The Intelligent
JF-Expert Member
- Dec 27, 2013
- 2,459
- 824
mtu ambae hawezi kukusaliti kirahisi ni mama yako mzazi au mtoto wako wa kumzaa,ila kwenye mapenzi,mume au mke anaweza kukugeuka saa yoyote coz si ndugu yako wala si damu moja hawezi kukuonea huruma
Ningekupa like bahati mbaya natumia simu.
Last edited by a moderator: