Kwa kadirianavyojihusisha na ngono za utotoni huzidi kuonekana hana maana na anapogunduaameonekana hana maana huzidi kufanya akidhani itamwokoa.

Kuna haja kwa wazazi kujitahidi kuwasaidia watoto wao wa kike kujenga kujiamini. Hii wanaweza kuifanya kwa kuwaonyesha upande wap mzuri na kuwaambia matarajio yao kwao. Kuwaonyesha kwamba, siyo wazuri, hawana ufahamu mkubwa na mengine ya aina hiyo, inawezak uwa tiketi ya kuwapeleka kwenye ngono za mapema.


vp Mtambuzi hv ile pRINCIPLE YA USE AND DISUSE UNAIKUMBUKA?

IT STATE THAT "THE MORE AN ORGAN IS FREQUENTLY USED THE MORE EFFICIENT IT BECOMES, THE LESSER IT IS

USED THE MORE OBSOLETE IT BECOMES"
 
Hahahahaaaaa! Watu 8 anameza mate kitambo? Mmmmmmh YOU MIGHT BE NOT AN OLD VIPER BUT YOU ARE SURE AS HELL DEADLY AND POISONOUS! What you lacked in age you have compasated it with VENOM! Loooooh! Hahahahaa! Kwingine anajiweka nyuma? CAN YOU BE ANY MORE DEADLIER AND VENOMOUS.? Hahahahaa! Hufai hata kwa mbolea!

kwi kwi kwi unanionea tu afu umeona dili limebuma unataka kunigombanisha na watu8 lol
 
"""Kuna haja kwa wazazi kujitahidi kuwasaidia watoto wao wa kike kujenga kujiamini. Hii wanaweza kuifanya kwa kuwaonyesha upande wap mzuri na kuwaambia matarajio yao kwao. Kuwaonyesha kwamba, siyo wazuri, hawana ufahamu mkubwa na mengine ya aina hiyo, inawezak uwa tiketi ya kuwapeleka kwenye ngono za mapema.""""

hii ndo niloichukua basi///
\\itara
 
Dah kuna watu wana maneno kuntu

eti usikate tamaa bora ukate kiuno upate senti, hahaha uwii mama yooo mama yoo
 
mwanaume anatolewa bikra? Dah ina maana kama mwanaume ni bikra cell membrane kwenye urethral inakuwa haijatoka nini ama sijaelewa vizuri
Kama unataka kuelewa vizuri penda wake za watu ipo siku utajijuwa kama kumbe na wewe ulikuwa una bikra yako unaikalia tu.
 
Back
Top Bottom