Sitaruhusu mke wangu kumiliki smartphone...

Sitaruhusu mke wangu kumiliki smartphone...

Siku hizi si kama zamani,wanawake tuna misimamo yetu sio kila kitu mnachotukataza basi mnadhani hatufanyi labda ujigeuze chupi nikuvae kila ninapoenda
Tena atabugi sikuiz hatuvai chupi....mwanamke hachungwi mazee siyo ng'ombe useme uta-take control over her hell no mwanamke anajichunga mwenyewe period!!!
 
Mwanamke anaweza kutongozwa muda wowote siyo lazima awe ana miliki smartphone.

Mwanamke anaweza iga au kufanya chochochote bila hata kumiliki smartphone...

Smartphone siyo mbaya, binadamu ndiyo wabaya...


Cc: mahondaw
Kweli kabisa mkuu [emoji122] [emoji122]
 
Mazingira yanapelekea uharufu kufanyika.Naona watu wanambishia mleta mada wakati ndo ukweli ulivyo
 
Zamani kulikuwa hamna smart phones na bado walichepuka na kuzaa nje ya ndoa.. Tabia haina dawa ataenda kanisani, sokoni kazini kooote huko kuna wanaume akiamua kuchepuka anachepuka tuu... We muombe Mungu akupe mke wa kufanana nawe mkuu
Kabisaa tena walikua wanachepuka kwa mwanaume wa jirani tuu au na shemegi yake..cha msingi amuombe mungu mke mwema sio mke wa kumnyima smart phone.
 
Huo ni ujima unakusumbua mleta mada
Hutaki tu kukubaliana na ukweli mkuu. Mwanamke anayemiliki smartphone hana tofauti na aliye kwenye mazingira ya bar. Muda wote anatongozwa. Na kwa jinsi vichwa vya wanawake wa miaka hii vilivyo kunasa ni haraka mno
 
Hata dunia ichenji vp mwanamke atatongozwa tu
Ni kweli atatongozwa lkn jitihada zikifanyika za kumtoa kwenye mazingira hatarishi kama kuwa na smartphone unakuwa umepunguza sana uwezekano wa mke kugongwa
 
Inaonyesha ni muoga wa kupigiwa mkeo...akiamua kuliwa nje ya ndoa ataliwa tu na huna uwezo wowote wa kumzuia...mwanamke kuliwa ni dk chache tu unaweza kuwa upo sitting room unaangalia tv yeye analiwa jikoni huku boya ukijua mkeo anapikwa.

Kuliwa kwa mkeo ni suala mtambuka mkuu
 
Mazingira yanapelekea uharufu kufanyika.Naona watu wanambishia mleta mada wakati ndo ukweli ulivyo
Sawa saw a mkuu. Ukweli ni kwamba mke anayeruhusiwa kweenda kwenye vigodoro kukesha huko anakuwa kwenye hatari kubwa ya kugongwa kuliko anayezuiwa.

Vivyo hivyo na smartphone, anayeruhusiwa kumiliki anagongwa kirahisi mno
 
Kabisaa tena walikua wanachepuka kwa mwanaume wa jirani tuu au na shemegi yake..cha msingi amuombe mungu mke mwema sio mke wa kumnyima smart phone.

Humu JF kumejaa threads kibao zikihoji kwann ndoa za siku hizi hazidumu? Sabb kubw ni ujio wa smartphone, hata domo zege anatonngoza.

Zamani hata kukutana na mwanamke tu ilikuwa ngumu. Siku hizi tunasukumana kwenye mitandao ya kijamii. Mwanamke akitupiwa chambo na mwanaume huishiwa ujanja lazima anase. Hivyo in vema kupunguza chance ya mwanamke kukutana (kwenye mitandao) na kuzungumza na wanaume. Ndiyo maana smartphone inabidi isimilikiwe na mke
 
Inaonyesha ni muoga wa kupigiwa mkeo...akiamua kuliwa nje ya ndoa ataliwa tu na huna uwezo wowote wa kumzuia...mwanamke kuliwa ni dk chache tu unaweza kuwa upo sitting room unaangalia tv yeye analiwa jikoni huku boya ukijua mkeo anapikwa.

Kuliwa kwa mkeo ni suala mtambuka mkuu
Ni kweli lkn kuchukua tahadhari ni muhimu na hii ni njia mojawapo
 
Binadamu hachungiki...
Anachungika mkuu. Angalia Uarabuni. Wamedhibiti sana nafasi ya mwanamke kukutqna na wanaume, hakuna ufuska kqma huku kwetu. Sasa smartphone ni jukwaa baya sana la kumegwa kwa mwanamke
 
Ni kweli lkn kuchukua tahadhari ni muhimu na hii ni njia mojawapo
Kinachonipa tabu, psychologically ni kwamba akili ya binaadamu inapenda kufunya kile inachokatazwa..hivyo inaweza kuwa ndiyo mwanzo wa kumshawishi kutaka kujua kwa nini unamkataza kuna nini huko kwa social media???? Hapo ndipo anaanza kuingia kwa kisiri..kumbuka yanayofanywa kwa siri mengi huwa mabaya.
Hapa naweza kusema sometimes tunapaswa kuwaacha huru ili waweze kujifunza kwani kwenye mahusiano au ndoa kwa ujumla mimi naweza sema kwamba unaishi na tabia za mtu na tabia ni kama ngozi tu kuibadili ni issue sana utafanikiwa kwa kiasi kidogo ila zingine ni ngumu hususan ya kupenda kugegedwa.
 
Smartphone inawafanya wadada kuwa wendawazimu, kuenenda kama nyumbu (kuigana) na kufanya vitu vilivyo chini ya umri wao.

Mdada ana mume wake na amebahatika kuzalishwa watoto 0, 1, 2, 3, ...anaanzaje kutupia selfie kwenye social network? Lengo lakevnn hasa? Anauza sura yake kwa wakware walioko social networks. Si ndiyo hivyo?

Sasa dawa ni hii: nitanunua compyuta moja itakaa nyumbani ambayo ndiyo tutatumia kuchat na watu kwenye social networks mida ya jioni baada ya kazi. Tutatumia password inayofahamika na wote 2, iwe Facebook, WhatsApp, badoo, Instagram, LinkedIn, Snapchat, n.k kote huko tunaingia wote.

Imebainika kwamba siku hizi wake za watu hutongozwa hata mbele ya waume zao kupitia mitandao ya kijamii. Utaona tu mkeo anaguna kuashiria cheko fupi, ukiuliza atakuonyesha video fupi ya Kansiime, kumbe anakupoteza maboya. Kishatongozwa tayari.

Kuna wazembe wanaziruhusu smartphones hata kitandani, na kupelekea wake zao kutongozwa wakiwa kitandani. Kama inavyoonekana kwenye picha hapa chini.

Mke wangu hatakuja kutumia smartphone, itakuwa mwendo wa Nokia tochi tu. Mitandao ya kijamii ni nyumbani tukiwa naye sebuleni kwenye kompyuta moja.

View attachment 614983
utamzuia kumiliki smartphone jamaa wanakula kama kawaida kwakuwa ataenda msibani, hospitali, kazini (ofisini wanakula) n.k hapo hapo jamaa wanakula. Utanguza emotional cheating lakini ile really cheating itaendelea na hutajua ispokuwa ukiwa kipawa cha akili kubwa utajua tuu hata kama ana smartphone akicheat tu unamkamata.
 
Utapunguza emotional cheating lakini ile really cheating itaendelea
Sasa ukimpa smartphone maana yake cheating zote 2 emotional & really cheating (according to u) zitaendelea.
 
Back
Top Bottom