Sitamani kuzaa mtoto wa kike

Sitamani kuzaa mtoto wa kike

aisee... hivi mamako asingezaliwa ungekuwa hapo leo...?
 
Mkuu KikulachoChako ukioa mwanamke ukamwendekeza utajikuta unakosa na wazazi wako,ndugu zako na hata marafiki zako maana wana ushauri mbaya sana.

Ki ukweli ukichunguza sana utakuta wanawake wengi ndio chanzo cha mifarakano ndani familia nyingi....
Wanaume wengi hubadilika sana baada ya kuoa....wengine hukosana hata na wazazi wao pasipo na sababu za msingi......kisa mwanamke....
Hawa viumbe hata sijui wameumbwaje....
Bora kukaa msela utaishi kwa raha na amani kuliko ukiishi na huyu mwanamke maana unaweza ukafa muda wowote kwa presha au shinikizo la damu....au kupooza upande mmoja....
 
Last edited by a moderator:
Mungu ni mkubwa huenda akukupa mapacha wote wa kike mimi nina mtoto wa kike nampenda sana
 
Kwani jamani hivyo vyote mtoto wa kike anajifanyia??hiyo mimba si jitu kama wewe limeweka
 
Yaani umenichefua pumbavu wewe...tena huna adabu....mnaharibu watoto wa watu halafu mnaleta karaha...Mungu asikupe mtoto kabisa
 
Kuna matukio mabinti wa siku hizi wanafanya mpaka nakosa hamu ya kuja kuwa na mtoto wa kike maana yanatia aibu na kichefuchefu, fikiria mzazi unakutana na picha ya binti yako akiwa uchi wa mnyama kwenye mitandao hivi utajisikiaje,

Mzazi unatumia pesa nyingi kukupeleka binti kako shule mwisho wa siku anarudi akiwa na mimba mtaa mzima unakucheka, nawapenda sana watoto wa kike ila kuna visa nikiviona nachukia kuzaa mtoto wa kike maana wanaibisha sana.

pole kwa kuwaza hayo uyawazayo
 
kwa hii post mh! pole sana
 
Alafu maajabu ya Mungu uzao wako ukute ni watoto wa kike tu na watakuwa msaada na neema sana maishani mwenu,kwani watoto wa ngapi wa kiume wanafanya mambo ya ajabu.Omba Mungu akupe watoto kama kina isaka,daniel,esta,watoto wenye baraka na si machukizo mbele ya Mungu wazazi na jamii nzima.

Kwa Kumkufuru Mungu Atakupa Watoto Wa Kike Afu Tuone Hicho Kichefuchefu Utatapika Au Utameza Mate

Hivi ulikaa ukatafakari kabla hujaandika haya?
Na hao watoto wa kiume mtazaa na wanaume wenzenu?
Na wewe unaesema mtoto wa kike ni laana hata sijisumbui kukuuliza kitu.

Maskiniiiii, nimebaki nawaonea huruma tu nyie watoto.

Nina wasiwasi na umri wako, maana mtu aliyepevuka hawezi kuwa na fikra kama hizi kumbuka hata mama yako ni mtoto wa kike.

Samahani dada zangu kama nimewakwaza lakini mjue mnaaibisha wazazi kwa matendo yenu ya ajabu ajabu.
 
Samahani dada zangu kama nimewakwaza lakini mjue mnaaibisha wazazi kwa matendo yenu ya ajabu ajabu.

Wewe Nani Mpaka Umeamua Kukosoa Uumbaji Wa Mungu??..Unaukamilifu Upi Zaidi Ya Hayo Unayoyataja??Naona Unakuwa Mwepesi Wa Kuhukumu...Na Mwanao Wa Kike Atakuwa Na Hayo Matendo Afu Tuone Utamuua.
 
Ulitendwa ndugu yangu mpaka infikia unatuchukia kiasi hicho

ila kumbuka sio wanawake wote wako hivyo ni baadhi tu
hata wanaume nao wanampaungufu yao na wana tabia mbaya
hivyo kila mwanadamu anatabia mbaya hakuna aliyemkamilifu na mwema hapa duniani
cha kufanya nikuishi kwa akili na mwenza wako na kuishi kwa uvumilivu tu hakuna kingine
ki ukweli ukichunguza sana utakuta wanawake wengi ndio chanzo cha mifarakano ndani familia nyingi....
Wanaume wengi hubadilika sana baada ya kuoa....wengine hukosana hata na wazazi wao pasipo na sababu za msingi......kisa mwanamke....
Hawa viumbe hata sijui wameumbwaje....
Bora kukaa msela utaishi kwa raha na amani kuliko ukiishi na huyu mwanamke maana unaweza ukafa muda wowote kwa presha au shinikizo la damu....au kupooza upande mmoja....
 
Yaani umenishangaza sana ndugu yangu inaonekana una shida mahali
huwezi kumsarandia mwanamke ambaye mungu alimweka chombo cha kuwaleta ninyi duniani
nyie wanaume mmngeweza wapi kubeba mimba na kukaa nayo miezi tisa kisaha kwenda labor kwa uchungu usioneneka na kufyatua watoto, kwanini unawadharau na kuwakuhukumu wanawake kiasii hicho

kwanini unaona wanawake hawana faida wala umuihimu wa kuwepo hapa duniani una laana nini wewe kwanini unaona wanawake ni sababu tosha ya kuleta maasi hapa duniani je ujaona upande mwingine wa shilingi wa kwenu nyie midume msio na haya ulivyo

kwanini kila mara wanawake wanawake hujui hao ndi mungu na mama zako wa dunia hii
acha kuwasema wanawake vibaya kiasi hicho na kujiona nyie ndo watakatifu na ni bora kuishi hapa duniani mnajidanganya na tena nyie ndo wabaya sana tena sana na ni afadhali msingelikuwepo hapa duniani fyuuuuuuuu
samahani dada zangu kama nimewakwaza lakini mjue mnaaibisha wazazi kwa matendo yenu ya ajabu ajabu.
 
Wewe Nani Mpaka Umeamua Kukosoa Uumbaji Wa Mungu??..Unaukamilifu Upi Zaidi Ya Hayo Unayoyataja??Naona Unakuwa Mwepesi Wa Kuhukumu...Na Mwanao Wa Kike Atakuwa Na Hayo Matendo Afu Tuone Utamuua.

Dadangu/mdogo wangu tiana sijakufuru na kukosoa uumbaji wa Mungu ila nimeeleza matendo na tabia zenu zinazonifanya nisitamani kuwa na mtoto wa kike maana MUNGU hakumuumba mwanamke ili awe na tabia za ajabu kama hizi walizonazo baadhi ya wanawake wa siku hizi.
 
Last edited by a moderator:
Nahisi apelekwe hospi ya vichaa naona ukichaa umeshamuingia kwenye ubongo wa oblangata huyu yaani kanikera na kuniudhi anajiona yeye ni mtakatifu na si mwenye dhambi na mtu mwema kumbe ni majinuni kabisa fyuuuuuuuuuuuuuuuu zake
kwa hii post mh! Pole sana
 
Back
Top Bottom