Sitamani kuzaa mtoto wa kike

Sitamani kuzaa mtoto wa kike

Ukijua kuwa mtoto ni BARAKA na ZAWADI toka kwa Mungu, huwezi kuja na hoja dhaifu kiasi hiki...!
..Omba Mungu akupe uzao, ulee watoto katika hekima na kimo, huku wakikumpendeza Mungu.
..Ujue tutaulizwa juu ya malezi ya watoto wetu...!
 
Mwambie huyo muungu usizae hao watoto wakike tuone kama utaona raha
wewe una mtatizo na unahitaji mwanasaikolojia akusaidie kichwani mwako yaelekea
ushafungwa mahali na yule mwovu hujui kuwa watoto ni zawadi toka kwa mungu
kwanini umpangie mungu masharti ya uumbaji wake na umpangie eti sitaki watoto wak kike nataka wa kiume tuone kama hiyo midume haijakudhalilisha na kukuondoa uhai wako
dadangu/mdogo wangu tiana sijakufuru na kukosoa uumbaji wa mungu ila nimeeleza matendo na tabia zenu zinazonifanya nisitamani kuwa na mtoto wa kike maana mungu hakumuumba mwanamke ili awe na tabia za ajabu kama hizi walizonazo baadhi ya wanawake wa siku hizi.
 
Yaani umenishangaza sana ndugu yangu inaonekana una shida mahali
huwezi kumsarandia mwanamke ambaye mungu alimweka chombo cha kuwaleta ninyi duniani
nyie wanaume mmngeweza wapi kubeba mimba na kukaa nayo miezi tisa kisaha kwenda labor kwa uchungu usioneneka na kufyatua watoto, kwanini unawadharau na kuwakuhukumu wanawake kiasii hicho

kwanini unaona wanawake hawana faida wala umuihimu wa kuwepo hapa duniani una laana nini wewe kwanini unaona wanawake ni sababu tosha ya kuleta maasi hapa duniani je ujaona upande mwingine wa shilingi wa kwenu nyie midume msio na haya ulivyo

kwanini kila mara wanawake wanawake hujui hao ndi mungu na mama zako wa dunia hii
acha kuwasema wanawake vibaya kiasi hicho na kujiona nyie ndo watakatifu na ni bora kuishi hapa duniani mnajidanganya na tena nyie ndo wabaya sana tena sana na ni afadhali msingelikuwepo hapa duniani fyuuuuuuuu

Samahani ladyfurahia kama nimekukwaza sijamtukana mwanamke popote katika nimeandika nikirejea matukio yanayofanywa na mabinti wengi siku hizi na jinsi yanavyofedhesha wazazi wao ungelikuwa baba ningelikwambia uvae viatu vya wazazi wenye watoto waliopiga picha za uchi au kubeba ungeliona jinsi wanavyoumia kutokana na matendo ya mabinti wao.
 
Last edited by a moderator:
kwani we ndo unapanga ndugu, Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. kwani watoto wa kiume picha zao za uchi kwenye mitandao haziko? kwani hizo mimba wanajipa wenyewe? "USITUKANE WAKUNGA NA UZAZI UNGALIPO" Mungu atakujalia watoto wa kike mia elfu ili ujue jinsi gani ya kuwalea wasikuaibishe. Maisha mema.
 
Babu asante kumsaidia huyu mtu maana naona ajaonja joto ya jiwe subiri akiipata joto ya jiwe azae toto la kiume limemeletee mibalaa ndipo atajua kuwa kuwadharau wanawake kunaleta laaana gani kwake hajui kuwa mzazi wa kike au mwanamke akikupa laana unalanika mpaka kuchini unakuwa mental kama sio chizi
molembe
hiyo mimba anakuwa kapewa na mtoto wa kike mwenzie? Nakuombea kwa mungu upate matoto ya kiume. Moja liwe jambazi, likuibie mpaka wewe. Jingine liwe teja na jingine liwe kibaka wananchi walitie kibiriti. Labda ndo utajua watoto wa kike wana thamani kama mama yako mzazi alivyo na thamani kwako.
shy land
amina. Mungu akubariki upate toto la kiume liwe shoga. Wanaume wenzie walitafune mpaka kwenye masofa ya sebuleni kwako mchana kweupe.
heaven on earth
umeona eh? Nadhani hawajazaliwa na mama hawa wana watoka pabaya.
sister
hapana, waache wajaliwe watoto wa kiume ambao watawatoa machozi na kujutia makauli yao machafu kama vyoo vya stendi ya sumbawanga.
 
