Sitamani kuzaa mtoto wa kike

Sitamani kuzaa mtoto wa kike

My nakuelewa vizuri, unajua sikutegemea kama mtu mwenye utashi anaweza kuandika hivi. Hivi hawa wanaume wana kitu gani kikubwa chakufanya wajione wao ni kila kitu, hakuna mtu asiekosa, wanaume wenyewe siku hizi wengi wamepoteza dira, hawajielewi wamebaki kuwa mashoga leo wanawalaani vizazi vyetu khaa!!!!! ni wanawake wangapi wanafanya mambo ya maana hadi dunia inatikisika ili hali wanaume wapo ila wameamua kuvaa sketi zetu, pfyuuuuuuuuu!!!!!! Kwa kweli wajifunze kuongea kwa staha sio kukurupuka.

Nikipata wa kike nabadilishana na jogoo nile nyama...
 
Kuna matukio mabinti wa siku hizi wanafanya mpaka nakosa hamu ya kuja kuwa na mtoto wa kike maana yanatia aibu na kichefuchefu, Fikria mzazi unakutana na picha ya binti yako akiwa uchi wa mnyama kwenye mitandao hivi utajisikiaje,

mzazi unatumia pesa nyingi kukapeleka kabinti kako shule mwisho wa siku anarudi akiwa na mimba mtaa mzima unakucheka, nawapenda sana watoto wa kike ila kuna visa nikiviona nachukia kuzaa mtoto wa kike maana wanaibisha sana.
Hiyo mijambazi inayokwapua kila leo wewe unaona sifa sababu midume ,chunga bakuli lako
 
Kuna matukio mabinti wa siku hizi wanafanya mpaka nakosa hamu ya kuja kuwa na mtoto wa kike maana yanatia aibu na kichefuchefu, Fikria mzazi unakutana na picha ya binti yako akiwa uchi wa mnyama kwenye mitandao hivi utajisikiaje,

mzazi unatumia pesa nyingi kukapeleka kabinti kako shule mwisho wa siku anarudi akiwa na mimba mtaa mzima unakucheka, nawapenda sana watoto wa kike ila kuna visa nikiviona nachukia kuzaa mtoto wa kike maana wanaibisha sana.

Uko kama mimi, naomba Mungu anibariki nisipate mtoto wa laana kama Mtoto wa kike.

Ukizaa mtoto wa kike katika nyakati hizi unatakiwa vitu vyenye ncha kali na vitu vizito uviweke mbali na wewe maana unaweza ukaishia jela muda wowote....au kupooza upande mmoja au kufa kwa presha....huku sukari ikiwa juu mida wote....

kweli mkuu

Mtoto wa kike hawezi kuwa sawa na mtoto wa kiume hata siku moja....

Nikipata wa kike nabadilishana na jogoo nile nyama...

Mkuu habari ndio hiyo...

Maskiniiiii, nimebaki nawaonea huruma tu nyie watoto.
 
afu maajabu ya Mungu.....uzao wako ukute ni watoto wa kike tu na watakuwa msaada na neema sana maishani mwenu......

kwani watoto wa ngapi wa kiume wanafanya mambo ya ajabu.....?

omba Mungu akupe watoto kama kina isaka.....daniel....esta.....watoto wenye baraka na si machukizo mbele ya Mungu.....wazazi na jamii nzima.....

Safi sana mkuu
 
Nakusikitia kwa sababu,bado una akili za kivulana bado.Fahamu kuwa mtoto yeyote ni malezi yenye maadili na kumwomba mungu awe na hofu ya mungu.Sijui utapozaa wa kiume halafu yote mashoga/bwabwa utaficha sura au utarudi kufuta haya maneno yako.

umekamilisha uzi huu.
 
afu maajabu ya Mungu.....uzao wako ukute ni watoto wa kike tu na watakuwa msaada na neema sana maishani mwenu......

kwani watoto wa ngapi wa kiume wanafanya mambo ya ajabu.....?

omba Mungu akupe watoto kama kina isaka.....daniel....esta.....watoto wenye baraka na si machukizo mbele ya Mungu.....wazazi na jamii nzima.....
Tena kuna matukio mengi machafu yanayofanywa na watoto wa kiume . Ni heri kumuomba Mungu tu juu ya watoto wetu kwani yeye ndiye mlezi mwema. Nyakati hizi jinsia zote ni matatizo tu.
 
Attachments

  • Immanyo4.jpg
    Immanyo4.jpg
    207.3 KB · Views: 244
Ukiona vyaelea vimeundwa,Mkunje samaki angali mbichi.

Watoto wetu wawe wa kike ama wakiume hawatatuaibisha TUKIWALEA KATIKA NJIA IPASAYO UTAKATIFU NA UADILIFU MUNGU AWE KIPAUMBELE CHETU.

Ndipo mabinti zetu watakuwa Baraka kwa familia,Taifa na Kimataifa kwa ujumla.

Mimi nilitaka Mungu anipe mtoto wa kwanza awe Msichana na imekuwa hivyo,tar.2 Dec 2014 imekuwa hivyo.

SITAJUTA KAMWE MTOTO WA KIKE NI BARAKA SANA.
 
Tena kuna matukio mengi machafu yanayofanywa na watoto wa kiume . Ni heri kumuomba Mungu tu juu ya watoto wetu kwani yeye ndiye mlezi mwema. Nyakati hizi jinsia zote ni matatizo tu.

Lakini wanawake wamezidi....
 
Ukiona vyaelea vimeundwa,Mkunje samaki angali mbichi.

Watoto wetu wawe wa kike ama wakiume hawatatuaibisha TUKIWALEA KATIKA NJIA IPASAYO UTAKATIFU NA UADILIFU MUNGU AWE KIPAUMBELE CHETU.

Ndipo mabinti zetu watakuwa Baraka kwa familia,Taifa na Kimataifa kwa ujumla.

Mimi nilitaka Mungu anipe mtoto wa kwanza awe Msichana na imekuwa hivyo,tar.2 Dec 2014 imekuwa hivyo.

SITAJUTA KAMWE MTOTO WA KIKE NI BARAKA SANA.

Pole sana mkuu....
 
......yaani ninavyotamani kupata mtoto wa kike mieeeeeee!!
 
Shy land
Usiseme laana maana utampata na kwasababu ya chuki zako unamlea hovyo kwa kumnyanyasa ukidhani kua unamjenga kumbe unamharibu zaidi au ataweza kuvumilia manyanyaso yako na uzeeni ndie atakae kulea na wewe utabaki na aibu.
 
Last edited by a moderator:
Daaa imebidi nicheke utadhani mazuri loooo! Pole sana Mkuu.
 
Asprin

Hata wewe ukivunja ungo utajua umuhimu wa mtoto wa kiume.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom