Sitamani kuzaa mtoto wa kike

Sitamani kuzaa mtoto wa kike

Da Pretty
Anadhani kupata mtoto ni sawa na kuchagua mkate kwenye shelves za dukani!
 
Last edited by a moderator:
Apologise lady
Apologise lady kati ya watu niliwaquote kutokana na komenti hiyo ni wewe,kwa nini nimesema hivyo, ni story ndefu acha nitakupm nikuelezee najua utanielewa na utanipa ushauri mzuri.
 
Last edited by a moderator:
Koma wewe laana mnayo wenyewe. kuna tofauti gani kati ya bint anayejianika mtandaoni na mwanaume shoga?????
acheni maneno ya fedhea nyie watoto.

Tofauti ipo mpenzi
Ni afadhali sana tu binti ambae picha zimeanikwa mtandaoni kuliko wa kiume alieharibiwa kuwa shoga.
Naandika haya huku natetemeka maana wanawake ndio tunaobeba watoto tumboni.
Mungu aepushe.
 
Ukizaa mtoto wa kike katika nyakati hizi unatakiwa vitu vyenye ncha kali na vitu vizito uviweke mbali na wewe maana unaweza ukaishia jela muda wowote....au kupooza upande mmoja au kufa kwa presha....huku sukari ikiwa juu mida wote....
 
kweli mkuu
 
Hivi ulikaa ukatafakari kabla hujaandika haya?
Na hao watoto wa kiume mtazaa na wanaume wenzenu?
Na wewe unaesema mtoto wa kike ni laana hata sijisumbui kukuuliza kitu.

umeona eeees
kwa watoto wa kiume wepi udharau wanawake?
hawa kina rio paul?
tunaoshea nao mabwana?
hhaaaaaaaaahhhaaaa
 
Tofauti ipo mpenzi
Ni afadhali sana tu binti ambae picha zimeanikwa mtandaoni kuliko wa kiume alieharibiwa kuwa shoga.
Naandika haya huku natetemeka maana wanawake ndio tunaobeba watoto tumboni.
Mungu aepushe.

My nakuelewa vizuri, unajua sikutegemea kama mtu mwenye utashi anaweza kuandika hivi. Hivi hawa wanaume wana kitu gani kikubwa chakufanya wajione wao ni kila kitu, hakuna mtu asiekosa, wanaume wenyewe siku hizi wengi wamepoteza dira, hawajielewi wamebaki kuwa mashoga leo wanawalaani vizazi vyetu khaa!!!!! ni wanawake wangapi wanafanya mambo ya maana hadi dunia inatikisika ili hali wanaume wapo ila wameamua kuvaa sketi zetu, pfyuuuuuuuuu!!!!!! Kwa kweli wajifunze kuongea kwa staha sio kukurupuka.
 
Ukizaa mtoto wa kike katika nyakati hizi unatakiwa vitu vyenye ncha kali na vitu vizito uviweke mbali na wewe maana unaweza ukaishia jela muda wowote....au kupooza upande mmoja au kufa kwa presha....huku sukari ikiwa juu mida wote....

Na ukizaa mtoto wakiume shoga, teja, kibaka unatakiwa hivo vifaa uviweke karibu si ndio????????????????/
 
My nakuelewa vizuri, unajua sikutegemea kama mtu mwenye utashi anaweza kuandika hivi. Hivi hawa wanaume wana kitu gani kikubwa chakufanya wajione wao ni kila kitu, hakuna mtu asiekosa, wanaume wenyewe siku hizi wengi wamepoteza dira, hawajielewi wamebaki kuwa mashoga leo wanawalaani vizazi vyetu khaa!!!!! ni wanawake wangapi wanafanya mambo ya maana hadi dunia inatikisika ili hali wanaume wapo ila wameamua kuvaa sketi zetu, pfyuuuuuuuuu!!!!!! Kwa kweli wajifunze kuongea kwa staha sio kukurupuka.

Wanaume ni wachache sana siku hizi,wajinga wengi wanafikiri kuning'iniza pumbu ndio uanaume
 
Alafu pia huwa tunajizaa baba muhuni na mtoto hivyo hivyo. Hivyo anza kubadilika kwanza. Mfano angalia watoto wa wachungaji utaona kitu baba safiii watoto sasa du!. Kumbe jamaa kajizaa.
 
Hawa watoto wa kike sio kwamba wanaharibika wenyewe, tunawaharibu sisi wanaume, kwa kuwapa mimba huku tukiwa tunajua wanasoma, tunawaonga magari ya kifahari unafikiri hata ukimwambia apige picha akiwa na bikini atakataa???
sisi ni chanzo!!!!!
 
Wanaume ni wachache sana siku hizi,wajinga wengi wanafikiri kuning'iniza pumbu ndio uanaume

Na kwa tabia hizi za maneno ya ubaguzi hapo ndio watakapojihakikishia kiburi cha mwanamke. inakera sana hii tabia ishajikita ndani ya mioyo yao, ukikuta sehemu kuna kikundi cha wanaume kuanzia 3 basi stori yakumkashifu mwanamke haikosi. nawasikitikia sana wasojijitambua hawaa.
 
Nakusikitia kwa sababu,bado una akili za kivulana bado.Fahamu kuwa mtoto yeyote ni malezi yenye maadili na kumwomba mungu awe na hofu ya mungu.Sijui utapozaa wa kiume halafu yote mashoga/bwabwa utaficha sura au utarudi kufuta haya maneno yako.

HUYU SHY LAND UTOTO UNAMSUMBUA NA UJINGA NAIS......bila huyo mtoto wa kike ht yeye asingezaliwa
 
Back
Top Bottom