Sitakaa nimwamini mwanamke maisha mwangu

Sitakaa nimwamini mwanamke maisha mwangu

ni kweli, bora wanawake wa naijeria.

Wanawake wa tanzania wa sasa hivi..wana matatizo makubwa sana ambayo sijui watatasolve vipi..kwanza ule uwezo wao wa kupokeachallange na kuzifanyia kazi umepungua sana..kama ukiangalia haya matukio ya vick kamata na flora mbasha..yanakupa maswali mengi sana kuliko majibu..i don't know men..hapa miaka ya 90 mpaka 2000..kuna kitu kimenyonya uwezo wa wanawake wa kitanzania ..sijui ni yale mambo ya kukulia mahistel ndo yamewaaribu...na kuna hili wimbi limekuja la wanawake hasa wa bongo kujipa thamani ndogo sana..
 
Nimeamini ule msemo wa mwanamke sio ndugu yako na sitakaa katika maisha yangu nimwamini mwanamke, sijaamini kama Frorah angemwacha Mbasha aingie jela ama kweli hujafa hujaumbika hivi kweli mwanaume hata kama mmekosana unaweza kukubali apelekwe jela, wanawake sio hawana ubinadamu.

Blood is thicker than water .mumewe ni m bakaji period .He need to be raped in jail and hanged .Una mtoto wewe ?He needs to be thrown in jail for life .No mercy
 
Nimeamini ule msemo wa mwanamke sio ndugu yako na sitakaa katika maisha yangu nimwamini mwanamke, sijaamini kama Frorah angemwacha Mbasha aingie jela ama kweli hujafa hujaumbika hivi kweli mwanaume hata kama mmekosana unaweza kukubali apelekwe jela, wanawake sio hawana ubinadamu.
Watu wapo tofauti mkuu.
 
Nilishaamua..sitasoma message wala kupokea simu inayopigwa kwa mume wangu.....nilishaamua....sitamuuliza kwa mini kachelewa kurudi..nilishaamua....akienda safari namtakia kila la kheri na wala simsumbui kwa masimu huko aliko...tutasalimiana na kama kawaida.....nilishaamua....yeye na Mimi kupima UKIMWI kila baada ya miezi mitatu...iwapo mmoja wetu akikataa mapenzi hayatafanyika bila condom......tulishaamua...ya mini kupata pressure za kijinga......?
 
hawa wanawake hawafai kabisa ukijaribu kuchimba utaona baada ya kumuoa tu mama mkwe anampeleka mwanae ambaye ni mkeo kwa mganga wakafunge akili yako akihofia kuporwa mume unakuwa haujielewi mpaka unaanza kuwasahau kutowasaidia ndugu zako hadi mama yako mzazi daaa... bas tu ndo hali halisi
 
Mhh kwani jamaa si kamkaba housegal au mi ndo sijui stori ipoje....
Btw wanaume na nyie mnaaminika kwani??...
Mi nachoona sikuhizi waliokuwa wanayafanya wanaume tu leo hii hata wanawake wanafanya,and men just cant take it..ngoma droo kwenye society ina changamoto zake

Sio ngoma droo...ww kama mama watoto wangu hata unifanye nn siwezi kukuacha uoze gerezani...
 
ni kweli, bora wanawake wa naijeria.


Wewe unajuwa unachokisema au. Yaani ni mara 1000 uoe demu wa kibongo tena hata wa bongo muvi (mafuska) kuliko Mnigeria. Mademu wa kinegeria ni kama wachagga hapa kwetu kwani hawana mapenzi ya kiukweli na tena kama si Mnigeria mwenzake anaweza kukuua arithi mali zako. Don't wish mkuu!
 
mtu ambae hawezi kukusaliti kirahisi ni mama yako mzazi au mtoto wako wa kumzaa,ila kwenye mapenzi,mume au mke anaweza kukugeuka saa yoyote coz si ndugu yako wala si damu moja hawezi kukuonea huruma
 
By nature sisi wanaume ni protector wa familia na provider...ndo maana mwanaume unakuta hataki kukuacha while labda amekuchoka na attention yote ipo kwa mwingine but tunajali image na fear ya kuonekana umeshindwa... tofauti na wanawake......mwanamke akisha fall.....automatically anakuwa ana take order from the new man....so huyo new man kama ni evil enough to kill anaweza kum convince mkeo akuue......but wanaume we don't take orders from nyumba ndogo.....tuna give orders kote kote....

Aisee...umeongea kama kaka yangu mmoja hivi....kila mara huniambia maneno yanayofanana akimaanisha kamwe mwanke asijilinganishe na mwanaume
 
Mkeo ndio si ndugu yako but mama ni ndugu yako wa kweli kabisa ili mradi tu awe amekuzaa yeye!!!!
 
Back
Top Bottom