Sitashangaa kubaini mtu kama Lara 1 bado ni bikra

ukweli ndiyo huo kwa kweli ila ndio baba zetu kaka zetu na waume zetu ,,,... but their selfish in nature including you Tized

Nimefurahi kwamba hujanihusisha na huo unyama wa wanaume....

Nimesikitika tu kumhusisha Tized ambaye tunaheshimiana sana, nitakua wa mwisho kuamini maneno yako dhidi yake
 
Last edited by a moderator:
Kuna wale wasichana ambao wanasukumwa na kile ambacho wanakiona kwenye maTv..internet...na vitu kama hivyo...nao tunawaweka kundi gani?

Je wana tabia ipi?
Suala la binti kusukumwa kuingia kwenye ngono za mapema kutokana na kuangalia TV na intenet kunategemea pia na tabia ya mtu.....
 
Akamwuliza; Tized! unaona nini?..... ''Naona watu kama miti inakwenda''

061124ad.jpg
 
Mkuu Mtambuzi nakushukuru kwa kuliona hilo... miss chagga anataka tu kutuchafua apa. Hajui wanaume ndio wanaoongoza kwa kuwa na roho nzuri, wenye huruma, wenye kupenda bila ubaguzi na kujali. Ila anasahau pia kwenye vizuri hakikosekani kinyume chake ambacho ukikitumia kusema vyote vipo kama hiko unachokiona kibaya wewe unakua hujatenda haki kwa hao 99% nzuri.

Nakushukuru Mkuu kwa kusimama na mimi bwana.

Nimefurahi kwamba hujanihusisha na huo unyama wa wanaume....

Nimesikitika tu kumhusisha Tized ambaye tunaheshimiana sana, nitakua wa mwisho kuamini maneno yako dhidi yake
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mtambuzi nakushukuru kwa kuliona hilo... miss chagga anataka tu kutuchafua apa. Hajui wanaume ndio wanaoongoza kwa kuwa na roho nzuri, wenye huruma, wenye kupenda bila ubaguzi na kujali. Ila anasahau pia kwenye vizuri hakikosekani kinyume chake ambacho ukikitumia kusema vyote vipo kama hiko unachokiona kibaya wewe unakua hujatenda haki kwa hao 99% nzuri.

Nakushukuru Mkuu kwa kusimama na mimi bwana.

Pole mkuu, nimefurahi ameomba radhi

CC: miss chagga
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom