Sitamani kuzaa mtoto wa kike

Sitamani kuzaa mtoto wa kike

Duuh nimeshangaa sana baadhi ya maneno ya watu hapa eti mtoto wa kike ni laana basi muache kutuoa mana mtakuwa mnaoa Laana! kumbuken sote tumezaliwa na mama zetu ambao nao walikuwa watoto hao hao wakike,Je kwa hiyo mama zetu ni laana?? Haramu huzaa haramu yenyewe! kwa hiyo sote tu haramu usimnyooshee mtoto wa kike kidole.DAIMA KUMBUKA MTOTO UMLEAVYO NDIVYO AKUAVYO!!!

Wanawake ndio chanzo cha mateso duniani...ni alama ya mkosi na chanzo cha mabalaa..hata adamu alirubuniwa mwanamke kutenda dhambi iliyokuu..na kumlaumu Mungu kwa kumletea kiumbe kilichomtia matatizoni......na ndiye aliyeshiriki kumuangamiza mtu wa Mungu SAMSON...ni muwakilishi wa ibilisi hapa duniani...sehemu yoyote alipo mwanamke lazima kuwe na mifarakano...
 
Chanzo cha mateso ni nyie wenyewe kama mnaakili nzuri why mrubuniwe na wanawake mko weak kwenye kila kitu halafu mnablame wanawake be smart!
 
Kuna matukio mabinti wa siku hizi wanafanya mpaka nakosa hamu ya kuja kuwa na mtoto wa kike maana yanatia aibu na kichefuchefu, Fikria mzazi unakutana na picha ya binti yako akiwa uchi wa mnyama kwenye mitandao hivi utajisikiaje,

mzazi unatumia pesa nyingi kukapeleka kabinti kako shule mwisho wa siku anarudi akiwa na mimba mtaa mzima unakucheka, nawapenda sana watoto wa kike ila kuna visa nikiviona nachukia kuzaa mtoto wa kike maana wanaibisha sana.

jitahidi usioe jinsi ya kike wala usiwe na mahusiano na wasichana hapo nitakuona wa maana sana utakuwa umesimamia vema msimamo wako.
 
Chanzo cha mateso ni nyie wenyewe kama mnaakili nzuri why mrubuniwe na wanawake mko weak kwenye kila kitu halafu mnablame wanawake be smart!

Ukimwepuka mwanamke umeepuka mabalaa na ukimkaribsha mwanamke kwenye maisha yako umekaribisha mabalaa
 
Wanawake ndio chanzo cha mateso duniani...ni alama ya mkosi na chanzo cha mabalaa..hata adamu alirubuniwa mwanamke kutenda dhambi iliyokuu..na kumlaumu Mungu kwa kumletea kiumbe kilichomtia matatizoni......na ndiye aliyeshiriki kumuangamiza mtu wa Mungu SAMSON...ni muwakilishi wa ibilisi hapa duniani...sehemu yoyote alipo mwanamke lazima kuwe na mifarakano...

Chanzo cha mateso ni nyie wenyewe kama mnaakili nzuri why mrubuniwe na wanawake mko weak kwenye kila kitu halafu mnablame wanawake be smart!
Mifarakano yote tunayoishuhudia imeletwa na wanawake? Ujinga mfanye nyie mnatuingiza kwenye vita, madeni, uchumi wa nchi ni taabu bado unasema ni wanawake jiangalie vizuri kwenye kioo halafu jiulize umeachieve nini kwa maisha yako na umesaidia nini ktk jamii na nchi lwa ujumla halafu usimame useme wewe ni mwanaume. Tunahitaji wanaume wenye akili na si wenye vichwa vya panzi kila kosa wanakazi ya kublame wengine unless ilikuwa abused ulivypkuwa mdogo!
 
Hata mashetani huwa wanawatumia wanawake kwenye kutenda maovu yao.....
 
Naungana na nyie watoto wa kike ni laana, inshallah mungu atawapa wa kiume mashoga.
 
MOLEMBE! umechokoza nyuki kaka, haya jibu haya mashambulizi sasa maana Kikosi kizima cha JF Sisters kimechomoza.
 
Kuna matukio mabinti wa siku hizi wanafanya mpaka nakosa hamu ya kuja kuwa na mtoto wa kike maana yanatia aibu na kichefuchefu, Fikria mzazi unakutana na picha ya binti yako akiwa uchi wa mnyama kwenye mitandao hivi utajisikiaje,

mzazi unatumia pesa nyingi kukapeleka kabinti kako shule mwisho wa siku anarudi akiwa na mimba mtaa mzima unakucheka, nawapenda sana watoto wa kike ila kuna visa nikiviona nachukia kuzaa mtoto wa kike maana wanaibisha sana.

Nina wasiwasi na umri wako, maana mtu aliyepevuka hawezi kuwa na fikra kama hizi kumbuka hata mama yako ni mtoto wa kike.
 
Uombacho ndio utakachopata sasa utapata Hugo was kiume shoga naipo siku litakulilia ulikate wewe mwenyewe

Haitatokea hata sekunde moja kuzaa mtoto wa kiume shoga, maisha yangu yote ni kijijini, na mtoto nitakayemzaa ataishi hapa kijijini.

kijijini hatuna mashoga.
 
Kuna matukio mabinti wa siku hizi wanafanya mpaka nakosa hamu ya kuja kuwa na mtoto wa kike maana yanatia aibu na kichefuchefu, .

Uko kama mimi, naomba Mungu anibariki nisipate mtoto wa laana kama Mtoto wa kike.

Ukweli ni kwamba wanadamu wote wa siku hizi wameangukia sana dhambini

Usiite kiumbe wa Mungu laana.

You guys may think this as a joke, but do not ever say that
 
Wanawake ndio chanzo cha mateso duniani...ni alama ya mkosi na chanzo cha mabalaa..hata adamu alirubuniwa mwanamke kutenda dhambi iliyokuu..na kumlaumu Mungu kwa kumletea kiumbe kilichomtia matatizoni......na ndiye aliyeshiriki kumuangamiza mtu wa Mungu SAMSON...ni muwakilishi wa ibilisi hapa duniani...sehemu yoyote alipo mwanamke lazima kuwe na mifarakano...
Hivi ni wanawake ndio waliowarubuni hao kina Adamu na Samsoni au wao wenyewe walishindwa kutimiza wajibu wao.How come failure zako uanze ku blame watu wengine.When can you learn to be responsible for your own ACTIONS??Tabia hii ya ku blame ni ya wale wanapenda kufeli
 
Back
Top Bottom