Sitaruhusu mke wangu kumiliki smartphone...

Smartphone inawafanya wadada kuwa wendawazimu, kuenenda kama nyumbu (kuigana) na kufanya vitu vilivyo chini ya umri wao.

Mdada ana mume wake na amebahatika kuzalishwa watoto 0, 1, 2, 3, ...anaanzaje kutupia selfie kwenye social network? Lengo lakevnn hasa? Anauza sura yake kwa wakware walioko social networks. Si ndiyo hivyo?

Sasa dawa ni hii: nitanunua compyuta moja itakaa nyumbani ambayo ndiyo tutatumia kuchat na watu kwenye social networks mida ya jioni baada ya kazi. Tutatumia password inayofahamika na wote 2, iwe Facebook, WhatsApp, badoo, Instagram, LinkedIn, Snapchat, n.k kote huko tunaingia wote.

Imebainika kwamba siku hizi wake za watu hutongozwa hata mbele ya waume zao kupitia mitandao ya kijamii. Utaona tu mkeo anaguna kuashiria cheko fupi, ukiuliza atakuonyesha video fupi ya Kansiime, kumbe anakupoteza maboya. Kishatongozwa tayari.

Kuna wazembe wanaziruhusu smartphones hata kitandani, na kupelekea wake zao kutongozwa wakiwa kitandani. Kama inavyoonekana kwenye picha hapa chini.

Mke wangu hatakuja kutumia smartphone, itakuwa mwendo wa Nokia tochi tu. Mitandao ya kijamii ni nyumbani tukiwa naye sebuleni kwenye kompyuta moja.

View attachment 614983
Smartphone si tatizo wewe hakikisha hamiliki papuchi maana kama anayo ni majanga tu kwa kizazi hiki kisicho mjua mungu na kisicho na maadili ya utu hata chembe wala hakijiheshimu
 
Smartphone inawafanya wadada kuwa wendawazimu, kuenenda kama nyumbu (kuigana) na kufanya vitu vilivyo chini ya umri wao.

Mdada ana mume wake na amebahatika kuzalishwa watoto 0, 1, 2, 3, ...anaanzaje kutupia selfie kwenye social network? Lengo lakevnn hasa? Anauza sura yake kwa wakware walioko social networks. Si ndiyo hivyo?

Sasa dawa ni hii: nitanunua compyuta moja itakaa nyumbani ambayo ndiyo tutatumia kuchat na watu kwenye social networks mida ya jioni baada ya kazi. Tutatumia password inayofahamika na wote 2, iwe Facebook, WhatsApp, badoo, Instagram, LinkedIn, Snapchat, n.k kote huko tunaingia wote.

Imebainika kwamba siku hizi wake za watu hutongozwa hata mbele ya waume zao kupitia mitandao ya kijamii. Utaona tu mkeo anaguna kuashiria cheko fupi, ukiuliza atakuonyesha video fupi ya Kansiime, kumbe anakupoteza maboya. Kishatongozwa tayari.

Kuna wazembe wanaziruhusu smartphones hata kitandani, na kupelekea wake zao kutongozwa wakiwa kitandani. Kama inavyoonekana kwenye picha hapa chini.

Mke wangu hatakuja kutumia smartphone, itakuwa mwendo wa Nokia tochi tu. Mitandao ya kijamii ni nyumbani tukiwa naye sebuleni kwenye kompyuta moja.

View attachment 614983
Wewe ndiyo boya kweli!! Kwani kutongozwa mpaka smartphone? Atanyonyolewa na kuliwa kipitia hiyo hiyo Nokia tochi. Kuhusu hiyo computer yako, haikusaidii chochote maana atajiunga kwenye magroup ya what's sap usiyoyajua kupitia hiyo hiyo computer yako au smartphone za rafiki zake!!
 
Muda wa mawindo umeisha sasa tunajenga familia. Kama hataki namsepesha
Uamzi mzuri kabisa, maana hizi simu zimekuwa kikwazo kikubwa na chanzo kikuu kwa matatizo ya ndoa na mahusiano.
 
kwa kizazi hiki kisicho mjua mungu na kisicho na maadili ya utu hata chembe wala hakijiheshimu
But baadhi wanao mjua mungu na kujiheshimu wapo mkuu. Na hawa ndiyo ukiwaondolea vishawishi kama smartphone mambo yanaenda bizuri
 
Uamzi mzuri kabisa, maana hizi simu zimekuwa kikwazo kikubwa na chanzo kikuu kwa matatizo ya ndoa na mahusiano.
Kqbisa mkuu. Mke anatongozwa mpk akiwa kitandani!!?
 
But baadhi wanao mjua mungu na kujiheshimu wapo mkuu. Na hawa ndiyo ukiwaondolea vishawishi kama smartphone mambo yanaenda bizuri

Ambaye anamjua Mungu huwa ni ngumu sana kuingia vishawishi. So kuzuia smartphone sio sababu utazuia mangapi? Kwa dunia ya sasa huwezi kama ni cheater ata cheat tu hata na baba yako au kaka yako hii nimeiona kwenye familia live. Mke hana hata simu aliishia kulala na Shemeji yake. Ukizuia ndio utafanya awe mkora zaidi maana wanawake wana uongo mwingine sana huku wakijidai wana sura za kondoo. So dear usitake kufa kisa kufuatilia mwanamke ishi kwa raha dunia hii tunapita tu why uji stress.
 
Kwa maelezo yako haya utanifanya nisimuamini mwanamke yeyote. Naweza nisioe kabisa
 
We amini Mungu mbona atakulinda na mengi sana. Ukimuamini kwa moyo wako wote atakupa mke mzuri sana. Shida ni pale unapotaka kutumia nguvu nyingi kulinda binadamu na kutegemea akili yako ndio iwe inalinda hii hutaweza.
 
We amini Mungu mbona atakulinda na mengi sana. Ukimuamini kwa moyo wako wote atakupa mke mzuri sana. Shida ni pale unapotaka kutumia nguvu nyingi
Hata maandiko yanasema jisaidie nami nitakusaidia. Imani ina misingi na masharti yake. Je, ikitokea umempata anayestahili halafu baada ya miaka kadhaa akatekwa na shetani? Shetani anaweza kumteka kupitia smartphone. Ndiyo maana ili kuhakikisha hatekwi na shetani wa smartphone tunamlinda kwa kumzuia kuitumia.

Siyo kwamba kwa kuwa tunamtegemea mungu basi tubweteke tu bila kuchukua hatua
 
We shetani unamuona kwenye smartphone tu? Ukitaka kumuondoa shetani kwa mke wako kata uke wake uondoe kabisa basi hapo umemaliza kazi. Hivi hivi utajichosha tu shetani anahila sana na nadhani humjui shetani vizuri. Shetani yuko kila mahali ni wisdom ya Mungu tu inahitajika kumshinda na vishawishi vyake. Fikiria maisha kabla ya smartphone na watu walicheat bado.
 
Kuzuia mitandao ya kijamii kwa wakati huu ni sawa na kuzuia mafuriko kwa viganja vya mkono
 
Back
Top Bottom