Sitakaa nimwamini mwanamke maisha mwangu

Hii issue ilitakiwa kumalizwa kifamilia zaidi, sijui flora kapatwa na nini, haijalishi ni kweli Emma amebaka but hakupaswa kumfanyia hivi mumewe, sijui anajenga mazingira gani Kati baba na mtoto wao Eliza, so sad kwakweli

em nielewesheni jamani labda umbea wa mujini ulinipita. Kwani flora ndo alienda kumshtaki mumewe kuwa kabaka? Kesi ua ubakaji si jamhuri vs mbakaji? hata kama binti hakubakwa kwa maana ya kuingiliwa kinguvu, kisheria si binadamu under 18 hana consent kwa sababu ni mtoto? Na tunavyosema hizi kesi za ubakaji kwenye familia zisiwe exposed, hivi tunajua ni watoto wangapi wananajisiwa na baba zao na mama zao wanaugulia maumivu kutokana na mitazamo kama hii ya kwenu? hapo sijaongelea idadi ya mahausgel na mashemeji wanaotumiwa na waume zetu bila hiyari yao au kwa hiyari lakini kutokana na hofu. Kama ningetaka flora amsapoti mumewe basi ni kwa kumpelekea chakula mahabusu na kuhudhuria kwenye kesi na kutoa msaada utakaohitajika wakati wa kesi na si kuzuia kesi isifunguliwe. Huyo flora nae ni binadamu. Aliyebaka ni mumewe, aliyebakwa ni mdogo wake. Mi naona ni vizuri akaendelea kukaa kwenye fensi tu. Sidhani kama anafurahia kinachoendelea kama wengi tunavyoonyesha humu. Wala tusitake kumbebesha mzigo wa lawama kuwa kuondoka kwake ndani ndo kulimfanya mumewe azini na mdogo wake. Kila mtu mwenye akili timamu ana uwezo wa kuutiisha mwili wake. kwa hiyo kama mbasha kabaka ni kwa tamaa zake. Kama hakubaka basi ni kipindi chake cha kupitia mapito hayo, na inshallah atapita salama.
 
Mimi nachukia wanawake wote akiwepo mama na dada yangu. Wote ni maadui zangu kimaisha.

Huo nimtizamo wako ambao siwezi kupingana nayo ila mafanikio yoyote utakayoyapata juwa mama yako amechangia ambaye niadui yako
 
Ngoja nikwambia mdogo wangu Husninyo haya mambo kwenye jamii yapo sana maana miili yetu inawaka tamaa hivyo kama jambo kama hilo limefanyika unapaswa kujua kwamba huyo ni baba watoto wako unakaa nae na familia nzima mnalimaliza bila kufikishana kwa pilato lakini kwa huyo mwenzenu inaonekana kama anamkandamiza mume wake wakati makosa ni yake maana huwezi kukimbia nyumbani ukamuachia mdogo wako mji.
Na huyo bint aliyebakwa mmemfikiria?
Au mkishawakwa na tamaa basi kilicho mbele halali yako na Dunia ikuelewe tu?
 
Last edited by a moderator:
em nielewesheni jamani labda umbea wa mujini ulinipita. Kwani flora ndo alienda kumshtaki mumewe kuwa kabaka? Kesi ua ubakaji si jamhuri vs mbakaji? hata kama binti hakubakwa kwa maana ya kuingiliwa kinguvu, kisheria si binadamu under 18 hana consent kwa sababu ni mtoto? Na tunavyosema hizi kesi za ubakaji kwenye familia zisiwe exposed, hivi tunajua ni watoto wangapi wananajisiwa na baba zao na mama zao wanaugulia maumivu kutokana na mitazamo kama hii ya kwenu? hapo sijaongelea idadi ya mahausgel na mashemeji wanaotumiwa na waume zetu bila hiyari yao au kwa hiyari lakini kutokana na hofu. Kama ningetaka flora amsapoti mumewe basi ni kwa kumpelekea chakula mahabusu na kuhudhuria kwenye kesi na kutoa msaada utakaohitajika wakati wa kesi na si kuzuia kesi isifunguliwe. Huyo flora nae ni binadamu. Aliyebaka ni mumewe, aliyebakwa ni mdogo wake. Mi naona ni vizuri akaendelea kukaa kwenye fensi tu. Sidhani kama anafurahia kinachoendelea kama wengi tunavyoonyesha humu. Wala tusitake kumbebesha mzigo wa lawama kuwa kuondoka kwake ndani ndo kulimfanya mumewe azini na mdogo wake. Kila mtu mwenye akili timamu ana uwezo wa kuutiisha mwili wake. kwa hiyo kama mbasha kabaka ni kwa tamaa zake. Kama hakubaka basi ni kipindi chake cha kupitia mapito hayo, na inshallah atapita salama.
Thank you.
 
