Sitaki kuolewa

Sitaki kuolewa

siamini jana michambo ya moto moto imekupita! ila nimeskitika sana na ban ya amu. sijui niandamane!!

Si hukuniita nimeonaa ulivyotoaa michombwezoooo we mbayaaaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
yule mdada alipanick na akaanza kumtaja mwenzie jina na maneno mabaya ndo amu akachukia wakapeana kubwa ila amu kaonewa kwa kweli

Mi kweli yule mdada ndo alipaniki kuanza kumtaja mwenzako jna.halisi mara lile mara akataka kuweka pcha na matusi juu yule ndo ka deserve ban
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom