Sitamani kuzaa mtoto wa kike

Sitamani kuzaa mtoto wa kike

Shy land

Nakusikitia kwa sababu,bado una akili za kivulana bado.Fahamu kuwa mtoto yeyote ni malezi yenye maadili na kumwomba mungu awe na hofu ya mungu.Sijui utapozaa wa kiume halafu yote mashoga/bwabwa utaficha sura au utarudi kufuta haya maneno yako.
Colagen Hi is this how you are?
 
Last edited by a moderator:
Watoto wa aina zote wana changamoto, cha msingi hapa ni kuwa makini unapo-mmould,(mtengeneza)unapomlea. Muhimu hapa mtoto apate malezi ya kumwogopa Mungu, hilo ndilo suluhisho la TATIZO lako la kuchukia watoto wa kike.
 
Watoto ni watoto tu unatakiwa uwaombee Mungu. Nimeona watoto wa kike wakiwa na msaada mkubwa sana kwa familia kuliko wa kiume.
 
Kuna matukio mabinti wa siku hizi wanafanya mpaka nakosa hamu ya kuja kuwa na mtoto wa kike maana yanatia aibu na kichefuchefu, fikiria mzazi unakutana na picha ya binti yako akiwa uchi wa mnyama kwenye mitandao hivi utajisikiaje,

Mzazi unatumia pesa nyingi kukupeleka binti kako shule mwisho wa siku anarudi akiwa na mimba mtaa mzima unakucheka, nawapenda sana watoto wa kike ila kuna visa nikiviona nachukia kuzaa mtoto wa kike maana wanaibisha sana.
Vipi wa kiume wanaoliwa?
 
bora hao wa kike kuliko kuwa na wakiume kisha wanaishia kuwa mashoga ndo aibu kubwa sana
 
Back
Top Bottom