Bila kuamini mtu hakuna mapenzi. Nikijua huniamini sitaweza kuwa na wewe maana muda wote utahisi nakuibia au niko na mtu mwingine hivyo wewe pia waweza tafuta mtu mwingine.
Mimi nakuamini hadi pale nitakapoona sikuamini. Mtu akinidanganya bado nitamuamini
 
Maumivu mnayowapa wake zenu pindi mchepukapo unafikiri yanajenga nini katika moyo wa mwanamke?
wanaume wanachepuka sana ila hawasahau familia zao na kuwatendea mabaya wenzao tunachepuka tukirudi nyumbani tunajifanya lakini nyie mkianza mnatupeleka gerezani kwa kesi za kutengeneza.
 
Dunia ya sasa sio ya kuaminiana, imechafuka sana
 
em nielewesheni jamani labda umbea wa mujini ulinipita. Kwani flora ndo alienda kumshtaki mumewe kuwa kabaka? Kesi ua ubakaji si jamhuri vs mbakaji? hata kama binti hakubakwa kwa maana ya kuingiliwa kinguvu, kisheria si binadamu under 18 hana consent kwa sababu ni mtoto? Na tunavyosema hizi kesi za ubakaji kwenye familia zisiwe exposed, hivi tunajua ni watoto wangapi wananajisiwa na baba zao na mama zao wanaugulia maumivu kutokana na mitazamo kama hii ya kwenu? hapo sijaongelea idadi ya mahausgel na mashemeji wanaotumiwa na waume zetu bila hiyari yao au kwa hiyari lakini kutokana na hofu. Kama ningetaka flora amsapoti mumewe basi ni kwa kumpelekea chakula mahabusu na kuhudhuria kwenye kesi na kutoa msaada utakaohitajika wakati wa kesi na si kuzuia kesi isifunguliwe. Huyo flora nae ni binadamu. Aliyebaka ni mumewe, aliyebakwa ni mdogo wake. Mi naona ni vizuri akaendelea kukaa kwenye fensi tu. Sidhani kama anafurahia kinachoendelea kama wengi tunavyoonyesha humu. Wala tusitake kumbebesha mzigo wa lawama kuwa kuondoka kwake ndani ndo kulimfanya mumewe azini na mdogo wake. Kila mtu mwenye akili timamu ana uwezo wa kuutiisha mwili wake. kwa hiyo kama mbasha kabaka ni kwa tamaa zake. Kama hakubaka basi ni kipindi chake cha kupitia mapito hayo, na inshallah atapita salama.
Matendo yanaongea zaidi kuliko maneno, kuna baaadhi ya vyombo vya habari zimemunukuu Flora kuwa hajui kama huyo mumewe amefikishwa mahakamani, na mbali na nukuu ya hivyo vyombo vya habari Mbasha amefikishwa mahakamani mara 2 bila uwepo wa Flora mahakamani, mpaka hapo huoni kuna uwalakini wa huyo Flora kwa mumewe? je umeshajiuliza huo ujasili wa huyo mtoto kumshtaki mbasha umetoka wapi na kama amebakwa mara 2 je mara ya kwanza alishtaki wapi?
 
Lile suala lilikuwa la kumaliza kifamilia na mambo yakasonga lakini Frola kamwaacha baba watoto wake ateketee.

Kwa hiyo Hata kama kabaka angemtetea tu sababu mume wake? Kama yeye mzee mbasha ana ubinadam kwanini afanye kitendo cha kinyama hvyo...acheni kulaumu vitu msivyovijua aliyebakwa angekua ndugu yako ungefurahia?
 
Write your own story sir!

Usiogope kufungua duka kisa Massawe alifungua la kwake akafilisika!
 
Matendo yanaongea zaidi kuliko maneno, kuna baaadhi ya vyombo vya habari zimemunukuu Flora kuwa hajui kama huyo mumewe amefikishwa mahakamani, na mbali na nukuu ya hivyo vyombo vya habari Mbasha amefikishwa mahakamani mara 2 bila uwepo wa Flora mahakamani, mpaka hapo huoni kuna uwalakini wa huyo Flora kwa mumewe? je umeshajiuliza huo ujasili wa huyo mtoto kumshtaki mbasha umetoka wapi na kama amebakwa mara 2 je mara ya kwanza alishtaki wapi?

