Mamy,hata siendi mbali sana kueleza mengi lakini nataka wewe ujichukuwe kama wewe sasa ndio mzazi na una wasichana wa4 na wameshaolewa wa3 dada mkubwa ambae ndie binti yako mkubwa hajaolewa je utakuwa na wasiwasi wa kwamba binti yako hata habari hana kuhusu mambo ya kuolewa na siku zinakimbia na unahofia iko siku binti yako atakuja kukulaumu kwa kutomhimiza kuhusu ndoa,au sio?,na hiyo ndio wasiwasi wa wazazi mara nyingi,kama ni wewe ndie mzazi utalichukulia vipi jambo la kuolewa binti yako?utamuuliza au utamuacha apoteze maisha mpaka azeeke?,samahani kama maoni yangu yana makosa.