Sishauri Forker 50 na Forker 28 ziwe 'Branded' kama Ndege za Kibiashara za ATCL

Ninasoma thread yoyote nikijisikia, nikiona nonsense nasema tu umeandika nonsense!

Unasema akili kubwa mdomo huku mdomo hauna break?

Ninawateseni sana hakyanani hadi nawaonea huruma!
 
Jiheshimu Genta..wee ni mtu mzima unajua

Sent using Jamii Forums mobile app

Ila Wewe / Nyie mnaponichokoza hapa na kunidhihaki huwa mnakuwa Watoto ' Vichanga ' au? Mimi ukitishia Kujamba basi nakunya kabisa na huwa nampokea Mtu vile anavyokuja Kwangu. Niheshimu ili nikuheshimu na ukileta Uhuni hapa ndiyo Makao Makuu ya Uhuni na Usela wote unaoujua. Maamuzi unayo / mnayo!
 
Mkuu hayo ni mawazo yako, ila wwengine tunamuunga mkono, afadhali zitumike kuwabeba watanzania zifanye biashara nchi ipate pesa kuliko kuzipaki pale airport. Bado kuna ndege moja ya rais. Itatumiaka hiyo kwa safari zake

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda apeleke pale Arusha awe nakodisha kama private jet. Izo haziwezi kuleta faida. Yan max 58 pasengers. Unafanya nn sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni ' dharau ' kubwa kwa Marais waliopita kuanzia Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa na Mzee Kikwete kwa Mtu mmoja leo kuamua kwa ' Kukurupuka ' tu kuwa Ndege za Rais Forker 50 na Forker 28 ziwe ' Branded ' kama ' Commercial Planes ' za ATCL.

Hili halipo na halijawahi kutokea nchi yoyote ile duniani na naamini hata tungekuwa Mbinguni Kwake Mwenyezi Mungu hata Yeye pia asingefanya hiki ' Kituko ' ambacho GENTAMYCINE nakiita ni cha Kufungulia mwaka huu ambao bado ni mbichi kabisa wa 2019.

Hoja kwamba zipakwe rangi kisha zichuke Abiria kwakuwa huwa zinakuwa ' grounded ' tu na kwamba hata mwenye Kuhusika nazo huwa hazitumii kwakuwa hasafiri mara kwa mara kutolewa na ' PhD Holder ' kidogo ni kutaka Kuwadhalilisha ' Intellectuals ' wote nchini Tanzania.

Wasaidizi wa Rais hebu fanyeni Kazi zenu vyema Kwake kwa Kumshauri mnaogopa nini? Hivi Sekta ya Anga ya leo au ATCL ya leo inahitaji kweli hadi hata Ndege za Marais nazo ziwe ' branded ' na zijumuishwe kama Ndege za Biashara na Kubeba Abiria? Je kuna hilo hitaji kweli?

Ningeambiwa au ningesikia Hoja kwamba labda Ndege hizo ziuzwe na ibaki moja kisha hizo Hela zitumike Kuimarisha Sekta ya Kilimo au nyinginezo ambazo zinahitaji msaada na ungalizi mkubwa ningemwelewa Mheshimiwa Rais na ningekubaliana nae kwa 100% ila kwa hii Hoja yake ya leo nampinga na naona ni kama vile ' Tusi ' kwa Watangulizi wake.

Wengine tumeumbwa kuwa wakweli na wawazi hivi hivyo mtusamehe tu na tuvumiliane. Tuache Kukurupuka na kuwa na ' Mihemko ' isiyo na Tija wala Mantiki. Halafu akina Donald Trump ' wakitutukana ' Waafrika huwa tunalalamika na kuona labda anatuonea wakati kumbe huwa yuko sahihi tena kwa 100% zote kutokana na ' Madhaifu ' yetu ya asili.

Nimesikitika!

Nawasilisha.
Simshangai,unajua kwa kuwa yeye kwenye harusi yake alikunywa soda,anadhani maisha yapo hivyo.
 
Binafsi sioni tatizo hzo ndege kama zipo tu zinakaliwa na popo bora zianze kufanya kazi, madege matatu ya raisi kwa nchi kama yetu ya nini?
 
Mkuu mwambie huyo mhudumu akuongezee chochote unachokula pamoja na chai hiyo unayokunywa. JPM katukumbusha kuwa utajiri au umasikini ni hali ambazo tutaziacha hapa juu ya ardhi. Karudisha adabu mtaani.

Hizo ndege kuliko kukaa tu bure zifanye kazi, sekta ya anga isiogopwe tena, wengi humu wanaizungumzia sekta hii katika hali ya uoga, kana kwamba ni biashara inayofanywa na ma-genius pekee.
Phillipo nashukuru kwa offer yako. Unajua watu watakuja kumkumbuka sana Magufuli kwa sasa wacha wamuone kama wamuonavyo, lakini kadri siku zinavyosonga ndivyo watakavyozidi kumuelewa.

Kila zama na watu wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
This is GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE Mkuu. Nitawateseni sana na nitawanyoosheni mno ' Mapopoma ' wachache kama Wewe.
Mkuu huu uzi wako hauna mantiki hata kidogo. Kwanini ndege yenye kuweza kuchukua watu 50 ikae tu ikisubiri watu wakuja kuikodi?.

Kwanini ndege yenye kuweza kuchukua watu 28 isubiri wa kuikodi, tena katika awamu hii ambayo watu hawasafiri mara kwa mara?.