Labda flora anamfariji mdogo wake, au yeye pia yuko kwenye hali mbaya kisaikolojia. Ana hali ngumu kuliko huyo mumewe. Kwamba mtoto kapata wapi ujasiri wa kushtaki ni kwamba ametambua amefanywa vibaya na mtoto yeyote ambaye hakufundishwa woga angesema tu. Kwa kuwa alibakwa mara ya kwanza akanyamaza haimaanishi na mara ya pili anyamaze. Mara nyingi mara ya kwanza huwa tunaweka uwezekano wa kuwa bahati mbaya.
 
Labda kweli, ila basi ameshindwa hata kufuatilia vyombo vya habari na kujua kuwa mumewe amefikishwa mahakamani? labda yupo buzy sana.
 
Ukweli ni kwamba wanawake wote wanaroho mbaya..ila wengine hawajapata pahala pakuonyeshea roho mbaya zao..

ukitaka kujua jinsi walivyo na roho mbaya.. angalia wanavyo watesa watoto wa mke mwingine..(mathalan mtoto wa box)
juzi niliona kwenye tv mwanamke kampiga,kamng,ata na kumchoma na pasi mwili mzima house girl wake..
ukweli ndio huo wanawake wote wanafanana katka hili sema wengine hawajapata nafasi ya kuonyesha tabia hiyo..
ukitaka jaribu leo,mletee mkeo mtoto mwambie ulimzaa njee.. hakika wiki haipiti mtoto atapata majelaa ya kuchubuliwa ngozi na kuchomwa au kung'atwa..
 
Nimeamini ule msemo wa mwanamke sio ndugu yako na sitakaa katika maisha yangu nimwamini mwanamke, sijaamini kama Frorah angemwacha Mbasha aingie jela ama kweli hujafa hujaumbika hivi kweli mwanaume hata kama mmekosana unaweza kukubali apelekwe jela, wanawake sio hawana ubinadamu.

Mwanamke ni binadamu mwenye roho ya aina yake. Kuamini hadi yakukute, mie yalishanikuta nilisingiziwa na mke wangu mwenyewe na tulipendana sana, niliaibika sana lakini ukweli ulisimama kidete, nikasamehe aibu iliyonkuta aliamua kutoroka. Siwezi sema kasingiziwa maana ukweli wanajua wao ila kwa kukosa imani na wanawake yawezekana yasemwayo

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ukweli ni kwamba wanawake wote wanaroho mbaya..ila wengine hawajapata pahala pakuonyeshea roho mbaya zao..

ukitaka kujua jinsi walivyo na roho mbaya.. angalia wanavyo watesa watoto wa mke mwingine..(mathalan mtoto wa box)
juzi niliona kwenye tv mwanamke kampiga,kamng,ata na kumchoma na pasi mwili mzima house girl wake..
ukweli ndio huo wanawake wote wanafanana katka hili sema wengine hawajapata nafasi ya kuonyesha tabia hiyo..
ukitaka jaribu leo,mletee mkeo mtoto mwambie ulimzaa njee.. hakika wiki haipiti mtoto atapata majelaa ya kuchubuliwa ngozi na kuchomwa au kung'atwa..

Binadamu wote tuna roho mbaya jaribu kumletea mme wako binti wa kambo uone kama hajamuabuse sexually ni mahsegal wangapi wanabakwa na mabosi zao wanaume? Au mnafikiri ubakaji sio roho mbaya kwa kuwa nyie mnapata pleasure? Mnawaumiza sana wanawake mkiwabaka halafu mnakuja hapa kuwasema wanawake wana roho mbaya kana ya kwamba wanaume ni malaika. Kovu la kubakwa haliishi milele ila la kuchomwa na pasi utatibiwa utaoona. Kuweni na ubinadamu whethet ni mwanaume au mwanamke! Wanawake wanaonekana wana roho mbaya kwa kuwa ukatili wao wanaufanya mchana kweupe. Wanaume wanafanya usiku na most of the victims wananyamaza kimya halafu mnakuja hapa kunyooshea vidole wanawake wana ukatili. Dunia ya sasa bora binti yako umwache na simba kuliko binadamu mwanaume. Simba anaweza kureason na kumuonea huruma binti yako asimle!
 
Blood is thicker than water .mumewe ni m bakaji period .He need to be raped in jail and hanged .Una mtoto wewe ?He needs to be thrown in jail for life .No mercy
Kwa hiyo unganiko la mke na mume ndo halina blood? Listen to yourself, nyie ndo mnaingia kwenye ndoa huku hamuelewi hata ndoa ni nini. Huyo msichana alivyobakwa mara ya kwanza mbona hakusema?
 
Kwahiyo kwasababu hakusema mara ya kwanza it gives him the right to continue abusing her!?...
 
Back
Top Bottom