Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Nyie endeleeni na ustaarabu wenu nitaendelea kuwa kama nilivyo huku kitaa kuna papuchi hadi za kulowekea
Wengine hum #teamdomozege kwani hujui....mtaani hawawezi.
Nyie endeleeni na ustaarabu wenu nitaendelea kuwa kama nilivyo huku kitaa kuna papuchi hadi za kulowekea
wanaume wa humu jf mna mambo sisi ni dada zenu
hilo swali la Tinna ,sasa wewe ukijibu unanipotezea TIMING zangu.
kuna utofauti kati ya wanaume na vijana wa kiume...
duh ww nunda kwelikwa hiyo unataka masufuria?
na wewe tinna unataka upewe UTAMU?
"hata akioga mjini haendi..." ha ha ha
Ooooh ngoja basi mimi nikaimbe naye PM wewe endelea na timing zako pande hizi.
Kwahiyo nawewe baada ya kuacha upuuzi umeanza kupewa Papuchi? Hongera sana ndiyo kukua huko...ww kama unafukuzia sakata la escrow ngoja tuone utaibuka tsh ngapi, afadhali ss tunapewa uroda
Definitely, ngumu, wote tufanane.kinda circumlocutious...
really! listen Bimbo, don't sound like shit in my thread...u sucker
Baada ya kuona PM zimenoga kwa maongezi murua ya kistaarabu hasa na watu wenye reputation zao hum JF, nimeamua kutokuwa napost utumbo tena ili kumantain relationship. Hasa ukizingatia wanaopewa papuchi humu ni wale wanaocomment kistaraabu nakuunga mkono hoja bila kupinga!
hata akinawa halii
ngoja nitafute nguvu nije PMNautaka sana
Unajisumbua bure kwani ukipewa utaifanya nini hiyo k. Nadhani hakuna reward ya wewe kuwa mstaarabu, waachie wenye menoNa mie ntakua mstaarabu kuanzia sasa
Wewe kupewa haitafsiri kuwa mjanja,yawezekana ulipewa kwa kuonewa huruma. Alafu sio kila kichaka lazima ujisaidie, vingine vina ----- dogo.ww kama hujapewa bac ujue ni domo zege wa kwenye cyber