Ni bora hizi ndege ziende kuongeza idadi ya ndege za ATCL kuliko kusubiri tu mtu wa kuzikodi ambaye hujui atakuja lini.

Usipende kutukana hovyo watu ambao huwafahamu vyema, inakupunguzia heshima miongoni mwa wanajukwaa.
 
Phillipo nashukuru kwa offer yako. Unajua watu watakuja kumkumbuka sana Magufuli kwa sasa wacha wamuone kama wamuonavyo, lakini kadri siku zinavyosonga ndivyo watakavyozidi kumuelewa.

Kila zama na watu wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kichekesho ni kwamba wao wanamuona jamaa kama vile mshamba fulani kumbe wao ushamba upo akilini, hauwezi kuwatoka kirahisi.

JPM anao upande ambao sio mzuri kama ile utani aliomtania Kassim lakini kwa ujumla wake jamaa ni mzalendo wa viwango vya juu sana.

Kaongelea ile pesa ambayo hawa wacanada wameirudisha, ile dola milioni moja, ingekuwa enzi za mkwere ingepigwa juu kwa juu, mawaziri na makatibu wangeihamishia kwenye akaunti zao za Switzerland.
 
Hii ni ' dharau ' kubwa kwa Marais waliopita kuanzia Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa na Mzee Kikwete kwa Mtu mmoja leo kuamua kwa ' Kukurupuka ' tu kuwa Ndege za Rais Forker 50 na Forker 28 ziwe ' Branded ' kama ' Commercial Planes ' za ATCL.

Hili halipo na halijawahi kutokea nchi yoyote ile duniani na naamini hata tungekuwa Mbinguni Kwake Mwenyezi Mungu hata Yeye pia asingefanya hiki ' Kituko ' ambacho GENTAMYCINE nakiita ni cha Kufungulia mwaka huu ambao bado ni mbichi kabisa wa 2019.

Hoja kwamba zipakwe rangi kisha zichuke Abiria kwakuwa huwa zinakuwa ' grounded ' tu na kwamba hata mwenye Kuhusika nazo huwa hazitumii kwakuwa hasafiri mara kwa mara kutolewa na ' PhD Holder ' kidogo ni kutaka Kuwadhalilisha ' Intellectuals ' wote nchini Tanzania.

Wasaidizi wa Rais hebu fanyeni Kazi zenu vyema Kwake kwa Kumshauri mnaogopa nini? Hivi Sekta ya Anga ya leo au ATCL ya leo inahitaji kweli hadi hata Ndege za Marais nazo ziwe ' branded ' na zijumuishwe kama Ndege za Biashara na Kubeba Abiria? Je kuna hilo hitaji kweli?

Ningeambiwa au ningesikia Hoja kwamba labda Ndege hizo ziuzwe na ibaki moja kisha hizo Hela zitumike Kuimarisha Sekta ya Kilimo au nyinginezo ambazo zinahitaji msaada na ungalizi mkubwa ningemwelewa Mheshimiwa Rais na ningekubaliana nae kwa 100% ila kwa hii Hoja yake ya leo nampinga na naona ni kama vile ' Tusi ' kwa Watangulizi wake.

Wengine tumeumbwa kuwa wakweli na wawazi hivi hivyo mtusamehe tu na tuvumiliane. Tuache Kukurupuka na kuwa na ' Mihemko ' isiyo na Tija wala Mantiki. Halafu akina Donald Trump ' wakitutukana ' Waafrika huwa tunalalamika na kuona labda anatuonea wakati kumbe huwa yuko sahihi tena kwa 100% zote kutokana na ' Madhaifu ' yetu ya asili.

Nimesikitika!

Nawasilisha.
Wakitafutwa watu wanaofikiri kwa kutumia makalio wewe ni mojawapo. Nilitarajia uje hapa hoja ni kwanini hizo zisitumike labda hoja ya kiusalama au gharama.
Hizi ndege zimenunuliwa kwa kodi za Wananchi kwani Wananchi wakitumia Mali yao shida iko wapi? Hoja kuwa ziuzwe halafu pesa zipelekwe kwenda sekta ya kilimo hiyo haina mashiko kwasababu hata zikitumika kibiashara bado pesa hizo zitachangia sekta ya kilimo na sekta zingine
Hoja kuwa kwa kufanya ivyo amewadharau Marais Waastafu hayana mashiko hata kidogo.
Mara nyingi watu wenye roho mbaya kama nyie Ndiyo wachawi na walogi wa Taifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
china huwa wanachukua ndege moja wapo katika shirika lao na kumpa raisi katika ziara zake akimaliza huwa wanarudisha tena kufanyia biashara lakini ikiitajika tena kwa matumizi ya raisi uchukuliwa na kufanyiwa ukaguzi na customized jinsi wanavyotaka wana usalama wao kwaiyo hata hizi pia inawezekana pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni sawa lakn kwa teknolojia yetu tunaweza? Na dingi la baba kufari sio mpenz

Yaani anataka ziuzwe halafu eti hela iende ikaendeleze kilimo!. Hela za kuendeleza kilimo zina bajeti yake, zina vyanzo vyake.

Hizi ndege huwa muda mwingi zinasubiri wa kuzikodi au zinafanya kazi kwa mfano ya kuipeleka taifa stars ugenini na masuala ya aina hiyo.

Kuziweka kwenye schedule ya ATCL zikapangiwa safari ni jambo la maana kiuchumi.

Chunga sana mkuu Frey huyu jamaa hakawi kukuita Popoma.
 
Back
Top Bottom