Kwa taarifa yako mm nina watoto wa jinsia zote na najua namna gani ya kuwalea na kuwaombea watoto wangu hivyo usinifundishe malezi nayajua ati umeniudhi kwa sababu unawadharau wanawake na unatuona kuwa siisi si wanadamu na hatustahili kuwepo hapa duniani hivyo ndivyo ulivyonikera elewa kuwa watoto ni zawadi toka kwa mungu hvyo wewe kama mazazi uwe wa kiume au wakike inabidi uwalee watoto wako kaitika kicho cha mungu na kuwaambia kila kitu bila kuwaficha na kuwa pamojan= nao

wewe ndugu yangu hujazaaa hvyo ni bora unyamaze kimya usiongee hapa maana hujui uchungu wa watoto ulivyo na unapatikanaje
samahani ladyfurahia kama nimekukwaza sijamtukana mwanamke popote katika nimeandika nikirejea matukio yanayofanywa na mabinti wengi siku hizi na jinsi yanavyofedhesha wazazi wao ungelikuwa baba ningelikwambia uvae viatu vya wazazi wenye watoto waliopiga picha za uchi au kubeba ungeliona jinsi wanavyoumia kutokana na matendo ya mabinti wao.
 
kwani we ndo unapanga ndugu, Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. kwani watoto wa kiume picha zao za uchi kwenye mitandao haziko? kwani hizo mimba wanajipa wenyewe? "USITUKANE WAKUNGA NA UZAZI UNGALIPO" Mungu atakujalia watoto wa kike mia elfu ili ujue jinsi gani ya kuwalea wasikuaibishe. Maisha mema.

madam d sio kweli kwamba mtoto umleavyo ndivyo akuavyo kuna wazazi wamewalea watoto kwenye maadili mazuri kweli lakini wameishia kuwaumiza ebu jaribu kufanya tafiti kidogo hata kwa watoto wa wachungaji uone wanavyofanya ufuska.
 
Last edited by a moderator:
Samahani ladyfurahia kama nimekukwaza sijamtukana mwanamke popote katika nimeandika nikirejea matukio yanayofanywa na mabinti wengi siku hizi na jinsi yanavyofedhesha wazazi wao ungelikuwa baba ningelikwambia uvae viatu vya wazazi wenye watoto waliopiga picha za uchi au kubeba ungeliona jinsi wanavyoumia kutokana na matendo ya mabinti wao.
Molembe, mie naelewa hoja yako, japo ukweli ni kuwa ni hoja dhaifu sana na wengi wameichangia kwa hisia kali. Wakati mwingine kama mtu mzima unajiuliza, hivi Mungu akinipa uzao kweli kwa unia hii hawa watoto watakuwa vipi? Maisha yamekuwa ya ajabu sana, sio kwa watoto wa kike tu, ni vijana wote wa kiume na wa kike.....!
Kuna wakati niliangalia picha za wanachuo sina uhakika lakini iliandikwa kuwa ni wa UDSM, aaaaaah...walifanya group sex, niliacha mdomo wazi. Lakini hayo ndio mabadiliko ya dunia, hatuna budi kujifunza jinsi ya kulea coz sasa hivi ni jinsia zote....!~
 
Last edited by a moderator:
Huyu mtu sijui ni mwanadamu wa kawaida au vipi laiti angejua kuwa hata hao watoto wa kiume nao wameharibika na picha zao za utupu ziko mitandaoni asingethubutu kuleta uzi huu mbovu hapa angeleta uzi wa ni jinsi gani tunaweza kuwalea au kuwasaidia vijana wanaopevukika ameniboa yani
kwani we ndo unapanga ndugu, mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Kwani watoto wa kiume picha zao za uchi kwenye mitandao haziko? Kwani hizo mimba wanajipa wenyewe? "usitukane wakunga na uzazi ungalipo" mungu atakujalia watoto wa kike mia elfu ili ujue jinsi gani ya kuwalea wasikuaibishe. Maisha mema.
 
mleta mada USIKARIRI ndg yangu...mtoto ni mtoto kinachohusu ni MALEZI na pia zaidi NI KUWAOMBEA KWA MWENYEZI MUNGU ili wawe watoto wema..PERIOD! sasa na hao usiowaona mitandaoni na wanafanya machafu zaidi utasemaje? tema mate chini ndg yangu...haya ukanyimwa hata na huyo wa kike si utakuja hapahapa kulia unasaka mtoto?pliz kila kitu ni kumuachia MWENYEZI MUNGU tu!
 
