Sitaki kuolewa

Sitaki kuolewa

wajameni ebu twende mbele na kurudi nyuma...samtyms sisi wadada nao tukifikisha umri fulani bila kuolewa tunakua more desparate..no mata the hizo sababu zilizotajwa hapo juu moyo ndio unaongea na sio mdomo tu... mtu anagugumia na moyo wake ndani kwa ndani .. haya mambo hayaaaaaaa!!!!!! acheni tu....
 
Tatizo sio kuulizwa tu...tatizo ni ile kunipush olewa basi uondoe nuksi.....ona mtoto wa fulani kaolewa ww bado upo tu!?....olewa basi na ww kazi kutoa michango kwa wenzio tu?

Hilo ndilo silipendi
Ila Rapunzel,

unajua kila kitu kina maana yake haswaa, hakuna jambo linalotokea from nowhere, unadhani kwanini hukuulizwa wakati ukiwa na miaka 18?

Ukiona hivyo, wala haina haja ya kulaumu na kutukana mtu, hiyo itakuwa si dalili ya kwenda shule kabisa,

Kumbuka kuwa, dalili ya mvua ni mawingu! menopouse itakukamata muda si mrefu!

Kwanza nikuulize, una mpango gani na ndoa?
 
Last edited by a moderator:
Inaonyesha anaitumia k yake kwa starehe tuu, ili aweze kwenda huku na kule bl kuulizwa.

Mkuu vitu vingine viko wazi!

unadhani kuna mwanamke bikra katika umri wa miaka 30?

Ndoa njema bhana ni ile inayoanzia 25, kwanza hapo unakuwa ushamaliza level ya juu kabisa ya elimu, mengineyo ni mbwembwe..
 
Hivi kumbe ndoa ni utayari wa mwanamke na mwanaume? Nnachojua ndoa ni utayari wa mwanaume then anamwambia mwanamke ndoa inafwata..sasa wewe kuwa tayari mwambie mwanaume akuoe km hayuko tyr uone km kuna ndoa..haya niulize swali Rapunzel

Swali langu kwako? Uko tayari kuolewa kwa sababu wadogo zako wanaolewa while wewe bado?
Au Je unaolewa kwa sababu wewe umeridhia kuolewa au unaolewa sababu ya watu flan?
 
Big up dada upo huru kimtizamo. Ila usikasirike sana kwa maneno ya mama zako, ni kawaida pia yametokana na jinsi wanavyofikiri wao kuzongatia historical background ya mila zetu kwamba binti lazima uolewe. Hivyo we ukipata
Mchango watumie waambie we bado bado kidogo!
 
Rapunzel You Cant Fight Against Nature,2 Siyo 1[Thats A FACT]SijaPLAN Kuwa Na MKE But It Doesnt MEAN Niko SAWA !YES....
 
Last edited by a moderator:
hahahaaa! did you notice anything boss?!

madam snowhite, nasubiri tiki yako tu!
ya kwanza ulikosea !
kama ambavyo mimi na bossman tulikosea!
hii uliyoitaftia kiambatishi sicho ulichoandika mwanzo.
rudia ulipomquote the boss.
kama bado hujaedit .lol
 
Last edited by a moderator:
Inawezekana pia hujapata wa kukuoa .haiwzekani eti una mtu anakupenda..serious hlf akutangazie ndoa ukatae wkt wadogo zako wanaolewa....hhee eeehhh kazi ipo

Ni kweli hiyo atakuwa hajampata anayemzimia,hatapata hata nafasi ya kuandika hapa
 
Sio wewe tu ..
Hiyo ni misemo kwenye jamii
Kikubwa live ur life
Hongera kwa kuweka maamuzi yako
 
Lara 1 mi nakereka na wadada wengi wa mjini anakwambia oohh my guy wants to marry mi BUT AM NOT READY mmffyyuuuzz not ready waaapiii wakati unatafuta opportunity ya kuambiwa will u marr mi na hazipo..I hv ths girls wana vibwana vyao havieleweki sasa ili kujikosha ndo anajitangazia am not ready mburaaaa
 
jamii inatufanya kuwa na hiyo mitazamo huwa naona mama angu anavyomuuliza uliza my sisy...

nadhani hajapata tu ila angekua na mtu wa kueleweka sidhan angekua na hizo.
 
kama haya ulioandika hapa yanatoka moyoni mwako na unamaanisha basi wewe unajitambuwa na ni mke bora kabisa hapa duniani. nimependa brain yako kudos.

