Rapunzel
JF-Expert Member
- Jun 30, 2012
- 1,079
- 601
- Thread starter
- #21
kweli kabisa kuoa au kuolewa ni kipendeleo cha mtu lakini wabongo tunavyoshadadia utafikiri tutaishi na huyo mtu kwenye hiyo ndoa,tunachofikiria ni kupata ujiko mtaani bila kujali ugumu wa ndoa yenyewe...........muwawache wapumuwe
Kingine ndoa sio fashion na familia zetu za kibongo wanapenda kupush sana maswala ya ndoa na wakati mimi ndio muolewaji mwisho wa siku ndoa ikivunjika hao hao wanaanza kukujadili pembeni
Waniache nipumue kha! Wameniudhi