John W. Mlacha
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 3,504
- 1,343
- Thread starter
-
- #41
sasa mimi siifuti ..na nina uhakika nitakutana na ambaye hajamegwa..nyie kuleni waliomegwa na wanaoendelea kumegwaInabidi ufute kabisa hiyo mentality uliyo nayo!
wanajifanya kama vile kwa wanawake ni wajibu kujitunza kwa ajili yao ila wao ni haki kukitembeza na siku wakia,ua wanataka kumfanya mmoja awe mke basi ni kwa ajili yao tu
sasa hapa ndio umeongea pont..lakini kwani lazima mtu akikutongoza umpe? au umchekee chekee? ukimlia bati au kumpa bonge la sonyo kwani utapungukiwa na nini? ppunguzeni roho nzuri.Na nyie acheni kutongoza tongoza hovyo hovyo...ukimpenda oa jumla basi...
Na hapa hamna shutuma ila tunanyoosha maneno yako, unatakaje usichostahili?!!
hakuna kitu kama hicho.hapo chacha! Hawajui hata vya kwao vinadepreciate vile vile.
wewe dada yangu hata siku moja usijifananishe na wanaume au kwa vile umeona mkaka flani ni kiwembe basi na wewe ukamuigilizia ukaanza kugawa gawa kipipi hiko..litakushuka nakuambia kabisa..mdada mzuri ni yule ambaye hatoi ovyo na hatongozeki kirahisi..hujui kama wewe ni mrahisi wanaume huwa wanahadithiana...na watakufuata kama nyuki kila mmoja akitaka amege aondoke zake.afadhali maana nilikosa raha. Lol.
Mi wanaume huwa wananishangaza, wanaona ubaya wa wanawake tu ila wao hawauoni. Mwanaume kutembea na wanawake wengi atajigamba kama vile ni sifa nzuri ila kwa mwanamke watamponda wakati tendo lililofanyika hapo ni lile lile.
asa kumbe na nyie mna haki ya kukitembeza tembeza kwa watu tofauti?wanajifanya kama vile kwa wanawake ni wajibu kujitunza kwa ajili yao ila wao ni haki kukitembeza na siku wakia,ua wanataka kumfanya mmoja awe mke basi ni kwa ajili yao tu
Ukishakutana naye then what next?sasa mimi siifuti ..na nina uhakika nitakutana na ambaye hajamegwa..nyie kuleni waliomegwa na wanaoendelea kumegwa
undd!! tchao!
duh!! watu wa dizaini yako ndio mkeo anagawa then unamsamehe ,anagawa tena unamsamehe, anagawa tena unamsamehe kwani hata wewe unamega nje.....unafikiri ambao hawajamegwa hawapo? usiwadhalilishe dada zetu bwana ..ambao hawajamegwa wapo kibao tu.Ukishakutana naye then what next?
Unafikiri ndio utakuwa final man kwake? Haya mambo hayana formula maalum!
Kijana wacha tufupishe safari, ni hivi jukumu la kujitunza kujiheshimu na kuwa mwaminifu si la jinzia moja tu...sawa eeh?asa kumbe na nyie mna haki ya kukitembeza tembeza kwa watu tofauti?
Muulize huyo BHT!Kijana wacha tufupishe safari, ni hivi jukumu la kujitunza kujiheshimu na kuwa mwaminifu si la jinzia moja tu...sawa eeh?
hapo chacha! Hawajui hata vya kwao vinadepreciate vile vile.
Teh kwa hapa mhanga ni huyo dogo Bagah mi wangu anajiheshimu sana...bila shaka nyie ni wahanga wa kumegewa..poleni sana
undd!! tchao!
si kweli.
Ukishakutana naye then what next?
Unafikiri ndio utakuwa final man kwake? Haya mambo hayana formula maalum!
Maisha ni mipango na uchaguzi..
Mwanaume wa ukweli na anayejiamini hawezi kuogopa kumegewa!
When you are weak, lazima uwe na hiyo mentality ya kuogopa kupigiwa!
unataka vitu pure wakati we mwenyewe mchafuzi. Mungu atakupa wa kufanana na wewe.