Kwa taarifa yako mm nina watoto wa jinsia zote na najua namna gani ya kuwalea na kuwaombea watoto wangu hivyo usinifundishe malezi nayajua ati umeniudhi kwa sababu unawadharau wanawake na unatuona kuwa siisi si wanadamu na hatustahili kuwepo hapa duniani hivyo ndivyo ulivyonikera elewa kuwa watoto ni zawadi toka kwa mungu hvyo wewe kama mazazi uwe wa kiume au wakike inabidi uwalee watoto wako kaitika kicho cha mungu na kuwaambia kila kitu bila kuwaficha na kuwa pamojan= nao

wewe ndugu yangu hujazaaa hvyo ni bora unyamaze kimya usiongee hapa maana hujui uchungu wa watoto ulivyo na unapatikanaje

Hapo kwenye red sio kweli kwamba nimewadharau wanawake kwenye blue ninajua uchungu wa mtoto na hasa uchungu wa mzazi unapompata pindi mtoto wake anapofanya matendo ambayo ni kinyume na maadili.
 
Huyu mtu sijui ni mwanadamu wa kawaida au vipi laiti angejua kuwa hata hao watoto wa kiume nao wameharibika na picha zao za utupu ziko mitandaoni asingethubutu kuleta uzi huu mbovu hapa angeleta uzi wa ni jinsi gani tunaweza kuwalea au kuwasaidia vijana wanaopevukika ameniboa yani

Naona umeuzika sana!!! sahamani/samahani kwa yaliyotokea hukujua ni kwa nini nilisema hivyo.
 
mleta mada USIKARIRI ndg yangu...mtoto ni mtoto kinachohusu ni MALEZI na pia zaidi NI KUWAOMBEA KWA MWENYEZI MUNGU ili wawe watoto wema..PERIOD! sasa na hao usiowaona mitandaoni na wanafanya machafu zaidi utasemaje? tema mate chini ndg yangu...haya ukanyimwa hata na huyo wa kike si utakuja hapahapa kulia unasaka mtoto?pliz kila kitu ni kumuachia MWENYEZI MUNGU tu!

Kwa hiyo watoto wa kike wanaopiga picha za uchi wamelelewa kwenye maadili mabaya?
 
Kuwa muelewa wa kitu utakuwa mkuu sana

je wale waliokosa watoto tasa nao watasemaje? Hujui kuwa mtoto ni zawadi?
Kwanini unakuwa mtu usiyetaka kuelewa unapoambbiwa jambo

kuwa muelewa ndugu yangu utaponyeka na angalia mungu anakuona anaweza
akakunyima hata huyo umtakayeee chunga ndugu na temea mate chini shauriro
kwa hiyo watoto wa kike wanaopiga picha za uchi wamelelewa kwenye maadili mabaya?
 
Molembe
Hiyo mimba anakuwa kapewa na mtoto wa kike mwenzie? Nakuombea kwa Mungu upate matoto ya kiume. Moja liwe jambazi, likuibie mpaka wewe. Jingine liwe teja na jingine liwe kibaka wananchi walitie kibiriti. Labda ndo utajua watoto wa kike wana thamani kama mama yako mzazi alivyo na thamani kwako.
Shy land
Amina. Mungu akubariki upate toto la kiume liwe shoga. Wanaume wenzie walitafune mpaka kwenye masofa ya sebuleni kwako mchana kweupe.
Heaven on Earth
Umeona eh? Nadhani hawajazaliwa na mama hawa wana watoka pabaya.
sister
Hapana, waache wajaliwe watoto wa kiume ambao watawatoa machozi na kujutia makauli yao machafu kama vyoo vya stendi ya Sumbawanga.

Hahahahahaahaaa!!! umenifanya nicheke wakati atakwa kusikitika, maana umemjibu kwa ukali kiasi ambacho angekuwa karibu yako ungemkata mtama kwanza. Loh!
 
Kuwa muelewa wa kitu utakuwa mkuu sana

je wale waliokosa watoto tasa nao watasemaje? Hujui kuwa mtoto ni zawadi?
Kwanini unakuwa mtu usiyetaka kuelewa unapoambbiwa jambo

kuwa muelewa ndugu yangu utaponyeka na angalia mungu anakuona anaweza
akakunyima hata huyo umtakayeee chunga ndugu na temea mate chini shauriro

Hivi nyie kwanini hamtaki kukosolewa hata kama mmekosea hivi mnayoyafanya mnaona mazuri.
 
Hahahahahaahaaa!!! umenifanya nicheke wakati atakwa kusikitika, maana umemjibu kwa ukali kiasi ambacho angekuwa karibu yako ungemkata mtama kwanza. Loh!

Jiwe limerushwa gizani.....
 
Back
Top Bottom