Sitaruhusu mke wangu kumiliki smartphone...

Sitaruhusu mke wangu kumiliki smartphone...

kwanza kwa nini unaoa mtu usiyemwamini??
Tabia ya binadamu ni kama hali ya hewa (weather), mara jua mara mvua ghafla. Ndiyo maana panahitajika mikakati ya kuondoa visababishi.
.
Si unaona watu wanavyojazana kwenye majumba ya ibada? Tafsiri yake ni kwamba maovu yanatendwa kwa wingi.

Wakristo wao wanasema kila mtu ni mtenda dhambi. Usimuamini MTU ndugu yqngu itakula kwako.
Tahadhari ni muhimu ndugu
 
Siku hizi si kama zamani,wanawake tuna misimamo yetu sio kila kitu mnachotukataza basi mnadhani hatufanyi labda ujigeuze chupi nikuvae kila ninapoenda
Wake za watu mna misimamo gani mbona mnaliwa kirahisi sana kwenye social network hata hapa JF mnaliwa kimyakimya!!
 
Tabia ya binadamu ni kama hali ya hewa (weather), mara jua mara mvua ghafla. Ndiyo maana panahitajika mikakati ya kuondoa visababishi.
.
Si unaona watu wanavyojazana kwenye majumba ya ibada? Tafsiri yake ni kwamba maovu yanatendwa kwa wingi.

Wakristo wao wanasema kila mtu ni mtenda dhambi. Usimuamini MTU ndugu yqngu itakula kwako.
Tahadhari ni muhimu ndugu
Sasa hapo unadhani utafanikiwa nini? Wa hivyo ni tabia yake, ndo maana unakuta wanawake wanauza mwili lakini mwingine anauza karanga, unajiuliza anayeuza mwili yeye ndo kaona ndo njia sahihi? Mimi nadhani ukishaona huwezi kumuamini better kumwacha tu au kuamua aina nyingine ya maisha.
 
tehe tehe tehe
Tabia aidhibitiki, ni mtu binafsi na hulka yake
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] kama ni mchepuko ni mchepuko tu hata ufanye nn ni tabia ya Mke tu ndo itakuokoa ila Mke anayejielewa wengi nimewaona wanatumia WhatsApp tu [emoji127]
 
ndo maana unakuta wanawake wanauza mwili lakini mwingine anauza karanga, unajiuliza anayeuza mwili yeye ndo kaona ndo njia sahihi?
Duuh! Unaweza kuwa sahihi mkuu. Umegusa mifano ya kitaani kabisa. Dada na shape lake anafanya umama ntilie lkn kuna mwingine anajiuza. Mmh!
 
Mkuu naomba uuchukue wosia wangu japo kwa 40% tu. Smartphone ni shetani mkubwa anayevunja ndoa za watu kwa sasa. Mkikorofishana kidogo tu mke anamkubalia na kumpa itumbua wa kwenye smartphone.

Mke anatongozwa mkiwa mmelala kitandani, ni sawa hii?
Hatari sana yani mbay wife akiwa beki hazikabi mbona utakoma na ndoa yako hio.
 
tehe tehe tehe
Tabia aidhibitiki, ni mtu binafsi na hulka yake
Lkn mazingira pia yanachangia sana. Mwanamke anayefanya kazi bar ni rahisi sana kumegwa kuliko yule anayefagia kanisani ama msikitini.
Kwa muktadha huo huo, anayetumia smartphone ni rahisi sana kumegwa kuliko asiyetumia
 
Siyo jambo rahisi kumuacha umpendaye. Ni bora kuzuia
Inauma sana ukiwa muaminifu kwa mke/mume ama mtu na una plan nae za mbali sana halafu anakuwa anatabia za kuflirt na watu behind your back. Sio siri smartphone zimerahisisha mno huu mchezo kuliko hali ilivyokuwa enzi za nokia jeneza.
 
Kulinda Mwananke Ni Sawa Na Kulinda Bahari Ukilinda Coco Beach Wenzako Wanachota Maji Puerto Rico Huko...
Kinachofanyika hapo mkuu ni kupunguza uwezekano (probability) wa kumegwa. Chukulia mfano mke anayefanya Nazi bar na yule anayehudumu kwenye nyumba za ibada. Wa kwenye bar ana mazingira hatarishi mno. Na huyu mwenye smartphone ana mazingira hatarishi mno
 
Siyo jambo rahisi kumuacha umpendaye. Ni bora kuzuia
Ni kweli hili unaamua kumfuatilia tu na kumkanya, ila inafikia stage inachosha ukiangalia umepoteza miaka mingi san na mshafanya mengi
 
Sio siri smartphone zimerahisisha mno huu mchezo kuliko hali ilivyokuwa enzi za nokia jeneza.
Yaani sana mkuu. Wakware wanam-like tu huko kwenye mitandao, wanaanza kumsifia mke wa MTU kisha anamegwa.

Au huko kwenye magroup wanataniana kisha wanammega .Hatari sana.
 
Back
Top Bottom