Labda uwe na mke ambaye ana uke tu lkn hana sifa za kuvutia wanaume. Umeoa mbaya was sura na shape, huyu ndiyo atakuwa wako peke yakousidhani kila mwanamke umuonae atakaua sawa na mkeo.
Labda unawala hao ila hakuna siku itayotokea niliwe na mtu aso mume wanguWake za watu mna misimamo gani mbona mnaliwa kirahisi sana kwenye social network hata hapa JF mnaliwa kimyakimya!!
ina maana GuDume bado hajakutafuna??!Labda unawala hao IPA hakuna siku itayotokea niliwe na mtu aso mume wangu
Hakuna Mwenye hadhi hata ya kupata marashi yanguina maana GuDume bado hajakutafuna??!
wee si umesema ni mwanamke mfirwaji? imekuwaje umegeuka kuwa mwanaume?Smartphone inawafanya wadada kuwa wendawazimu, kuenenda kama nyumbu (kuigana) na kufanya vitu vilivyo chini ya umri wao.
Mdada ana mume wake na amebahatika kuzalishwa watoto 0, 1, 2, 3, ...anaanzaje kutupia selfie kwenye social network? Lengo lakevnn hasa? Anauza sura yake kwa wakware walioko social networks. Si ndiyo hivyo?
Sasa dawa ni hii: nitanunua compyuta moja itakaa nyumbani ambayo ndiyo tutatumia kuchat na watu kwenye social networks mida ya jioni baada ya kazi. Tutatumia password inayofahamika na wote 2, iwe Facebook, WhatsApp, badoo, Instagram, LinkedIn, Snapchat, n.k kote huko tunaingia wote.
Imebainika kwamba siku hizi wake za watu hutongozwa hata mbele ya waume zao kupitia mitandao ya kijamii. Utaona tu mkeo anaguna kuashiria cheko fupi, ukiuliza atakuonyesha video fupi ya Kansiime, kumbe anakupoteza maboya. Kishatongozwa tayari.
Kuna wazembe wanaziruhusu smartphones hata kitandani, na kupelekea wake zao kutongozwa wakiwa kitandani. Kama inavyoonekana kwenye picha hapa chini.
Mke wangu hatakuja kutumia smartphone, itakuwa mwendo wa Nokia tochi tu. Mitandao ya kijamii ni nyumbani tukiwa naye sebuleni kwenye kompyuta moja.
View attachment 614983
Aisee! Dawa nikubakia singleHATA KWENYE SMS ZA KAWAIDA WANATONGOZWA, LA MSINGI NI KUJITAMBUA TU
VINGNEVYO ATALIWA NA
1. MUUZA GENGE KWA OFA YA NYANYA
2. MUUZA DUKA KWA VOCHA YA BURE
3. OFISINI KWA OFA ZA KISHAMBA
4. JOHN MUUZA MAJI
Mkuu utakuwa umechanganya mambo. Hebu thibitisha.wee si umesema ni mwanamke mfirwaji? imekuwaje umegeuka kuwa mwanaume?
Nani kakwambia kwenye mapenzi kinangaliwa kigezo cha skills. Ingekuwa hivyo wewe mwenye skills si ungekuwa umolewa? Mbona kucha kutwa mitandaoni kutafuta mabwana na huwapati?Kaoe li unskilled hata skills za kuuza genge halina
Rejea Uzi wako wa Leo kuwa ndoa itakushindaMkuu utakuwa umechanganya mambo. Hebu thibitisha.