John W. Mlacha
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 3,504
- 1,341
Mazee life la siku hizi nimeshaona kuna mijitu kazi yao ni kumendea wake za watu ili limmege tu basi litulie........na dada zetu sijui wana roho gani........wana roho nzuri sana hawa wa siku hivi.............wakifuata mara moja mara mbili basi anatoa mambo..............mimi sitaki kuoa mwanamke ambaye alishawahi kumegwa na mtu mwingine........sitaki nasema sitaki..................hata mambo ya uvinza yanakuwa hayanogi tena kama sista do mwenyewe anatoa toa mambo nje........maana yake ni kuwa ukienda uvinza unalamba madudu ya wengine......nani anayataka haya?.......................sitaki kuoa.
Ukipenda niite double biii
Ukipenda niite double biii