Ni mimi na wewe wengine wote wachina.
ngoja niangalie hii sinema inayoanza usiku usiku waliolala shauri yao.
we mubayaaa!!" unamtoa povu bidada wa watu. sheria za jf zizingatiwe kabla sijawareport. lol
Ha ha ndo zake huyo analianzisha ukimbana anakuja kama mbogo.
kama haya ulioandika hapa yanatoka moyoni mwako na unamaanisha basi wewe unajitambuwa na ni mke bora kabisa hapa duniani. nimependa brain yako kudos.
Husninyo nahic ntapewa ban ngoja nilale..hv kusoma nje ya nchi dili eehh husninyo?? Ila nna mashaka kuna shouga angu alisoma huko nje masters saiv ni secretary apa bongo..nalala jamaniiii
Basi nisamehe mie shoga angu.
Asa nimsaidieje.
Saum na fjnga yake kaiharibu mwenyewe.
labda bado ansasoma nipita mieInawezekana pia hujapata wa kukuoa .haiwzekani eti una mtu anakupenda..serious hlf akutangazie ndoa ukatae wkt wadogo zako wanaolewa....hhee eeehhh kazi ipo
Husninyo nahic ntapewa ban ngoja nilale..hv kusoma nje ya nchi dili eehh husninyo?? Ila nna mashaka kuna shouga angu alisoma huko nje masters saiv ni secretary apa bongo..nalala jamaniiii
hasaidiki wala habebeki.
kusoma nje deal shogangu ila inategemea umesoma kwa msaada wa loan board au kwa pesa yako mwenyewe!!!
sina uhakika kama kusoma india napo deal.... lol! nahisi wahindi walikuwa hawapumui huko.
Wasalaam wana MMU,
Yaani weekend yangu ya leo imeharibika sana ...
Leo nimepata simu toka kwa mama zangu wadogo wakihitaji wedding dress ya mdogo wangu ambaye anataraijia kuolewa hivi karibuni niwatumie Tz ,baada ya maongezi mada ika badilika nikapachikwa swali WE NAWE UNAOLEWA LINI?
Maana wadogo zako wote wanaolewa we bado upo tu unafikiria nini haswaa?
Mwingine akadakia "Olewa basi uondoe japo mkosi",
kha! This is too much... Hivi jamani kuolewa ni kutoa mkosi???
Msimamo wangu:
1. Sitaki kuolewa kwa kuondoa mkosi
2.Sitaki kuolewa kwa sababu eti umri unaenda
3. Sitaki kuolewa eti wadogo zangu wote wanaolewa
4.Sitaki kuolewa kuwalingishia watu kwa na mimi nimeolewa
5.Sitaki kuolewa ili nivae shela au pete za ndoa kama fashion
( ndoa sio fashion)
6. Sitaki kuolewa eti umri unakwenda kwa hiyo yoyote atake kuja mbele yangu anioe tu kisa naingia 30 ....Nop
Ladies haya ni makosa makubwa sana ukiyaamua kwa kufuata maneno ya watu kisa hujaolewa....matokeo yake unaolewa mchana usiku unaachika ni kutojiamiani na maisha yako.
XoXo