kwann mnamuhukumu flora na sio huyo mbakaji? kweli mwanaume si ndugu yako.
Mtu habakwi mara mbili...hao walifanya ngono...unabakwaje kwny gari?
hivi kuna sehemu maalum za kubakwa?
Wewe unajuwa unachokisema au. Yaani ni mara 1000 uoe demu wa kibongo tena hata wa bongo muvi (mafuska) kuliko Mnigeria. Mademu wa kinegeria ni kama wachagga hapa kwetu kwani hawana mapenzi ya kiukweli na tena kama si Mnigeria mwenzake anaweza kukuua arithi mali zako. Don't wish mkuu!
Huwezi kubakwa kwny gari unless umetaka kufanya mwnyw
Acheni mawazo mgando anza kutokumwamini mama yako Dada zako na Ndugu zako wote Wa jinsia ya kike maana msg yako imewaona sibinadamu badala yakuona wanaume nimajanga unawaonea wanawake
wanaume wanachepuka sana ila hawasahau familia zao na kuwatendea mabaya wenzao tunachepuka tukirudi nyumbani tunajifanya lakini nyie mkianza mnatupeleka gerezani kwa kesi za kutengeneza.
hujanijibu swali.
Inahitaji mtu mwenye busara, expirience na mkweli kukuelewa huyo dada sidhani...Ngoja nikwambia mdogo wangu Husninyo haya mambo kwenye jamii yapo sana maana miili yetu inawaka tamaa hivyo kama jambo kama hilo limefanyika unapaswa kujua kwamba huyo ni baba watoto wako unakaa nae na familia nzima mnalimaliza bila kufikishana kwa pilato lakini kwa huyo mwenzenu inaonekana kama anamkandamiza mume wake wakati makosa ni yake maana huwezi kukimbia nyumbani ukamuachia mdogo wako mji.
si wanawake tu hata wanaume! watu hawaangalii mbali wala hawana hofu ya Mungu!
By nature sisi wanaume ni protector wa familia na provider...ndo maana mwanaume unakuta hataki kukuacha while labda amekuchoka na attention yote ipo kwa mwingine but tunajali image na fear ya kuonekana umeshindwa... tofauti na wanawake......mwanamke akisha fall.....automatically anakuwa ana take order from the new man....so huyo new man kama ni evil enough to kill anaweza kum convince mkeo akuue......but wanaume we don't take orders from nyumba ndogo.....tuna give orders kote kote....
Nimeamini ule msemo wa mwanamke sio ndugu yako na sitakaa katika maisha yangu nimwamini mwanamke, sijaamini kama Frorah angemwacha Mbasha aingie jela ama kweli hujafa hujaumbika hivi kweli mwanaume hata kama mmekosana unaweza kukubali apelekwe jela, wanawake sio hawana ubinadamu.
Flora hajampeleka mumewe polisi, mumewe kabaka ni kosa kubwa sana na nikumshushia hadhi mkewe. Mbasha kashitakiwa na aliyembaka.
Au ulitaka Flora amwambie aliyebakwa afiche siri?
By nature sisi wanaume ni protector wa familia na provider...ndo maana mwanaume unakuta hataki kukuacha while labda amekuchoka na attention yote ipo kwa mwingine but tunajali image na fear ya kuonekana umeshindwa... tofauti na wanawake......mwanamke akisha fall.....automatically anakuwa ana take order from the new man....so huyo new man kama ni evil enough to kill anaweza kum convince mkeo akuue......but wanaume we don't take orders from nyumba ndogo.....tuna give orders kote kote....
Nimeamini ule msemo wa mwanamke sio ndugu yako na sitakaa katika maisha yangu nimwamini mwanamke, sijaamini kama Frorah angemwacha Mbasha aingie jela ama kweli hujafa hujaumbika hivi kweli mwanaume hata kama mmekosana unaweza kukubali apelekwe jela, wanawake sio hawana ubinadamu.
Nlikua nakula parachichi hapa, nimecheua..Labda Gwajima anajua kuinyonya.
Acheni mawazo mgando anza kutokumwamini mama yako Dada zako na Ndugu zako wote Wa jinsia ya kike maana msg yako imewaona sibinadamu badala yakuona wanaume nimajanga unawaonea wanawake