Sitaruhusu mke wangu kumiliki smartphone...

Sitaruhusu mke wangu kumiliki smartphone...

Ni kweli mkuu, lkn kwenye smartphone imezidi. Na wanawake wa miaka hii hawana mshipa wa kusema NO
Wapo mkuu.. Mbona mimi wife wangu ana smartphone na ninamwamini tu.

Sasa ht kwa sms za kawaida atasema no?
 
Smartphone inawafanya wadada kuwa wendawazimu, kuenenda kama nyumbu (kuigana) na kufanya vitu vilivyo chini ya umri wao.

Mdada ana mume wake na amebahatika kuzalishwa watoto 0, 1, 2, 3, ...anaanzaje kutupia selfie kwenye social network? Lengo lakevnn hasa? Anauza sura yake kwa wakware walioko social networks. Si ndiyo hivyo?

Sasa dawa ni hii: nitanunua compyuta moja itakaa nyumbani ambayo ndiyo tutatumia kuchat na watu kwenye social networks mida ya jioni baada ya kazi. Tutatumia password inayofahamika na wote 2, iwe Facebook, WhatsApp, badoo, Instagram, LinkedIn, Snapchat, n.k kote huko tunaingia wote.

Imebainika kwamba siku hizi wake za watu hutongozwa hata mbele ya waume zao kupitia mitandao ya kijamii. Utaona tu mkeo anaguna kuashiria cheko fupi, ukiuliza atakuonyesha video fupi ya Kansiime, kumbe anakupoteza maboya. Kishatongozwa tayari.

Kuna wazembe wanaziruhusu smartphones hata kitandani, na kupelekea wake zao kutongozwa wakiwa kitandani. Kama inavyoonekana kwenye picha hapa chini.

Mke wangu hatakuja kutumia smartphone, itakuwa mwendo wa Nokia tochi tu. Mitandao ya kijamii ni nyumbani tukiwa naye sebuleni kwenye kompyuta moja.

View attachment 614983
Hahahahahs anakuonesha kakideo ka kansiime hahhah...
 
wababa zetu walikuwa na simu za kukoroga lakini wamama walikuwa wanachepuka usisingizie smartphone
 
Pesa na mama yako mzazi ndiyo wenye mapenzi ya dhati, amka!!!
 
wababa zetu walikuwa na simu za kukoroga lakini wamama walikuwa wanachepuka usisingizie smartphone
Mkuu humu kuna threads kibao zikiuliza kwann ndoa za miaka hii hazidumu??? Maana yake ni kwamba michepuko zamani ilikuwepo lkn siyo kwa kiwango hiki cha uwepo wa smartphones
 
Wapo mkuu.. Mbona mimi wife wangu ana smartphone na ninamwamini tu.

Sasa ht kwa sms za kawaida atasema no?
Kumuamini na kuchepuka ni vitu viwili tofauti. Unaweza usimuamini mtu akawa hachepuki na unaweza kumuamini akawa anachepuka
 
Mkuu humu kuna threads kibao zikiuliza kwann ndoa za miaka hii hazidumu??? Maana yake ni kwamba michepuko zamani ilikuwepo lkn siyo kwa kiwango hiki cha uwepo wa smartphones
haha kwa kuangalia miaka niliyoishi humu jf utajua tu hizo thread nishazisoma muache mkeo amiliki simu ya kupapasa kama ni malaya i malaya tu hata umfungie ndani haitakusaidia
 
Hata umpe Nokia ya tochi hata akikaa bila simu bado atatongozwa na mzigo analiwa.

Kuwa huru jiamini mwanamke hachungwi.

[emoji51] [emoji16] [emoji119] [emoji119]
 
Huku kusini(Mtwara na Lindi) mwanamke kukunyima utamu ni kitu cha ajabu kabisa. Wanamseo," Kunnyima ntu kitu umepewa buree na Mungu" Kama kuna mtu anawivu hii mikoa hastaili kuishi.
Hawa watu sijui kawafundisha nani haya maufundi, wamefuzu katika ngazi ya Phd. Speaking from my experience.
 
Kama ulimpata kwenye mtandao sawa, lakini kama umempata sehemu nyingine akiamua watamtafuna hukohuko njeya network.
 
Back
Top Bottom