Sitapost ujinga tena JamiiForums

Sitapost ujinga tena JamiiForums

Nyie endeleeni na ustaarabu wenu nitaendelea kuwa kama nilivyo huku kitaa kuna papuchi hadi za kulowekea
 
Baada ya kuona PM zimenoga kwa maongezi murua ya kistaarabu hasa na watu wenye reputation zao hum JF, nimeamua kutokuwa napost utumbo tena ili kumantain relationship. Hasa ukizingatia wanaopewa papuchi humu ni wale wanaocomment kistaraabu nakuunga mkono hoja bila kupinga!

Nelson Richard hujakomboka bado,
Upo kama ulivyokuwa unapost awali.
Kwa hiyo bado ni .........
 
Last edited by a moderator:
Baada ya kuona PM zimenoga kwa maongezi murua ya kistaarabu hasa na watu wenye reputation zao hum JF, nimeamua kutokuwa napost utumbo tena ili kumantain relationship. Hasa ukizingatia wanaopewa papuchi humu ni wale wanaocomment kistaraabu nakuunga mkono hoja bila kupinga!

Mbona hata huu ni utumbo tu!
 
Baada ya kuona PM zimenoga kwa maongezi murua ya kistaarabu hasa na watu wenye reputation zao hum JF, nimeamua kutokuwa napost utumbo tena ili kumantain relationship. Hasa ukizingatia wanaopewa papuchi humu ni wale wanaocomment kistaraabu nakuunga mkono hoja bila kupinga!

sawa mjinga unaepost ujinga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom