Ukweli ni kwamba wanawake wote wanaroho mbaya..ila wengine hawajapata pahala pakuonyeshea roho mbaya zao..
ukitaka kujua jinsi walivyo na roho mbaya.. angalia wanavyo watesa watoto wa mke mwingine..(mathalan mtoto wa box)
juzi niliona kwenye tv mwanamke kampiga,kamng,ata na kumchoma na pasi mwili mzima house girl wake..
ukweli ndio huo wanawake wote wanafanana katka hili sema wengine hawajapata nafasi ya kuonyesha tabia hiyo..
ukitaka jaribu leo,mletee mkeo mtoto mwambie ulimzaa njee.. hakika wiki haipiti mtoto atapata majelaa ya kuchubuliwa ngozi na kuchomwa au kung'atwa..
Ila wewe ndiyo mwenye roho nzuri sana kwa kumletea mkeo mtoto wa nje? Think Big!
Na mkeo akazaa mchina na wewe ni mbantu waza reaction yake!