maji yanapofika shingoni mtu hutapatapa (hasa ukiwa hujui kuogelea)
maji yanapofika shingoni mtu hutafuta chochote anachoweza kushika ili mradi asizame
maji yakifika shingoni mtu hupaniki na ubongo wake huacha kufikiri
ukiona wabunge wa sisiem paka wanathubutu kutamka ''f**K you'' ndani ya bunge, uje maji yamefika shingoni
ukiona naibu spika anamwambia mtukanaji ''endelea mkuu'', ujue ubongo umeacha kufikiri
ukiona hoja ya nwabunge wawili wa chdm inajibiwa na mawaziri watano na wabunge wote wa sisiem ujue chama kinatapatapa..
mwaka huu ndio mwaka wa kutokomeza wakoloni weusi ndani ta tz..
we got them were we wanted..