Sisi ndio wanaume bwana!

Sisi ndio wanaume bwana!

Nyie si matomaso kama kawaida yenu, mtuulize sisi wanaume tunavyo patwa na masaibu.
Unajua wizi mpya wa wanawake siku hizi? Mkilala usiku akikusachi pesa anaficha kwenye tendegu la kitanda analiinua anaficha mwanaume akiamuka akijisachi hola si anakimbilia kumsachi mwanamke nae patupu chooni patupu uvunguni patupu kwenye mto patupu kumbe mshiko upo kwenye tendegu uzuri mm huwa nalala kimachale kama sungura huniibii kirahisi rahisi.
Na wewe mpaka usachiwe, hela ziwekwe kwenye tendegu, umelala au umekufa? Mwanamke sio mke wako unalalaje nae kwa raha hivyo? Ukinyonywa damu je?.
 
Ww chakachua tu! Unajua kwa WANAUME haliharibiki jambo! Afu mbona twapishana kama vi-hiace vya tengeru siku ya soko?
sijambo bwan'kaka (ka avatar kanaonyesha we ni bwana mdogo wangu lakini)

haya sasa nabanduka officially bana!!! naona nachakachua tu sasa, wenyewe hawapendi
 
  • Thanks
Reactions: bht
Hizo points mbili ni za msingi mno. Nitaendelea na

-Mkopo kesho, leo lipa zote kwa mkupuo mmoja.
Ni point nzuri sana kwani wengine hutoa kiingilio, mpaka wanapata wajukuu mahari haikumalizwa kulipwa.
- Wale waliooa kwa mkopo, walipe mara moja kwa kuzingatia "devaluation". Sio anatoa laki moja (kwa mfano) ile ile ya miaka 40 iliypita.
 
sijambo bwan'kaka (ka avatar kanaonyesha we ni bwana mdogo wangu lakini)

haya sasa nabanduka officially bana!!! naona nachakachua tu sasa, wenyewe hawapendi

Hahahahahah haka ka"avatar kaache tuu bana
Ila hiyo nimekupa heshima ya kukusalimia usiwe na wasi wasi
Usibanduke bana maana challenge yako humu ni nzuri sana
 
  • Thanks
Reactions: bht
aisee si unajua net za kuvizia hizi na simu za tochi...tabu tubu, nataka nijenge mnara wangu hapo nje

heheheee sukari guru hiyo mamakee (waliiga zile goody goody za kenya...lol)
sidhani aisee kama zipo tumuulize Preta halafu hizo ziwe mandatory (huko kwetu) kwenye sehemu ya mahari ...lol!

goody goody! Ha ha ha umekmbsha mbali sana, wapi ntazpa hz. Loh
 
Eti kunyonywa damu! Umenichekesha sana! Mie nna raha sina damu ya kunyonywa kwa hiyo naweza lala popote,lmao!
Na wewe mpaka usachiwe, hela ziwekwe kwenye tendegu, umelala au umekufa? Mwanamke sio mke wako unalalaje nae kwa raha hivyo? Ukinyonywa damu je?.
 
Ni point nzuri sana kwani wengine hutoa kiingilio, mpaka wanapata wajukuu mahari haikumalizwa kulipwa.
- Wale waliooa kwa mkopo, walipe mara moja kwa kuzingatia "devaluation". Sio anatoa laki moja (kwa mfano) ile ile ya miaka 40 iliypita.

Umesema vyema. Kama ilikuwa anadaiwa shilingi 50 za mwaka 1964, zifanyiwe tathmini na kuthaminishwa upya kwa bei ya sasa.

Kisha azilipe zote tuzikatie na kodi TRA kuendeleza uchumi wa nchi
 
Yaani whether nyie ni wanaume/wavulana/magumegume au vyovyote vile, hamfurukuti kitu kwa wanawake hasa kwenye ishu zinazohusisha mapenzi kwa namna moja au ingine. Mnapeana mibichwa tu hapa, Babu mwenyewe anajua ni namna gani anakuwa mpole akifika kwa mkewe jioni ingawa anawadanganya hapa ooh.."Umiliki wa mwanaume rijali ni umiliki wa MWANAMKE/WANAWAKE."

Leo kina mama/dada wote watahakikisha wana mbinu za kutosha kuhakikisha waume zao hawauoni huu uzi, ingawa ule wa Bishanga wa jana tulihakikisha unasomwa ili penye mapungufu wajirekebishe...

By the way someni tena huu uzi muone tuna uwezo wa kuwafanya nini nyie watu haha haha a... https://www.jamiiforums.com/mahusia...kiamua-wanaume-wote-kwisha-habari-yetu-2.html. NI MTAZAMO TU. Msije nitoa manundu bureee . Na log off (by Washawasha) kabisaaaaaaa sipiti tena hapa.
 
Ww chakachua tu! Unajua kwa WANAUME haliharibiki jambo! Afu mbona twapishana kama vi-hiace vya tengeru siku ya soko?
wewe inaelekea siku hizi unashuka njiani na sio patandi...hehehee hata manadani tengeru huji siku hizi eeh!! nina mshare laini bana uje
 
Na wewe mpaka usachiwe, hela ziwekwe kwenye tendegu, umelala au umekufa? Mwanamke sio mke wako unalalaje nae kwa raha hivyo? Ukinyonywa damu je?.

Wapo wanao sachiwa pia na wake zao type ya wanaume wa Bishanga
Binafsi niliibiwa condom badala ya pesa
 
Umesema vyema. Kama ilikuwa anadaiwa shilingi 50 za mwaka 1964, zifanyiwe tathmini na kuthaminishwa upya kwa bei ya sasa.

Kisha azilipe zote tuzikatie na kodi TRA kuendeleza uchumi wa nchi

Aki hii sheria ifanye kazi kinyume nyume....hawa wahusika sijui kwa nini hawako wabunifu? mapato yapo nje nje tu...lol
 
Ni point nzuri sana kwani wengine hutoa kiingilio, mpaka wanapata wajukuu mahari haikumalizwa kulipwa.
- Wale waliooa kwa mkopo, walipe mara moja kwa kuzingatia "devaluation". Sio anatoa laki moja (kwa mfano) ile ile ya miaka 40 iliypita.

haya na hapo waseme 'sisi ndo wanaume, tunakopa hadi mahari'
 
Babu mtakapokutana usisahau kuniita ,naja na camera na notebook kuchukua matukio...
 
...lakini aspirin, ilikuwaje lakini leo ukaibuka na hili bana?....are you in mid life crisis au? maana haiwi mtu akajifungia chooni huku akijiangalia kwenye kioo akijitapa, I AM A MAN... bila uwepo wa kitu kilicho "dent" ego yake!....kumradhi mkuu, nimefikiria tu kwa nje ya boksi...

King_-_I_am_a_man,_Irisphotocollective.jpg

"I Am a Man," meaning not a piece of garbage to be crushed and ignored

haya na hapo waseme 'sisi ndo wanaume, tunakopa hadi mahari'

haaha Bee umeuwa! Sisi ni wanaume, taasisi inayojitegemea, tunakopa hadi mahari na hatujui kumaliza deni! hahaha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom