Sitapost ujinga tena JamiiForums

Sitapost ujinga tena JamiiForums

Kumbe wenye rep power zao wanatoa na kupokea papuchi hiv mim sijaelewa mada au nimejichanganya????
 
Huwa nachoshwa sana na sredi, sijui tunaelekea wapi kwakweli!
 
Huwa nachoshwa sana na sredi kama hizi, sijui tunaelekea wapi kwakweli!
 
Baada ya kuona PM zimenoga kwa maongezi murua ya kistaarabu hasa na watu wenye reputation zao hum JF, nimeamua kutokuwa napost utumbo tena ili kumantain relationship. Hasa ukizingatia wanaopewa papuchi humu ni wale wanaocomment kistaraabu nakuunga mkono hoja bila kupinga!

Ni mfano bora wakuigwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom