Sitaruhusu mke wangu kumiliki smartphone...

Sitaruhusu mke wangu kumiliki smartphone...

Demu akikuzd akili mbaya sana anaweza akatumia simu yako wewe mwenyewe kutongozana, kuna uzi nilishangaa kweli mke kwa set call divert mme et hawez kuitoa, ooohhh my world....
 
Wengi ni wahanga ktk hili. Ni mada mzuri sana, iboreshe zaidi....
 
Mwanamke ni sawa na mtoto Mdogo aliyeshika kisu anaweza kuchoma mtu yeyote yule hata yeye pia huenda akajichoma'hvyo bac yatupasa kuwalea kwa akili sana coz tumekabidhiwa kuwatawala hadi mwisho wa maisha yetu. Mwanamke anaweza tembea hata na mbwa huku akijidanganya kuwa yule mbwa ndio ubavu wake
 
Utateseka sana mkuu, kwa nini usijiwekee msimamo tu wa kumuacha awe huru ila siku ukigundua tu pasipo shaka unarudisha mpira golini.
Ukiona mwanamke anabadilika jua lazima chanzo kiwepo dawa yake nikukata huo mzizi unaomfanya abadilike
 
Sasa ukimpa smartphone maana yake cheating zote 2 emotional & really cheating (according to u) zitaendelea.
Upo sahihi lakini really cheating ambayo huwezi kudhibiti kirahisi ni hatari zaidi...
 
Upo sahihi lakini really cheating ambayo huwezi kudhibiti kirahisi ni hatari zaidi...
Hayo ni mawazo ya kale na kikoloni. Utaweza kufanya hivyo iwapo mkweo ni mbumbumbu tena wa kijijini.kwa mfano mke wako ni msomi na anakazi nzuri anapewa simu kazini utamkataza?
 
Wanaume wenye masharti masharti bora kuishi single na uwe na furaha tu,,mambo ya utu uzima huu kupangiwa vya kufanya siwezi ,,moyo wangu unatakiwa kuwa na furaha na niupe furaha
 
Kama mkeo ana tabia mbaya ataliwa tu awe na smart phone au asiwe nayo. Issue ni tabia ya mtu na kujiheshimu na kujielewa kwake hizi smartphone tunazisingizia tu. Kwani anayechapwa ni mkeo au smartphone? kama ni mkeo ina maana smartphone haihusiki
 
Lkn mazingira pia yanachangia sana. Mwanamke anayefanya kazi bar ni rahisi sana kumegwa kuliko yule anayefagia kanisani ama msikitini.
Kwa muktadha huo huo, anayetumia smartphone ni rahisi sana kumegwa kuliko asiyetumia
endelea kujidanganya hivyohivyo hata wa kwenye nyumba za ibada wanamegwa vizuri sana, tena unamuachia mwenyewe kiroho safi unajua anaenda kwenye mambo ya Mungu kumbe watu wanakula mzigo kiulaini
 
Smartphone inawafanya wadada kuwa wendawazimu, kuenenda kama nyumbu (kuigana) na kufanya vitu vilivyo chini ya umri wao.

Mdada ana mume wake na amebahatika kuzalishwa watoto 0, 1, 2, 3, ...anaanzaje kutupia selfie kwenye social network? Lengo lakevnn hasa? Anauza sura yake kwa wakware walioko social networks. Si ndiyo hivyo?

Sasa dawa ni hii: nitanunua compyuta moja itakaa nyumbani ambayo ndiyo tutatumia kuchat na watu kwenye social networks mida ya jioni baada ya kazi. Tutatumia password inayofahamika na wote 2, iwe Facebook, WhatsApp, badoo, Instagram, LinkedIn, Snapchat, n.k kote huko tunaingia wote.

Imebainika kwamba siku hizi wake za watu hutongozwa hata mbele ya waume zao kupitia mitandao ya kijamii. Utaona tu mkeo anaguna kuashiria cheko fupi, ukiuliza atakuonyesha video fupi ya Kansiime, kumbe anakupoteza maboya. Kishatongozwa tayari.

Kuna wazembe wanaziruhusu smartphones hata kitandani, na kupelekea wake zao kutongozwa wakiwa kitandani. Kama inavyoonekana kwenye picha hapa chini.

Mke wangu hatakuja kutumia smartphone, itakuwa mwendo wa Nokia tochi tu. Mitandao ya kijamii ni nyumbani tukiwa naye sebuleni kwenye kompyuta moja.

View attachment 614983
Ila wewe upo huku na unafanya upendecho, jiamini acha woga
 
Hayo ni mawazo ya kale na kikoloni. Utaweza kufanya hivyo iwapo mkweo ni mbumbumbu tena wa kijijini.kwa mfano mke wako ni msomi na anakazi nzuri anapewa simu kazini utamkataza?
Ni sawa. huwezi kumkataza wala kumzuia kuwa na smartphone. Ila unatakiwa kuwa uwe na akili ya wakati huu pia ili uweze kumkamata kama anacheat utajua tuu na utapata ushahidi usio tia shaka hata kama angekuwa ana PhD. Ni rahisi kukua kwa technology isiwe shida kuwakamata wanaocheat, bali ni rahisi zaid wangu nilimkamata mchana kweupe mpaka akabaki ametoa macho kama mjusi akaamua kuondoka mweneyewe bila kufukuzwa...nisikuchoshe
 
Come down kaka yangu usipate pressure ya bure usidhani kila mwanamke umuonae atakaua sawa na mkeo. Watu wanajielewa na kikubwa ni uaminifu. Kama mumeo anakuamini I hope na mwanamke atajitahidi kutunza uaminifu. Unaweza mnunulia kitochi ndo ikawa balaa. Ukioa mgawaji atagawa tuuu haijalishi ana smart phone or what
 
Wanaume wenye masharti masharti bora kuishi single na uwe na furaha tu,,mambo ya utu uzima huu kupangiwa vya kufanya siwezi ,,moyo wangu unatakiwa kuwa na furaha na niupe furaha
Halafu wenye wivu hivyo ndo wachepukaji balaa si anajua anawapatag huko kwenye social media so anajihami na mkewe asiliwe
 
Ukizuia watu wa social networks, sisi wauza genge tutamgegeda

Mytake: mke hachungwi
 
Wanawake wana 100 ways of cheating...wala huwezi kumzuia akitaka.....ATAPIGWA TU
 
Kaoe li unskilled hata skills za kuuza genge halina
 
Back
Top Bottom