Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,945
Ndogo, nyie ndo mnaobaka mawazo ya watu.
Shimbony awae!!!
Ndogo, nyie ndo mnaobaka mawazo ya watu.
Lazima awe amestua nyagi kiasi, mkavu mkavu hawezi.
hii nitakufuata chemba. Ila kujiamini kupita kiasi kunapunguza hata hao applicants. hivi ni wanaume wangapi wana confidence ya kujilipua kwa, say; Karucee?
just to remind you hakuna mkate mgumu mbele ya chai,hata awe anajiamini vipi lazima atakuwa na weakness zake ambazo mwanaume anaweza kuzitumia
its just the matter of time mwanaume kumzoea mwanamke na kumjua.
Ni kweli, wanaojiamini sana, huwa bikra muda mrefu kwa sababu, wanakosa wanaume, wa kuwavumilia, lakin mkumbuke wanawake wa aina hii hupata tabu sana ktk mahusiano, maana huwa na attitude za kiume, commands nyingi, jeuri, akiwa amesoma ndio shiiiidah' mostly wengi wao hudevelop tabia ya kujitegemea, na pia hupatwa na matatizo sana ktk mahusiano, pia nao hupenda vibaya sana, yaani akikuganda huyu ni majanga,
Nina xperiance na aina hii ya mwanamke, n huwa sio wasafi wa genital parts zao, most of them, maaana huitumia kwa ajili ya haja ndogo tuu, na kubwa kuliko yote, wanawake wa aina hii hawajui MAPENZI.
Narudia, nina xperiance ya wanawake of this nature, ni wale ambao mkiwa ktk mahusiano, ukitaka Papuchi, unaambiwa subiri Mpaka Muoane... Ni shiiiiiiiidah.
Bora asiejiamini, ila Mjuzi wa Mavituuuuuuz.
Akamwuliza; Tized! unaona nini?..... ''Naona watu kama miti inakwenda''
NIKUSAIDIE KIDOGO HILO ANDIKO HILI HAPA: MARK 8:22-23
Yesu alifika Bethsaida pamoja na wanafunzi wake. Huko watu wakamletea kipofu mmoja, wakamwomba amguse. 23 Yesu akamshika mkono huyo kipofu, akampeleka nje ya kijiji. Akamtemea mate machoni, akamwekea mikono, akamwuliza, "Je, unaweza kuona kitu?" 24 Huyo kipofu akatazama, akasema, "Ninawaona watu wanaoonekana kama miti inayotembea." 25 Kisha Yesu akamwekea tena mikono machoni, naye akakaza macho, uwezo wake wa kuona ukamrudia, akaona kila kitu sawasawa. 26 Yesu akamwambia aende zake nyumbani na kumwamuru, "Usirudi kijijini!"
Unaweza kuwa naexperience nao, lakini hawa respresent wanawake wote wa aina hiyo.
Mwenza kama hajui ma vituzi unamfundisha, labda kama hujafika bei.
King'asti, teh teh teh. Aisee I wish nijue what it means to be timid and lack confidence for just a day. Just one day.
Access Denied..!!!!!!!