Sitashangaa kubaini mtu kama Lara 1 bado ni bikra

Sitashangaa kubaini mtu kama Lara 1 bado ni bikra

Hahahaaaa! Baby nilikua nakizingua hiki ki baby snake turned Viper Miss Neddy! Usiwasikilize banaaa! Mwaaaaaaah!
Hapo tu ndio unaponipatia, haya leo hakuna kupika dinner wala kwenda kula out, ni home delivery pizza from debonair.

Wewe jiachie i will be back later.
 
Bikra=kujiamini!
Haya sasa!hivi Anna Makinda nae anaweza kua bikra eeh?
 
Matola asisome hapa na hata akisoma basi asahau chap chap...

SIX PACKS, HANDSOME, CHOCOLATE COLOR, BIG BULGE PACKAGE BTN THE LEGS, ANIKAGUAGE TUUUUU! Kwani nimebishaaaaaaaa! Kwani nimebishaaaaaaaa! Anikaguage tu mwayego mi mnyonge nitafanya nini sasa?

Najua mnataka kumkera Matola tu hamna lolote!
 
Last edited by a moderator:
mtambuzi umenionea, nna nzao 4 tu, lakini bikra safii.
 
Lara 1 anajuwa mimi siyo mchaga sipigi risasi mwanamke na wala sipigi juu kumpiga Mungu na i will never mis target when i shoot any cocroch.

Mkuu i don't bite...miye nifanyacho ni kukagua tu ili hii mada ya babu Mtambuzi isadifu maudhui...
 
Back
Top Bottom