Sitapost ujinga tena JamiiForums

Sitapost ujinga tena JamiiForums

Ndeye nakupa ruksa uje unichungulie maungo yangu utagundua hilo....

Habari za masiku, ulishajifunza kudrive?

Maungo mengine yanatisha watu8 naogopa. Nilishajua kudrive na lena nilishaweka pembeni watu8 Ukinipa gari yako nitaendesha vema kabisa.
 
Duu! nimeishia kucheka tuu kama ustarabu ndo huu basi wastaraabu ni wengi. Shy land njoo huku.
 
Maungo mengine yanatisha watu8 naogopa. Nilishajua kudrive na lena nilishaweka pembeni watu8 Ukinipa gari yako nitaendesha vema kabisa.

Ya kwangu yanavutia kuyatazama na hata kuyamiliki, naweza kukugea uyachezee atii...:becky:

Vizuri mpendwa kama sasa waweza kukaa nyuma ya usukani bila msaada, bila shaka tutafanya utaratibu siku niwe abiria wako breki ya kwanza bwagamoyo...si eti eenh!!!
 
Aku hayo yakwako kaanayo mwenyewe. Hata mimi ninayo ya kwangu.

Tutaenda kabisaa ila za escrow zipo? :cheer2:
 
Hahah...zipo za eskroo na za gesi sema ndio wa kuzitumia tu hawapo...
 
Wapo sana hujataka tu kuwapatia watumie. Humu kunaonekana kuna me manati sana looo sijui ndio wanaanza maisha pamoja na wewe watu8 maana ukisoma komenti zao unaona kabisa hapa hata book 2 ya vocha ataweka turbai kama kuna msiba.Samahani lakini watu8.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom