Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Wasalaam wana MMU,
Yaani weekend yangu ya leo imeharibika sana ...
Leo nimepata simu toka kwa mama zangu wadogo wakihitaji wedding dress ya mdogo wangu ambaye anataraijia kuolewa hivi karibuni niwatumie Tz ,baada ya maongezi mada ika badilika nikapachikwa swali WE NAWE UNAOLEWA LINI?
Maana wadogo zako wote wanaolewa we bado upo tu unafikiria nini haswaa?
Mwingine akadakia "Olewa basi uondoe japo mkosi",
kha! This is too much... Hivi jamani kuolewa ni kutoa mkosi???
Msimamo wangu:
1. Sitaki kuolewa kwa kuondoa mkosi
2.Sitaki kuolewa kwa sababu eti umri unaenda
3. Sitaki kuolewa eti wadogo zangu wote wanaolewa
4.Sitaki kuolewa kuwalingishia watu kwa na mimi nimeolewa
5.Sitaki kuolewa ili nivae shela au pete za ndoa kama fashion
( ndoa sio fashion)
6. Sitaki kuolewa eti umri unakwenda kwa hiyo yoyote atake kuja mbele yangu anioe tu kisa naingia 30 ....Nop
Ladies haya ni makosa makubwa sana ukiyaamua kwa kufuata maneno ya watu kisa hujaolewa....matokeo yake unaolewa mchana usiku unaachika ni kutojiamiani na maisha yako.
XoXo
Nimempenda bure huyo dada yenu!
love on the air

kama haya ulioandika hapa yanatoka moyoni mwako na unamaanisha basi wewe unajitambuwa na ni mke bora kabisa hapa duniani. nimependa brain yako kudos.
Ni kawaida katika mapenzi kugombana
serious thread nakuwa serious kweli with really feelings, Lara 1 ananijuwa vyema sasa hivi that's why she accepts my proposal.
Lara moko pitia hapa
Hehehe haya bana
Humu kila mtu huwa ni mtaalamu wa masahibu ya wengine!
I dont understand why should I get married and make one girl very happy, if I can stay a bachelor and make hundreds of them happy.!!