Hehehe umecomment vizuri...nilipokuona tu nilitaraji kukutana na dongo LA haja kumbe walaa
 
Rapunzel ofcoz siolewi coz wadogo wanaolewa mi bado..ila fact inabaki kuwa sababu ni kutopata wa kunioa.. ukiwa na wakukuoa utaridhia kuolewa..sasa eti dogo anaolewa na mie nipo na wangu na keshanitangazia ndoa..ntasubiri nini? Tena kwa sie wachaga dogo atasubr niolewe ili asilipishwe fine then afwate..
So kipenzi Rapunzel th fact is hujapata wa kukuoa n it seems ur desperate ndo maana umeandika uzi kwa hasira
 
Wasalaam wana MMU,

Yaani weekend yangu ya leo imeharibika sana ...

Leo nimepata simu toka kwa mama zangu wadogo wakihitaji wedding dress ya mdogo wangu ambaye anataraijia kuolewa hivi karibuni niwatumie Tz ,baada ya maongezi mada ika badilika nikapachikwa swali WE NAWE UNAOLEWA LINI?
Maana wadogo zako wote wanaolewa we bado upo tu unafikiria nini haswaa?
Mwingine akadakia "Olewa basi uondoe japo mkosi",
kha! This is too much... Hivi jamani kuolewa ni kutoa mkosi???

Msimamo wangu:
1. Sitaki kuolewa kwa kuondoa mkosi

2.Sitaki kuolewa kwa sababu eti umri unaenda

3. Sitaki kuolewa eti wadogo zangu wote wanaolewa

4.Sitaki kuolewa kuwalingishia watu kwa na mimi nimeolewa

5.Sitaki kuolewa ili nivae shela au pete za ndoa kama fashion
( ndoa sio fashion)

6. Sitaki kuolewa eti umri unakwenda kwa hiyo yoyote atake kuja mbele yangu anioe tu kisa naingia 30 ....Nop

Ladies haya ni makosa makubwa sana ukiyaamua kwa kufuata maneno ya watu kisa hujaolewa....matokeo yake unaolewa mchana usiku unaachika ni kutojiamiani na maisha yako.

XoXo
Tatizo wengi wetu humu ndani tunapenda kusifia hata pasipostahili sifa. Me sioni km upo sahihi sana,ingawa ni kweli ni vizuri kuishi utakavyo wewe kuliko kuishi kwa matakwa ya jamii. Lkn yapo mambo ambayo huwezi kuishi nje ya mambo yenyewe na mojawapo ni suala la kuoa au kuolewa. Waliokuuliza hawakuwa na nia mbaya km ulivyowatafisiri,wao walikuwa wanatimiza wajibu wao km watu wa karibu yako,ulikuwa na nafasi ya kuwaeleza mtazamo wako juu ya jambo hilo,malengo yako tena kwa kuweka wazi vipaumbele vyako na kwamba vikikamilika hivyo dual a hilo litafuata. Kwa namna yoyote na kwa umri wako inabidi ujiweke sawa ki-saikolojia kukubaliana na suala la kuolewa kwa mtazamo chanya! Ndoa si kitu kibaya hata kidogo ndo maana 65% ya watu wote Duniani wameolewa au kuoa. No muhimu kuweka malengo ya kuwa na familia kwa kupanga aina ya mume umtakaye(siyo wa kupiga nae picha) na lazima ujue kwa nini ni muhimu kuwa kwenye ndoa! Ikibidi ntarudi,ngoja niishie hapa kwa sasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom