SISIEM-mfa maji.!

SISIEM-mfa maji.!

habibu bakili

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2012
Posts
202
Reaction score
51
maji yanapofika shingoni mtu hutapatapa (hasa ukiwa hujui kuogelea)
maji yanapofika shingoni mtu hutafuta chochote anachoweza kushika ili mradi asizame
maji yakifika shingoni mtu hupaniki na ubongo wake huacha kufikiri
ukiona wabunge wa sisiem paka wanathubutu kutamka ''f**K you'' ndani ya bunge, uje maji yamefika shingoni
ukiona naibu spika anamwambia mtukanaji ''endelea mkuu'', ujue ubongo umeacha kufikiri
ukiona hoja ya nwabunge wawili wa chdm inajibiwa na mawaziri watano na wabunge wote wa sisiem ujue chama kinatapatapa..

mwaka huu ndio mwaka wa kutokomeza wakoloni weusi ndani ta tz..
we got them were we wanted..
 
Hoja ipi ngumu?
Pyaaaa!
kama bata kanya.
 
Umekunya wewe badala ya kutoa mtazamo wako unatoa uharo
Ngoja niende zangu maana kuna raia wachokozi

We ni Mtoto wa Remmy Ongalla?
Avatar yako inafanana nae.
 
Threads za namna hii zinalishushia hadhi Jukwaa la Siasa.
 
Threads za namna hii zinalishushia hadhi Jukwaa la Siasa.
Ni lini umekanusha mdidimio wa ccm kwa sasa badala yake unaishia kutukana. Pinga kwa hoja sio unang'aang'aa sharubu
 
CCm hivi sasa wao wanacheza disco la CDM, hamna cha kuvua gamba wala kushuhulikia maswala ya kitaifa. Yaani wanarahisisha anguko lao bila kujijua.
 
habibu baba uko sahihi kabisa! CCM ni sikio la kufa halisikii dawa kabisa, ccm ni wezi wa mali ya umma! Fainali yao ya uzeeni 2015.
 
Mkumbushe hayo Tundu Lisu,Sugu,Msigwa na wajinga wengine wa cdm.
wako wanpiga mzigo dodoma kwenye ufunduzi wa kanda ya kati.!
hawajatetereka hata punje, na ilelast week pale mjengoni ilikuwa ni trela tu ngoja wakirudi mbona mtaichek shoo..
 
Back
Top Bottom