Sitaruhusu mke wangu kumiliki smartphone...

Sitaruhusu mke wangu kumiliki smartphone...

Kwani na huyo mwanamke kila anapotongozwa ni lazima akubali na huku anajua anamume wake.
Kama ni hulka yake hata kusiwe na TV ndani atakitembeza tu sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Zamani kulikuwa hamna smart phones na bado walichepuka na kuzaa nje ya ndoa.. Tabia haina dawa ataenda kanisani, sokoni kazini kooote huko kuna wanaume akiamua kuchepuka anachepuka tuu... We muombe Mungu akupe mke wa kufanana nawe mkuu
Lkn tuwe wakweli mkuu, ukilinganisha kiwango cha mchepuko na kuvunjika kwa ndoa miaka hii ni sawa na kile cha zamani?
 
Kwani na huyo mwanamke kila anapotongozwa ni lazima akubali na huku anajua anamume wake.
Kama ni hulka yake hata kusiwe na TV ndani atakitembeza tu sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu kuku akirushiwa sana punje za mahindi mwishowe anajisahau na kuishia kukamatwa
 
Bora smartphone unaweza ihack au monitor anachofanya, ila hizi feature phone a.k.a simu za torch yani kuihack au kuimonitor huwez akifuta ndo basi...
Unaruka mbolea iliyotokaba na ng'ombe unakanyaga mbolea aliyoachia bashite..
 
Mwanamke anaweza kutongozwa muda wowote siyo lazima awe ana miliki smartphone.

Mwanamke anaweza iga au kufanya chochochote bila hata kumiliki smartphone...

Smartphone siyo mbaya, binadamu ndiyo wabaya...

Cc: mahondaw
 
Lkn tumeambiwa na maandiko matakatifu kwamba ishini nao kwa akili. Kumnyima smartphone ndiyo akili yenyewe hiyo
Hiyo siyo akili bali ni kutumia nguvu maana utakuwa umetumia ubabe ila yeye atakuwa hajaridhika.
Akili ni pale unapomset akarudhika kumbe una yako.
 
Lkn tuwe wakweli mkuu, ukilinganisha kiwango cha mchepuko na kuvunjika kwa ndoa miaka hii ni sawa na kile cha zamani?
Ukweli ni kwamba, simu haiwezi mfanya mtu achepuke. Ni tabia ya mtu tuu mkuu. Kwani hawezi sema HAPANA???!!!
 
Mwanamke anaweza kutongozwa muda wowote siyo lazima awe ana miliki smartphone.

Mwanamke anaweza iga au kufanya chochochote bila hata kumiliki smartphone...

Smartphone siyo mbaya, binadamu ndiyo wabaya...

Cc: mahondaw
Mkuu naomba uuchukue wosia wangu japo kwa 40% tu. Smartphone ni shetani mkubwa anayevunja ndoa za watu kwa sasa. Mkikorofishana kidogo tu mke anamkubalia na kumpa itumbua wa kwenye smartphone.

Mke anatongozwa mkiwa mmelala kitandani, ni sawa hii?
 
Lkn tumeambiwa na maandiko matakatifu kwamba ishini nao kwa akili. Kumnyima smartphone ndiyo akili yenyewe hiyo
Mmmh unaisingizia 'Simu Janja' bure tu...mtu mwenyewe(mwanamke) ndio mwenye tabia mbovu hajiheshimu
 
Tatizo ni pale "smartphones" zinapokuwa SMARTER kuliko owner. Na wanaita hii mitandao ya kijamii "social media", mimi naiita unsocial media. Ila huwezi kumzuia mkeo kumiliki smartphone, akitaka atamiliki kisirisiri.
 
Mkuu naomba uuchukue wosia wangu japo kwa 40% tu. Smartphone ni shetani mkubwa anayevunja ndoa za watu kwa sasa. Mkikorofishana kidogo tu mke anamkubalia na kumpa itumbua wa kwenye smartphone.

Mke anatongozwa mkiwa mmelala kitandani, ni sawa hii?
Hapo sasa ni tabia ya mwanamke mwenyewe siyo smartphone.

Hata akiwa na kitochi kuna sms za kawaida... Kuna kupigiwa simu...

Haya mambo hayana kuzuizi cha moja kwa moja...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom