NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,397
Haijawa Dawa.........
Hahaha mkuu umeongea kwl tupu,kila la kheri ngoja sie ambao wake zetu wanasmatphone tuendelee kupambana na hali zetu

Kweli ndio akili yenyewe hiyoLkn tumeambiwa na maandiko matakatifu kwamba ishini nao kwa akili. Kumnyima smartphone ndiyo akili yenyewe hiyo

Ahahaaa! tena sokoni ndio kubaya kabisa! na mabuchani! Yaani hawa jamaa mkeo akiwa rahisi laazima watampata sipendagi kabisa hao jamaa kumzoea mke wanguZamani kulikuwa hamna smart phones na bado walichepuka na kuzaa nje ya ndoa.. Tabia haina dawa ataenda kanisani, sokoni kazini kooote huko kuna wanaume akiamua kuchepuka anachepuka tuu... We muombe Mungu akupe mke wa kufanana nawe mkuu
Asante kwa ushauri mkuuMkuu..
Mimi ntakushauri hilii tuu..
Ukitaka hilo litimie Kaoe Usukumani..
Siku nikimhisi ama kupata fununu talaka itakuwa halali yakeNchepuko utamnunulia smartphone ataiacha kazini
Nitapigiwa lkn siyo hovyo hovyo kama hawa kwenye smartphonesBado utapgiwa tu
Siwezi kumdhibiti kwa 100% lkn itasaidia sana mbinu hiiHata umpe Nokia ya tochi hata akikaa bila simu bado atatongozwa na mzigo analiwa.
Kuwa huru jiamini mwanamke hachungwi.
![]()
![]()
![]()
![]()
Huko kuzuri sana, kwa masingo boyHuku kusini(Mtwara na Lindi) mwanamke kukunyima utamu ni kitu cha ajabu kabisa. Wanamseo," Kunnyima ntu kitu umepewa buree na Mungu" Kama kuna mtu anawivu hii mikoa hastaili kuishi.
Hawa watu sijui kawafundisha nani haya maufundi, wamefuzu katika ngazi ya Phd. Speaking from my experience.
UmeonaeeAhahaaa! tena sokoni ndio kubaya kabisa! na mabuchani! Yaani hawa jamaa mkeo akiwa rahisi laazima watampata sipendagi kabisa hao jamaa kumzoea mke wangu
Maneno kuntu!Smartphone atumie tu, kwahiyo ukimkuta ameshaanza kutumia smartfone umnyang'anye? Si ajabu ulimpata kwa kutumia smart foni hiyo hiyo, cha msingi ni kuweka mpaka juu ya matumizi ya simu mko naye kitandani anachati na nani?? Kumbuka huwezi kumchunga ukafanikiwa, suala la kujichunga ajichunge mwenyewe tuu ukigundua anagawa nje mpige chini bado hajajitambua huyo
Hahahah!Mkuu kuku akirushiwa sana punje za mahindi mwishowe anajisahau na kuishia kukamatwa
Dah!Umeonaee
Wanaanzaga kumuongeza utumbo kwanza... Kesho maini Kesho kutwaaa jiiongezee

PoyeeeeDah!![]()
![]()
Siyo jambo rahisi kumuacha umpendaye. Ni bora kuzuiaUtateseka sana mkuu, kwa nini usijiwekee msimamo tu wa kumuacha awe huru ila siku ukigundua tu pasipo shaka unarudisha mpira golini.