Sitakaa nimwamini mwanamke maisha mwangu

Sitakaa nimwamini mwanamke maisha mwangu

Siku moja nilmsikia sheikh akisema MWENYEZI MUNGU AMETACHIA FITNA MBILI MOJA MKE PILI MALI,,, jao sio muslam lkn naamini maneno ya Sheikh. Frola mbasha hata akifa natakiwa atupwe porini au kabuli lake lijazwe mawe... yule dada ni osama mpya na gwjima wake
 
nliona mnatunanga wanawake wa kitz, nkaona bora mjaribu wanigeria.

Wewe unajuwa unachokisema au. Yaani ni mara 1000 uoe demu wa kibongo tena hata wa bongo muvi (mafuska) kuliko Mnigeria. Mademu wa kinegeria ni kama wachagga hapa kwetu kwani hawana mapenzi ya kiukweli na tena kama si Mnigeria mwenzake anaweza kukuua arithi mali zako. Don't wish mkuu!
 
Acheni mawazo mgando anza kutokumwamini mama yako Dada zako na Ndugu zako wote Wa jinsia ya kike maana msg yako imewaona sibinadamu badala yakuona wanaume nimajanga unawaonea wanawake

wanaume wanachepuka sana ila hawasahau familia zao na kuwatendea mabaya wenzao tunachepuka tukirudi nyumbani tunajifanya lakini nyie mkianza mnatupeleka gerezani kwa kesi za kutengeneza.

Hii issue ilitakiwa kumalizwa kifamilia zaidi, sijui flora kapatwa na nini, haijalishi ni kweli Emma amebaka but hakupaswa kumfanyia hivi mumewe, sijui anajenga mazingira gani Kati baba na mtoto wao Eliza, so sad kwakweli
 
Mwanaume anaweza kuwa na maudhi mengi madogomadogo na mwanamke atavumilia na kuyapita
mwanamke yeye mara moja tu na mwanaume hautatamani kumwangalia tena anafananaje usoni
 
hujanijibu swali.

Ngoja nikwambia mdogo wangu Husninyo haya mambo kwenye jamii yapo sana maana miili yetu inawaka tamaa hivyo kama jambo kama hilo limefanyika unapaswa kujua kwamba huyo ni baba watoto wako unakaa nae na familia nzima mnalimaliza bila kufikishana kwa pilato lakini kwa huyo mwenzenu inaonekana kama anamkandamiza mume wake wakati makosa ni yake maana huwezi kukimbia nyumbani ukamuachia mdogo wako mji.
 
Last edited by a moderator:

Inahitaji mtu mwenye busara, expirience na mkweli kukuelewa huyo dada sidhani...
 
hutakiwi kuwahukumu wanawake wote kwa kosa la flora mbasha yule ana roho ya kishetani pia yupo anayempa kiburi japokuwa emma kwenda mahabusu imeniuma sana kwa mambo ya uzushi kama kweli hakufanya
 
By nature sisi wanaume ni protector wa familia na provider...ndo maana mwanaume unakuta hataki kukuacha while labda amekuchoka na attention yote ipo kwa mwingine but tunajali image na fear ya kuonekana umeshindwa... tofauti na wanawake......mwanamke akisha fall.....automatically anakuwa ana take order from the new man....so huyo new man kama ni evil enough to kill anaweza kum convince mkeo akuue......but wanaume we don't take orders from nyumba ndogo.....tuna give orders kote kote....

Well said
 
Nimeamini ule msemo wa mwanamke sio ndugu yako na sitakaa katika maisha yangu nimwamini mwanamke, sijaamini kama Frorah angemwacha Mbasha aingie jela ama kweli hujafa hujaumbika hivi kweli mwanaume hata kama mmekosana unaweza kukubali apelekwe jela, wanawake sio hawana ubinadamu.

Flora hajampeleka mumewe polisi, mumewe kabaka ni kosa kubwa sana na nikumshushia hadhi mkewe. Mbasha kashitakiwa na aliyembaka.

Au ulitaka Flora amwambie aliyebakwa afiche siri?
 
Flora hajampeleka mumewe polisi, mumewe kabaka ni kosa kubwa sana na nikumshushia hadhi mkewe. Mbasha kashitakiwa na aliyembaka.

Au ulitaka Flora amwambie aliyebakwa afiche siri?

Mkuu haya mambo yapo kwenye jamii zetu na yanamalizwa ndani ya familia huwezi kumuacha mume aangamie eti kwa kubaka tena kwa kutengeneza hivi kweli mtu abakwe ijumaa halafu tena amsogelee mbakaji jumapili acheni kudanganyana hao walikubaliana lakini Frola ajue kajimaliza.
 
By nature sisi wanaume ni protector wa familia na provider...ndo maana mwanaume unakuta hataki kukuacha while labda amekuchoka na attention yote ipo kwa mwingine but tunajali image na fear ya kuonekana umeshindwa... tofauti na wanawake......mwanamke akisha fall.....automatically anakuwa ana take order from the new man....so huyo new man kama ni evil enough to kill anaweza kum convince mkeo akuue......but wanaume we don't take orders from nyumba ndogo.....tuna give orders kote kote....

Nimeipenda hii ...yan mule mule mbaba.
 
Nimeamini ule msemo wa mwanamke sio ndugu yako na sitakaa katika maisha yangu nimwamini mwanamke, sijaamini kama Frorah angemwacha Mbasha aingie jela ama kweli hujafa hujaumbika hivi kweli mwanaume hata kama mmekosana unaweza kukubali apelekwe jela, wanawake sio hawana ubinadamu.

Ndio unajua leo ?? Wapo vibaba wame gharamia mambo kibao na kusomesha mpaka vyuo vikuu na bado wameingiza choo cha kina mama sembuse hyo. Bob trust no one but JESUS !!
 
Acheni mawazo mgando anza kutokumwamini mama yako Dada zako na Ndugu zako wote Wa jinsia ya kike maana msg yako imewaona sibinadamu badala yakuona wanaume nimajanga unawaonea wanawake

Mimi nachukia wanawake wote akiwepo mama na dada yangu. Wote ni maadui zangu kimaisha.
 
Back
Top Bottom