Sitaki kuolewa

Sitaki kuolewa

Ndo maana nlisema hajapata wa kumuoa ana stress..wote wanapiga wanasepa..hata hyo serious relatnshp ile ya kuulizwa baby u slipin olrdy? Pengine hanaaa..ndo maana kutwaa anatunga story ajifariji...hheee eeehh ngoja nilale kanikera huyu hlf cjui nimekasirika nini kkiiirrruuuu

Hahaaaa hii ndio jf.....
 
Nilikuwa nasoma tu mm,nilishindwa kuingilia sababu yalikuwa mambo yanayohusu jinsia ingine! amu afunguliwe haraka na hana hatia,alichofanya ni kukumbusha tu kuwa unasema bado hujaolewa wakati juzi umesema umeolewa na una watoto 2!

Yale yale ya huyu mwingine leo mwanamke kesho mwanamme

kweli je amu afunguliwe km ulikuwepo kwenye mind yangu mana binadamuana ukomo wa uvumilvu as a human being hata ningekua mim mtu kashanichokonoa sana ningerudishia nakuunga mkono 100%
 
Last edited by a moderator:
Ha ha humu ndani kwa drama ni balaa.
Mara ameolewa mara ana mchumba humu wamegombana mara ana watoto wawili mara anasoma indiq mara anauza nywele za maiti mara kansas aaaaa.
Ila nachoweza sema ni mijitu imeshakula mipilipili ya bure na mivitunguu maji huko asa inakuja humu kujikuna.

Kuna watu mna kumbukumbuu loo tete teh nilikua mbalii nimepitwaaaaa mie Husninyo mbayaaa weweee amu kafungiwaa loo we geniverus nipe umbea mieee
 
Last edited by a moderator:
Aliesema anataka kukuoa ni nani humu? Umeambiwa mume anapatikana humu!? Jf. Hapa u do me i do u!. Tunamalizana hapa hapo, wa kuoa anatafta mwenyewe mwanamke, ulishawahi kuona wapi mwanamke anatafta mume?!
 
sio kidogo eti ni hekaheka.... mpaka Rapunzel kakimbia kwa jinsi alivonangwa hana hamu... na nahisi anajuuuuutaaaaaaaaaaaa kuwafahamu..

Teh teh wanamnanga nini jamaniii??wakati mwenzetu hataki kuolewa!!au wivu.....lol
 
Good analysisi ya sababu za kutoolewa ila ungemalizia kwamba unaoolewa/utaolewa kwa sababu ya.... Ama kumpata mtu sahihi,ama kumalizana na starehe za ujana n.k
 
Wasalaam wana MMU,

Yaani weekend yangu ya leo imeharibika sana ...

Leo nimepata simu toka kwa mama zangu wadogo wakihitaji wedding dress ya mdogo wangu ambaye anataraijia kuolewa hivi karibuni niwatumie Tz ,baada ya maongezi mada ika badilika nikapachikwa swali WE NAWE UNAOLEWA LINI?
Maana wadogo zako wote wanaolewa we bado upo tu unafikiria nini haswaa?
Mwingine akadakia "Olewa basi uondoe japo mkosi",
kha! This is too much... Hivi jamani kuolewa ni kutoa mkosi???

Msimamo wangu:
1. Sitaki kuolewa kwa kuondoa mkosi

2.Sitaki kuolewa kwa sababu eti umri unaenda

3. Sitaki kuolewa eti wadogo zangu wote wanaolewa

4.Sitaki kuolewa kuwalingishia watu kwa na mimi nimeolewa

5.Sitaki kuolewa ili nivae shela au pete za ndoa kama fashion
( ndoa sio fashion)

6. Sitaki kuolewa eti umri unakwenda kwa hiyo yoyote atake kuja mbele yangu anioe tu kisa naingia 30 ....Nop

Ladies haya ni makosa makubwa sana ukiyaamua kwa kufuata maneno ya watu kisa hujaolewa....matokeo yake unaolewa mchana usiku unaachika ni kutojiamiani na maisha yako.

XoXo

msimamo mzuri. Ndoa sio maigizo.
 
ila yule dada amu hana kosa jamank afu hata hakutaka ugomvi ghafla akatajwa kwa jina halisi mi hoi sikulala jana mpaka mtanange umeisha...

amu kaonewa kweli. mie ngoja nimsaidie kurest in ban!!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom